Stori ya Nuh Mziwanda kujichora tatoo yenye jina la Shilole ilisambaa sana na wengi walikua wakijiuliza siku ikitokea wameachana itakuaje hasa upande wa Nuh ambaye ndiye aliyejichora tatoo hiyo.
Maelezo ya Nuh Mziwanda yamedai kuwa sababu zilizosababisha waachane ni msg ambayo aliikuta kwenye simu ya Shilole ambayo inasemekana ilitumwa na mwanaume,Nuh alipomwambia Shilole apige alionekana kunikanyanga.
Nuh Mziwanda kaongea na Soudy Brown kwenye You heard na kazungumza mambo mengi ambayo yametokea kwenye uhusiano wao.
Msikilize Hapa:
uliambiwa kuma wewe
ReplyDeleteHahaha hahaha dah mshikaji mbona unaanza kwa kuua moja moja duh hahaha
DeleteHuyu msenge ndio aliamua kuziachia zile picha au sio kumamaye ndio utajifunza msenge weeeeeeee.....na iwe fundisho kwa majaamaaa wengine wa aina yake kumanyoko.
ReplyDeleteKwa wale majamaaa msiojiamini kwa mademu zenu ni lazima muelewe vitu vya mademu huwa haviguswi na ukiamua kuvigusa chochote utakachokutana nacho kauka na wala usilalamike wala kumkolomea hiyo ndio sheria ya vitu vya mademu kumamaye. Hata kama ni mke wako wa ndoa usijaribu kugusagusa ama kuvichunguza vitu vyake kama simu unaweza ishia kujiua oohhhhh shauri zenu.
ReplyDeleteSasa hako Katoto ukikasikia vizuri ni kama kamechanganyikiwa masikini ya Mungu duh haya kakaaaa pole sana kwa yaliyokusibu nadhani vitoto vyenzako vimekusikia eeehhh mambo ya mashangingi hayo, mkiambia chukueni vitoto vyenzenu aahh sijui nini mnakimbilia mashangingi kumamaye. Cheza na mashangingi wewe hahaha
ReplyDeleteTatizo wanataka kulelewa! Wachukue dogo wenzao watawahudumia na nini???
ReplyDeleteVijana tafuteni hela! We unataka kumiliki mwanamke wakati, huwezi kumtunza, unategemea nini? Huna hela lazima utombewe mjini hapa! Huyo shilole mavazi yake na gharama za kuishi unafikiri mziki wa kigodoro ndiyo una provide? Tafuteni hela kama mnataka kumiliki mwanamke!
ReplyDeleteKwani alizani bwana alikua yeye tu pekeake, pole yake kwa kutokujua hilo angetuuliza sisi watu mashuhuri wa jiji la dar tungemfahamisha kijana wetu
ReplyDeleteHalafu kiherehere chake cha kwenda kuipekua simu ya huyo shangingi ilikuwa nini??? Mxiuuuuuuuuuuuu. Halafu kumbe kitoto chenyewe kilikuwa kinatunzwa kama ka house boy. Tuliwahi kukashauri kaende Shule badala ya kupoteza muda na huyo shangingi. Sasa aibu ndio hiyo ya asiyesikia la mkuuu.....Sijui ni demu gani mwingine atamkubali na hiyo tatooo dah
ReplyDeleteSasa bado ya Wema Kicheche na Domo. Kwanza sijui wako wapi siku hizi. Wamepotea kweli.
ReplyDeleteJuz tu walivyoweka picha haka katoto na shna huu mshangingi upo na kanga moja nikacomet kuuliza haka katoto kamejichora kanajua hawa majambazi wanavyoumza???? Kasije kimbiia kukakatilia mbalini kakono kake kenyewe sasa ona leo maskini kamepagawa... kanahemaaaaa!! Haka kageni kweny mahusiano kaangaliwe sana kasije kakajitundika..
ReplyDeleteShilole ndio kamfundisha mapenzi,
DeleteWacha hivi vitoto vikomeshwe shilole shangingi la mtaani hilo kwanza hapo alipo anaumwa mi nimefanya nae kazi hotel 1 kkoo alikuwa anatembea na wateja hatari ht mkurugenzi mwenye hotel katembea nae na inavyosemekana mkurugenzi ni mgonjwa sasa hilo li shilole lilikuwa linaua vitoto vya watu tu mara barnaba nuhu mziwanda mara dulayo watoto nyie hebu mjifunzeni basi kutokana na makosa kupitia wenzenu
ReplyDeletemara timbulo, mara young dee, atawauwa sana kwa tamaa zao hao watoto
DeleteMamaaaaaaaaaaaaaaaa yake na babaaaaaa kweli mdau unayoyasema?wasaniii wataukwaa wengi.
DeleteMziwanda kamrudia shilole ugomvi hakuna tena,Mziwanda anahudumiwa Na shilole kifedha pia,kwahiyo mzzzziwawanda kumwacha shilole Ni NDOTO
ReplyDeleteIkiwa ulimkuta mwanamke hana bikira basi ujue huyo ni demu wa watu,weka akilini hiyo!
ReplyDeletewapi msami na uwoya?
ReplyDelete