Kwa Uzalendo Alionao, Mwigulu Apatiwe Ulinzi wa Kutosha, Mafisadi na Wapinzani Wasimguse

Sote tunajua uzalendo na utendaji wa Mheshimiwa Mwigulu.

Pamoja na kuwa anayofanya ni kwa faida ya taifa, lakini mjue wazi kuwa maadui zake sio wahujumu uchumi na mafisadi tu. Mwigulu atachukiwa sana na wapinzani hasa wale wanaoandamana kwa chopa na pia hata wana ccm wenzake kwani kazi anayofanya itamfanya apendwe na wananchi kitu ambacho kitasababisha wivu wa kisiasa.

Mimi nina uhakika asilimia mia kumi kuwa kadri anavyochapa kazi ndivyo anavyozidi kuongeza maadui, na maadui lazina watajaribu kupunguza spidi yake.

Tumuombee afya njema na ulinzi Sokoine wetu mpya. 

Kiongozi huheshimiwa kwa utendaji wake, sio kwa kususia kazi uliyotumwa na wananchi au kwa kutoa matamko huku ukitokwa povu..

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hamna kitu hapa, anatuongopea tu huyu, ndiyo walewale hawa

    ReplyDelete
  2. Umeona eeeh!
    huyu ndio wa kumuweka kwenye orodha ya wanaotakiwa kuwa ma-Rais
    wa nchi hii,sio Lissu.

    ReplyDelete
  3. Tuulizeni sisi jirani zake,huyu ndio kiongozi wajemeni.

    ReplyDelete
  4. Nyie wasenge nn!!Hilo gaidi ndo la kumpa urais,kweli Sa hivi kila mtu anaona u president ni kitu kirahisi,huyo mwigulu atapigiwa kura na matahira wenzake cyo watu wenye akili timamu

    ReplyDelete
  5. umenena ndugu, baadhi ya hawa watanzania wenzetu wameshaanza kuwa mataahira!! nani ampe huyu uraisi?, shule zakata zimebomoa, hazijaleta tija yoyote kwa baadhi yahawa ndugu zetu waliozipitia!! elimu ni kitu muhimu sana jamani!!

    ReplyDelete
  6. wewe unaemiliki blog hii msenge...mbona unaleta habari za uongo na unafiki mara kwa mara????nani asiejua kuwa mwigulu mchafu tena ananuka ujinga....alafu unamfananisha na hayati SOKOINE????ukome tena ukome thana..pumbaffffffffffffffffffffffffffffffffffffff

    ReplyDelete
  7. tena itakuwa baraka kweli kwa Tanzania kama cccceemmmm wakimsimamisha, sababu upenzani utachukuwa kiulaaaaaniii hiko kiti muhimu!!! tunakuombeni mfanye hivyo cccceemmm!!

    ReplyDelete
  8. Mtatokwa na mapovu kwa sasa lakini mtamkubali tu.

    ReplyDelete
  9. Ngoja niimbe mie.
    Atakaemchukia Mwigulu wetu,atapata laanax2.
    oooh mama wee,atapata laana x2
    oooh baba wee utapata laanax2

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahahahahahahahahahahahahahahaha!mbavu zangu mieeeeeeeeeeeee!

      Delete
  10. Tulijua kuwa Mheshimiwa Komba kachukua ardhi ya wamakonde na kaichukulia mkopo wa bilioni?Mishipa imemtoka anaimba kuwa amani imepotea Tanzania!Hatujui huyu nae tutakuja kusikia nini kwake!

    ReplyDelete
  11. Akili za watanzania ziko katika maajabu kumi ya dunia!huyu mtu si kila siku ndio wa kwanza kupinga hoja muhimu za wapinzani za kuleta maendeleo huyu mkundu kunuka huyu?!baada ya huo ulinzi apewe kafurila aliye lipua wizi wa mabilion ya IPTL ambao nyinyi walala hoi mlikuwa hamna mnachojua eti leo hii ulinzi apewe huyu kibaraka na mtetea mafisadi!kweli ndio maana serikali ya ccm inafanya juu chini wananchi wake wasielimike ndio kama hivi!

    ReplyDelete
  12. nakuambia kama wapiga kura ndiyo hao waliomsifia huyu jamaa, basi tumekwishaaa!!

    ReplyDelete
  13. Huyu anafaa kuongoza green guard sio wananchi.Wapi Tundu Lissu Jembe Christiano Ronaldo wa Ukawa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad