Kwa Nini sisi Wanawake/Wasichana Wanene na Wenye Makalio Mkubwa Hatupati Waume wa Kutuoa ?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi 

hatuolewi:  (a)Miili yetu imepitwa na wakati, (b)Labda 

wanadhani tutashindwa mechi. 

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?  

(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba, 

(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.  

NALILETA MEZANI TULIJADILI. Nimefanya uchunguzi 

yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake 

wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana 

kuolewa, kwa nini? 

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sababu mkinya hamchambi.

    ReplyDelete
  2. Jiulizen kwanza mna matatizo gani baada ya hapo mlete hayo matatizo yenu tujadili kutafuta ufumbuzi

    ReplyDelete
  3. Hili kiasi lina uhalisia na kwa mtazamo wangu kuna matatizo makubwa mawili. La kwanza hua mnakua na maringo kupitiliza kwa sababu mnatakiwa na wengi (Wanaume wengi wanapenda mwanamke aleajazia). Sababu ya pili hata mkibahatika kuolewa hamtulii na mnasababisha maumivu ya mapenzi kwa waume zenu. (kwa sababu ya tako mtaendelea kutongozwa hata kama umekua mke wa mtu na kwa idadi ya wanaume kuwataka kua kubwa uwezekano wa kuwakataa wote unapungua)

    ReplyDelete
  4. Hivi ni nani atataka mtu wa kumjambia jambia usiku kucha????? Halafu hata mkiisha tumia choo hamuwezi kutawaza au kuchamba vizuri. Matokeo yake mnatembea na maharufu ya mavi.UTI mtindo mmoja kila kukicha ni UTI

    ReplyDelete
  5. Ukiachilia mbali UTI na kujamba jamba. Sasa inakuja michubuko ya ngozi katikati ya mapaja yao dah mpaka inatia kichefuchefu

    ReplyDelete
  6. Ni pressure ya wanaume wasioweza kumilki mwanamke mzuri! Ukiteleza kidogo lazima utaporwa! Mwanamke mbaya wa sura na umbo ni mzuri kawa mke sababu hata ukiteleza ukishindwa kumhudumia atavumilia kwa sababu hakuna pa kukimbilia na hakuna mwanaume anayemtongoza! Ninyi ni watamu kuliko flat screen, ila ndiyo hivyo security ya mwanamme kama mume inakuwa rehani! bora ukiwa mchepuko hata nikiibiwa sita mind sana

    ReplyDelete
  7. Mwanamke mwenye makalio ndiyo mwenye mvuto kuliko mwanamke yeyote! So mpaka hapo unaweza kuona hatari ya kummiliki ilivokua kubwa! Ataviziwa saa zote na wanaume wengine! Labda uwe na fedha nyingi kisha umtombe vizuri sana! Bila ivyo ni maumivu tu ukioa! hawa wengine hawana shida watavumilia upuuzi na shida zote za mwanaume kwavile hawana pa kwenda! itabidi wanyenyekee hata ukichepuka watasamehe ndoa itaendelea! Mwanaume hutakuwa na stress ya kutafuta hela ili umridhishe! sana sana yeye atatafuta kwa bidii ili kumdhibiti mwanaume! Ila makalio ana soko kubwa!

    ReplyDelete
  8. Sasa tufanyeje na sisi tumeumbwa hivyo? Na wenyewe mnatusumbua sana?? tuwanyime? tukikataa mnasema tuna majivuno! tukikubali hatuna heshima!

    ReplyDelete
  9. Anzeni Kutoa Tigo

    ReplyDelete
  10. Mi ninavogombaniwa na hiki kijungu changu lol...... nakitunza kwa ajili ya mume mwema niliyepangiwa na Mungu! Ninyi mtasubiri sana!

    ReplyDelete
  11. Mwanamke tako bwana kama huna wewe ni dume tu tako ndo kila kitu mimi nimejengewa na kununuliwa gari sababu ya tako kama huolewi labda wamekucheza peke yako

    ReplyDelete
  12. Wembamba hata akiolewa lazima mume atoke kutafuta mwanamke mwenye tako alojaza chezeya tako weee wazungu wanaongezeya na wachina pia

    ReplyDelete
  13. Mwanamke kwenye tako aje kwangu, naowa kabisa

    ReplyDelete
  14. Mimi nna tako nitakukubali kama una hela ya kunitunza! Sitaki shida!

    ReplyDelete
  15. Mimi nna tako na hipsi za kumwaga, mguu wa bia, mrembo mweupe, sura usipime ila miguuni nina vidole sita hiyo ndiyo kasoro yangu! Nina tabia njema, naogopa wanaume nafikiri wakiona vidole sita watanikimbia!

    ReplyDelete
  16. Kweli! My best friend ana tako balaa, hipsi usiseme, mzuriii mweupeeee, alipata mume wa mtu tajiri, kamjengea kigorofa Mbezi Beach, swimming pool, kazaa nae mtoto mmoja wa kike, hakusoma sana lakini kapewa kazi BOT, anasafiri kama mimi nnavoenda sokoni kariakoo, magari ya Toyota ni msamiati mgumu kwake, ni BMWs, Evoque, Audi Q7 na Mercedes Benz! Wazazi wake wamewekwa vizuri sana mkoani, ana vitega uchumi kibao town, ila sasa yuko stressed kwavile amebaki mchepuko, bwana ana ndoa ya kanisa, mkewe kambana, anapatikana kwa nadra, huku amejaribu wanaume wengine, wanaishia kufunua, kula hela na kusepa, umri umeenda ameanza kupata wrinkles za kukosa mume, wadada mnazijua! Anatamani kuolewa kama Mimi, na mimi natamani Mali na maisha classy yake! Niko na average Joe wangu tuna maisha ya kawaida sana, lakini nina mwenzangu tuna plan pamoja na kutunza familia! Yeye analia kila siku yupo mpweke! Upweke unamuumiza! na tako halimsaidii

    ReplyDelete
  17. Matako yamewapa maisha dada zetu wengi mjini, ila wamekosa ndoa! Ukiwa na tako ukabaki mwanamke masikini ni upumbavu wako! Ukiwa flat screen ukakosa ndoa pia ni upumbavu wako! Flat screen ni kwa kuolewa, tako kubwa ni kiburudisho kwa matajiri! Kazi kwenu wanawake! We una tako halafu unakopwa uchi?

    ReplyDelete
  18. Wewe uliyesema wembamba hata akiolewa lazima mume atoke kutafuta inye! Kwani wakati anaoa betina, wewe mwenye kalio haukuwepo? Kwa nini asingekuoa wewe akakumiliki kama mke, badala yake kampa heshima mwingine halafu wewe na inye yako anakufukua kwa siri halafu anarudi kwa mkewe? Jiulize kwa nini hamuolewi? mnabaki kuwa spare tyres? mnajidhalilisha!

    ReplyDelete
  19. Tunaogopa kuibiwa, na wenye visu vikubwa na vikali

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad