Laana ya Mama Yamtisha Wema Sepetu

NYOTA  wa  Filamu  za  kibongo  Wema  Sepetu  amesema  kuwa  katika  maisha yake  anajitahidi  hakosani  na  mama  yake  mzazi, Mirium Sepetu  ili  kukwepa  kupata  laana  ya  kile  ambacho  anaweza  kumtamkia  na  kuharibu  mwelekeo  mzima  wa  malengo  yake  aliyojipangia  kuyatimiza  akiwa  ndani  ya  ndoa  yake……

Akizungumza  na  Mpekuzi, Wema  alisema  kuwa  ndio  maana  kipindi  ambacho  mama  yake  hakutaka  kuolewa  na  mchumba  wake  Nasibu  Abdul  ‘Diamond’  hakupenda  kutumia  nguvu  ama  uwezo  wake  wa  kifedha  kumpuuza  mzazi  wake  kwani  anaamini  angemuumiza  na  kumfanya  amtamkie  maneno  mabaya

Natambua  fika  kuwa  Mungu  ametuagiza  kuwaheshimu  wazazi  wetu  kwani  hawa  ni  miungu  wadogo, wakitamka  neno  lolote  baya  baada  ya  kuwaudhi  huwa  linaumbika  na  kuwa  shida  kwa  mhusika, ndio  maana  wakati  anaweka  mikingamo  ya  mimi  kuolewa  na  Diamond  sikulazimisha  bali  niliendelea  kumsihi  akubali.” Alisema  Wema.

Penzi  la  Wema  na  Diamond  linazidi  kupamba  moto  hasa  baada ya  hivi  karibuni  kuvishana  pete  nyingine  ya  uchumba  baada  ya  mama  Wema  kubariki  penzi  lao

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Leo mama wema amebariki ndoa ya wrma na aliiapiza kuwa kata kwa mapanga lazima ubariki hana soko tena nani anamtaka mtakufa njaa pesa yakula ugali hakuna kabaki uyo bwege kama hajawahi kuona wanawake

    ReplyDelete
  2. mmi nampenda wema mpaka na chaganyikiwa asa wakiwa na.diamondi mungu awayagulie jamani mfunge ndoa ivi karibuni maana sis mashabiki wenu love u more

    ReplyDelete
  3. Da wema tunakupenda ila unahitaji kutuliza akili kwani kama kweli unataka kuishi na diamond lazima ibadili style ya maisha,utoke kwenye maisha hayo ya ujanja ujanja na kuishi kwa utulivu,maana yangu ni kwamba kwa sasa diamond yuko na wewe lakini kisaikolojia inaonekana hakuamini ,sina maana ya kuwa hakuamini sababu unatoka nje na wanaume wengine hapana ila anauoga je akikuoa utaweza kutunza vizuri na kuendeleza miradi yenu? kumbuka ana pesa sasa ambazo zinataliwa kuendelezwa na kusimamiwa na mtu wa uhakika ambaye kwa maoni yangu kama utaacha utoto utoto utakuwa wewe, so tuliza akili muanze maisha mnaweza mkawa mabilionea kama mzee mengi kama mtakua serious,lakini mwenzangu wewe kutwa kucha lazima uongee kwenye vyombo vya habari kwani ni lazima?,kumbuka hakuna mwanaume wa ukweli anafurahia kuona kila wakati mpenzi wake yuko kila siku magazetini,HEBU MFANYE DIAMOND AWE KIFUA MBELE NA AJIAMINI KUWA ANA MPENZI IMARA.

    ReplyDelete
  4. Wema Na diamond nawapendaaa wote waruwaru wanaendana,they have something in common wazungu wanasema.ukioa mwanamke ambae tabia aziendani Ni mateso kwa mmoja wao.Haki ya nani Domo ukimtosa Wema wewe,tangu mbagala mnae,mtoto Wa balozi Sepetu.we Wema na Diamond mikundu kweli Sasa hiyo mitatuu mliyojichora mwilini maana Yake nini?nyi Si watotot Wa kiislam?

    ReplyDelete
  5. Mdau hapo juu Unajua mkundu zaidi ni Wema kwasababu gani limepata bahati ya kupata boyfriend mwenye pesa ambaye anahitaji mwanamke imara wa kumuongoza wafanye nini sababu yeye domo mazingira aliyokulia yanahitaji mtu wa kumuongoza lakini hili li wema linaboa bana kila wakati ni kuongea na magazeti,pia diamondi akisafiri unaona linaanza kupost picha za kimahaba likiwa na martini kadinda unadhani domo anafurahi hata kama hasemi,limebaki kujichorachora tu.Hebu tulia da wema ili domo wako afanye mambo watu wale pilau but ukiendelea na mitabia yako ya ajabuajabu siamini kama domo atakuwa tayari kukuweka ndani,mbona sista zako hawana mbwembwe za kisenge?,tulia bana unaboa.

    ReplyDelete
  6. Nani kakamatwa na madawa ya kulevya china,?tuleteeni Umbeya basiiii?????

    ReplyDelete
  7. Msituletee shida zenu. Huko huko mnakofirana ni huko huko

    ReplyDelete
  8. MI NINAWABARIKI DAIMA MANA WEMA NI WG WA MILELE ..DIAMOND NAMPENDA SANA PIA LKN BILA WEMA NISINGEMPENDA SANA NAWATAKIA BAAARAKA TELEE MUISHI KWA UOENDO MFANYE MAISHA MUNGU ANAWAPA SANA DIAMOND AMESHAPEWA SO HAKUNA WA KUMNYANGANYA WEMA TULIZANA MAMA MLEE MMEO NA MZAEEE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad