Lady Jay Dee Naye Atangaza Siku ya Kurudi Tanzania Kutoka Marekani Akiwa na Tuzo Mkononi

Anaconda, Lady Jay Dee ambaye ameshinda tuzo ya AFRIMMA kama mwimbaji bora wa kike Afrika Mashariki atatua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, August 31 mwaka huu akitokea Marekani.

Akiongea na tovuti ya Times Fm, meneja wa Lady Jay Dee, Captain Gardener G. Habash amesema kuwa mwimbaji huyo anatarajia kuondoka Houston, Marekani August 1 na kuingia Dar es Salaam August 3.

Amesema Lady Jay Dee yuko Marekani alikuwa ameenda kwa ajili ya likizo au mapumziko.

Tuzo hiyo ya AFRIMMA imekuwa tuzo ya 30 kwa muimbaji huyo, idadi hiyo ilifahamika rasmi baada ya kuandika ujumbe wa shukurani kwa mashabiki wake.

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anaconda? why anaconda
    Hufanani.

    ReplyDelete
  2. hongera mdada uipa Tanzania jina

    ReplyDelete
  3. Yap tutasheherekea nyumbani tu kuandamana tuachane nako ukizingatia tuzo ya30.nikawaida yako.hapakazii tu namatunda yanajionyesha yenyewe.

    ReplyDelete
  4. Si alisema anarudi kimyakimya?

    ReplyDelete
  5. na mimi nashangaa,yeye alisema atarudi kimya kimya,imekuwaje tena,wataenda kumpokea anakonda wenzie,mwanamke anadharau sana kwa mashabiki wake,

    ReplyDelete
  6. Mara aug31 mara aug3 ipi sahihi? Nyambafu.

    ReplyDelete
  7. Huwa cmwelewi huyu anaejiita anaconda muda mwingi hana furaha ni full mattress ana shida gani wadau nisaidieni

    ReplyDelete
  8. shida yake ni roho mbaya inamsumbua

    ReplyDelete
  9. nimkubwa wa umbo kimziki Tz and East Africa lakini kiakili bado ajakomaa

    ReplyDelete
  10. Surayake tu imekaa hvyo ye nimtuwakazi tu.naukimchokoza kichwa yake ikovizuri sana atakufurahisha.otherwise ye anataka yake yanyooke tu vizibo hataki maishani kwake.

    ReplyDelete
  11. NI mdada anaejituma sana hana majungu jamani. kama mnakumbuka alivuma yy na Rac c wakati huo akiitwa kiuno bila mfupa sasa anaitwa teja wakat anaconda anapeperusha bendera huoni huyu mdada yuko serios na kazi. Piga kazi dada maisha yasonge mbele

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad