Lady Jay Dee Awakata Wambea Midomo Kupitia Page yake ya Instagram
6
August 16, 2014
Kama mnavyojua kwasiku mbili tatu hizi kumekuwa na taarifa mbalimbali kupitia blogu hizi za udau na hata SOSHO MEDIA kupitia AKAUNTI za wadaku ikiwemo mimi…kuwa Komando Lady Jaydee ametengana na mumewe Gadner G Abash...Haya sasa Lady Jay Dee Ametukata Midomo kwa Kuweka Picha ya Vidole vyake huku vikiwa bado na Pete ya Ndoa .....Na kuandika "Kucha zimekosa rangi ya Oriflame tu, ili zing'ae zaidi ya hapo "
Tags
Mwizi wa mume wa mtu nyau huyo! ndo sababu kakosa baraka ya ndoa! Machozi ya mwanamke mwenzie hayapotei bure!
ReplyDeleteHlf wanawake tuache rohombaya simchukii jide kilichomfanya akamtoe kibeta kwa gadner aingie yeye nini?kama hukutumia ndumba ilikuwa haki yako sawa lkn km ni ndumba we kazi yako utaloga tu mpaka yesu arudi na hutakuwa na amani umezidi.mkiambiwa mtafute wenu hamtaki.kwani kwa pesa ulizonazo ungeshindwa patawakwako wewe.rohombaya hiyo.naukute hupat mtoto sababu ume mtoa mwenzio nasiajabu ukaachana na gadner ukapata mtoto pasipo kutegemea.mungu si athumani endekeza rohombaya tu mwisho mbaya.
ReplyDeleteMdau hapo juu ww ndo uloibiwa mume nn?mâle yanakutoka kanakwamba mumewako?jaman,vit vinaenda na rien huyo mmke mxenzake naye rizk iliisha,Kama suala la mtt anayetia mtt ni Mungu si bdam,naye upo ck Mungu atamuona kwakua yeye ndiye aliyehalalisha ndoa,bdam mnasahau ya kua kila kit kinapngwa na Mungu na kisicho rizk hakiliki,so isingekua rizk yake asingeishinae
ReplyDeleteMbona mnamsema jayde??hivi Kama mwanaume hataki kuendelea kuishi na mwanamke mtamfunga kamba??acheni mambo ya kizamani..life is too short..kwa hiyo mlitaka hata Kama mpenzi yameisha kwenye ndoa gadna angeendelea tu na mkewe?? Ndo mana wengine wanauana ndani ya ndoa sababu ya kujifanya wavumilivu!!
ReplyDeletemtasema sana lkn alichopanga mungu mwanadam haez kutenganisha
ReplyDeleteNdio nyie mnasapoti ujinga km rizki iliisha mbona yakanisani walishindwa kufunga?kwani ndoa Yao yakanisani hiyo acheni kutetea anaroho mbaya lazima tuseme.mungu niwahaki fanya shortcut zako tumia ndumba at the end kwake utasujudu ndioupate utakacho.so helasikila kitu katika hayamaisha uwe nahofu ya mungu sio ujeuri jeuri tuu.kamtoa mwenzie hili hatamkatae ndio hivyo sasa utavuna ulichokipanda.
ReplyDelete