Ladies:Mwanaume Anakomeshwa Kwa Akili na Busara, Ukiwa Mpumbavu Utaivunja Ndoa Yako Mwenyewe

Ulipoamua kumgawia Moyo wako uliapa KWA SHIDA NA RAHA,huku unatabasamu ndani ya Suti/Shela yako ukiwa na lots of Expectations LAKINI usisahau umeoa/umeolewa na BINADAMU mwenye Mapungufu hata kama hukuyaona kabla hujaingia ndoani..
Ameshakuwa mkeo/mmeo...Unagundua kwamba AMECHEAT na ushahidi unao...Mna mtoto/watoto ndani tayari
MASWALI YA KUJIULIZA:
1.Ukimuacha kwa sababu amekusaliti na kumuona hafai,Nani ni Mkamilifu??
2.Ukimuacha kwa sababu amekusaliti,huyo unayeenda kumpa moyo wako upya yeye sio Binadamu ni Malaika?
Zimwi likujualo halikuli likakwisha,Tena Heri huyo wako ukute ana udhaifu mmoja tu wa 'kujinyoosha kidogo tu kamguu ka kati' ni afadhali kudeal na Kitu kimoja..Unaweza ukamuacha mwenye kaudhaifu kamoja ukaenda kupambana na mtu mwenye madhaifu 6...Sawa hana udhaifu kama wa yule ila ana mijiudhaifu mingine tu kama 6 hivi..Hajali...Levi..Hakufikishi...ila ANA HELA...
Umekuta Condom kwenye Suruali ya Mmeo asubuhi ukiwa unamnyooshea???Mwambie tu Baba nimeona..Nakutakia kazi njema..na busu takatifu juu...Akirudi jioni mpikie chakula anachopenda na mpe penzi moja matata ambalo hujampa kama Mwaka na usimkumbushie ulichoona asubuhi MILELE...Lazima awaze sana na kujirudi...na ipo siku atafunguka tu na ku-apologize YEYE MWENYEWE!Mwanaume hakomeshwi kwa MANENO..tushayazoea..Ukimtukana ndo unaharibu zaidi...Mwanaume anakomeshwa kwa Akili na Busara..How you handle him at his faults...Ajue amekucheat umejua na ndo unampa HUBA TEULE zaidi,it will make him think twice kwanini anakutenda na wewe unazidi kumpenda..Sasa kizazi hiki cha Wanawake WANATAKA USAWA...NTAMKOMESHA...TIT FOR TAT...AKITOKA NA MIMI NATOKA
Pole sana...Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe...Asema BWANA!
Ukiguswa Gusika halafu HAMASIKA!

-Mtume na Nabii Seth,Facebook Church of All Nations(FCOAN)-


Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. well said, washindwe wenyewe sass

    ReplyDelete
  2. Wello done na Kufananisha na Christiano Ronaldo wa Ukawa

    ReplyDelete
  3. Na yule mwanaume anae isaliti ndoa na kumpiga mkewe kama mwizi na kumletea hawara ndani ya nyumba wana tenda tendo la ndoa mbele ya macho ya mkewe nae aendelee kuvumilia? Tufafa nulie na hilo basi hayaja wakuta ndio maana ni rahisi kutoa ushauri.

    ReplyDelete
  4. Nadhani ni wakati muafaka na sisi wanaume tukajifunza pia kuwahandle wake zetu sio kila siku kusubiria wao watuelewe huku sisi tukipuuzia hisia zao. Je wewe ukikuta condom kwenye pochi ya mkeo utampiga mabusu au makofi? Au ukigundua anacheat utamrudisha kwao au utawaza kuwa ni lipi ufanye ili kunususru ndoa? Ukiguswa gusika halafu hamasika

    ReplyDelete
  5. NIMEKUPENDAJE MDAU HAPO JUU 2:50 PM SHUKRANI KWA KUTUJALI

    ReplyDelete
  6. Mxiuuuuuuuuu ndiyo ninyi wanawake wapumbavu mnafia kwenye ndoa kwa kupigwa au kusababishiwa magonjwa ya moyo! mwanamke mpumbavu hufia kwenye ndoa kwa heart attack!

    ReplyDelete
  7. Na nyie wanaume ili kudumisha ndoa, ni vizuri kumvumilia mke anayechepuka! Akipitiwa bahati mbaya na utamu wa king'asti akarudi asubuhi, mpokee na mabusu motomoto na jioni ukirudi mletee IST mpya imeandikwa jina lake, na mil 3 pocket money, uone atakavyo ona aibu na kuomba sorry, mwishowe mchepuko atautupa kulee!
    Ukimfumania tena ongeza Kluger V.... atakuzalia mapacha! Ndoa na ijengwe na wanandoa wote kwa kuvumiliana haswa wanapochepuka!

    ReplyDelete
  8. Na nyie wanaume ili kudumisha ndoa, ni vizuri kumvumilia mke anayechepuka! Akipitiwa bahati mbaya na utamu wa king'asti akarudi asubuhi, mpokee na mabusu motomoto na jioni ukirudi mletee IST mpya imeandikwa jina lake, na mil 3 pocket money, uone atakavyo ona aibu na kuomba sorry, mwishowe mchepuko atautupa kulee!
    Ukimfumania tena ongeza Kluger V.... atakuzalia mapacha! Ndoa na ijengwe na wanandoa wote kwa kuvumiliana haswa wanapochepuka!

    ReplyDelete
  9. Na nyie wanaume ili kudumisha ndoa, ni vizuri kumvumilia mke anayechepuka! Akipitiwa bahati mbaya na utamu wa king'asti akarudi asubuhi, mpokee na mabusu motomoto na jioni ukirudi mletee IST mpya imeandikwa jina lake, na mil 3 pocket money, uone atakavyo ona aibu na kuomba sorry, mwishowe mchepuko atautupa kulee!
    Ukimfumania tena ongeza Kluger V.... atakuzalia mapacha! Ndoa na ijengwe na wanandoa wote kwa kuvumiliana haswa wanapochepuka!

    ReplyDelete
  10. Tit for tat ndiyo habari ya mjini! Mkimwaga mboga tunamwaga ugali, maji ya kunywa, kachumbari, chachandu na fruits!
    Pelekeni pumbu zenu huko, eti nimbusu mume malaya, ndivyo mlivodanganywa mke mwema ni yule atakayevumilia umasikini wako na umalaya wako! Wajinga labda mkaoe mabibi zenu wa 19 kweusi! Wale magoal keepers wanaweza kuvumilia shits zenu, ila nao watatombwa na wauza magenge na wauza urembo!

    ReplyDelete
  11. Hahahaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiii anony 9:50 umefunikaaaaa! Akichepuka mara ya kwanza Ist mpya mara ya pili Kluger V, duh nimecheka saaaaana!
    Una akili sana wewe! Nani kanuna????

    ReplyDelete
  12. Yes mwanamke mpumbavu ni yule atakayemnunia au kugombana na mumewe akichepuka!
    Ila mwerevu ni yule atakayechepuka na boss wake au mwanaume mwingine bab kubwa kuliko mumewe, na akirudi nyumbani anapose kama mke mwema anambusu na kumpikia mumewe na kumwambia baba nimeona condom kwenye suruali!
    Huyu ndiye mke mwema sababu hatagombana na mumewe kwavile naye anachepukwa sehemu!

    ReplyDelete
  13. Kama una hela sanaaaa naishi Nyumba nzuriii, naendesha gari kali sana, watoto wangu wako international skul naweza vumilia hizo shits!
    Lakini mume mwenyewe lofa unanipiga free p halafu nikupokee nikubusu na ukimwi ulioleta nje, thubutuuu! Kawatombeni Bibi zenu wa mwaka 47! Not us tuna masters zetu, tena very independently!

    ReplyDelete
  14. Mwanaume mpumbavu ni yule anayemletea mkewe ukimwi kutoka michepukoni halafu a expect hayo uliyoyaandika hapo juu toka kwa mke wake!
    Na mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa kupokea magonjwa hayo kwa tabasam akidhani anajenga ndoa kumbe anajiua na kuacha yatima wa kujitakia!

    ReplyDelete
  15. Hizi ni pumba na akili finyu za mianaume ya kiafrika! Hivi ninyi mbomoe ndoa kwa makusudi na umalaya, halafu mumpe mwingine kazi ya kujenga! Mko sawa kichwani?
    Hebu rudieni mlichoandika! Halafu mtegemee tupate flyovers, huduma bora za afya, elimu bora, maji safi, makazi bora na uchumi imara, wakati akili zenu ndiyo hizi? I pity for u African men!

    ReplyDelete
  16. Huwa najiuliza sana reasoning ya wanaume wengi wa kiafrika! Yaani ni zero to negative!
    Unaweza kusikiliza arguments zao ukaona lol hivi huyu ni mtu ninayemtegemea awe kiongozi wa familia?
    Sasa kama uongozi wa family ambao amepewa naturally na Mungu unampiga chenga, je akipewa majukumu mengine ya kuongoza nchi na kusimamia rasilimali ili kuleta ustawi wa Taifa si ndiyo kituko zaidi??
    Ushahidi ni hali ya dhiki kali iliyoandama bara la giza Afrika pamoja na utajiri mkubwa lililonalo!

    ReplyDelete
  17. uzuri kila mtu kapewa uwezo wa kuchagua kuishi atakavyo.....mi nnachofanya ni kuwakomoa tu hawa viumbe dhaifu kama kidem kikiamua kulipiza freshi tu maisha yangu naendelea nayo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad