Martin Kadinda Ajibu Tuhuma za Kushindwa Kumsimamia Wema Sepetu Ipasavyo

Maswali mengi yamekuja baada ya Wema kufanya show Mwanza mpenzi wake alipokuwa akiperform jukwaani, pamoja na hayo mashabiki waliyo wengi wametaka kuona Wema akijishughulisha kuliko hivyo anvyo zunguka na hawajui anafanya nini. Wema ana mashabiki wengi sana wanaompenda na kutaka mafanikio yake. Baada ya swali hilo hapa chini ndo jibu alilitoa kaka Meneja wa Wema amejielezea vizuri sana baada ya Kuambiwa Kashindwa kazi:



Post a Comment

26 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. for sure kadinda umeongea..tatizo lipo kwa wema u have done let pipo blem wema and not u thx man

    ReplyDelete
  2. Hongera Kadinda kwa kuweza kufanya kazi na wema,
    mimi nisingeweza kudumu kwa muda huo ambao wewe umeweza
    kuwa nae.Ni shida huyu dada kuwa nae,vinginevyo mfanane akili.

    ReplyDelete
  3. Wema hana haja ya manager kwanza anaonekana kichwa ngumu, anapenda maisha flan flan hv ambayo yana mpa shda sana kaka manager.Wema inabd ukue ww umr haurud nyuma.

    ReplyDelete
  4. Wema anapenda sifa hana lolote, she seeks for the attention

    ReplyDelete
  5. Wema Ni shidaa kama mama yake mzazi kamshinda, martin upaswi kulaumiwa. Wema ndivyo alivyo, na maisha aliyochagua kuishi ni hayo akuna WA kubadilisha maisha yake. Kwani kwa umri wake c mtoto Ni mtu mzima Sana.

    ReplyDelete
  6. Mama Ni mama Ata kama ajui kingereza kama wewe wema, uwezi kufanikiwa wema. Mtawalaum watu lakini tatizo Ni wema mwenyewe, akaweke mambo sawa kwa mama yke, kila kitu nitaenda sawa. Asipofanya hivyo atabaki kuwa dancer WA domo daima. Mwanamme anakupenda akukatishe mauno kwa mashabiki wake? Wema we Ni daraja la kuwavusha wanaume wanaojitambua kama domo. Ongera domo acha umtumie huyo mkosa radhi ya mama yke. Wewe mambo yako yanasonga na unaupendo mkubwa kwa mama yko. Tumia boya Hilo ukimaliza tafuta mke mwema oa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dah ni ukweli japo unaumiza, hamuoni mwenzie domo yuko chini ya muongozo wa mama yake? Siamini ktk ushirikina but Wema km washamfanya ndondocha wauswaz wale!! Wameshachungulia nyota wanamtumia tu maskini! Mama yake Wema alisema wamemchinjia kondoo mwanae kwa kafara watu ooooh mama kapagawa yani pana namna chezea tandale line!!! Mkeo mtarajiwa kwenye stegi viuno njenje kweli??? Mf Koffii Olomide Sindy alikua densa wake baada ya kuzaa naenakumuona anathamani anamkatisha tena viuno kwa steji?? Hata uvaaji uko tofaut.Wema karogwa total!!

      Delete
  7. Mtoto wa mjini lazma uwe na akili wenzio wanachungulia fursa wanafanya yao, fursa uloipata kwa Clement ukaichezea haiwez rudi Wema angalia mamiss wenzio walopita kina Klyn, Faraja na wengine wengi yani wana adress ww mwenzetu hujielewi uzuri unaisha umri unaenda! Kutwa kutiwa na watu tofauti k8la mtu dushelele lake size tofaut matokeo yake umelegea matako unajikoleza mikorogo ili uzidi kuwavutia namwili unapasuka km matuta ya viaz.! Hadi huruma! Am sure kwa Clement ulikua high class jamaa hadi kukughalamia kutengeneza ngoz china hiv hujui mwanaume anaekuthamini?? Umemuona huyo anaekukatisha viuno hadharani? Wake up girl??! Kwa CK ungekua mbali sn!.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe msenge hapo juu mnataka wema aishi vp ?alipokuwa na ck mlikuwa hamuishi kusema anaiba mabwana wa watu ,akifanya chochote mnasema kwani mnamtaka nini huyu dada??leo yuko na kijana mwenzake maneno maneno mengi sasa afanye ninifurahie?Wema huyo kadinda awe na mipaka kwani alivyokuwa siku zote anakushikashika kimahaba alikuwa anaona sawa sasa leo umeanza kuachana nae na kujidhadhiti kwa boyfriend wako anaanza kuumwa roho kama vipi akiona hakuwezi aende zake kwa anaowaweza akuache ulivyo kwasababu usingekuwa na pesa asingekufuata .

      Delete
    2. Tunacho sema, Wema angekua na akili za kujiendeleza, kuwa serious na kazi angekua mbali alipokua na CK sababu yule mzee alikuwa radhi kumfanyia wema makubwa ila yeye tu ndio hazimo, angekua hata amejenga nyumba yake na za biashara na kufungua mabiashara kibao, yeye Wema anatakiwa akue sasa, afanye kazi na kuachana na mashoga wasio na maana kama huyo malaya Ezekiel

      Delete
  8. Mama Sepetu asingemzaa huyu mtoto,angepeta maradhi makubwa tumboni.
    Ni shiiida!

    ReplyDelete
  9. Mwacheni,dunia itamfundisha.

    ReplyDelete
  10. Na huyo Domo c anajifanya star awaombe radhi shabiki wake na shabiki wa Wema coz ametukosea sn kumdhalilisha Wema! Km anahic nimaisha yao binafsi kakosea koz kafanya ktk stej! Tumeumia sn yani humuoi humshaur vzr humfungulii biashara matokeo unamtumia ss ktk biashara zako! Domo umeboa #bring back out Wema# la sivyo makopo na chupa za maji zitakuhusu ukipanda stejin labda uombe msamaha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tatizo wewe unamtaka domo ndio maana unatoa kashfa,sasa nasema hivi jaribu huo upuuzi wako wa kurusha makopo kama hujaona UKAWA wanakuibukia,mwacheni Wema na Domo wake wafurahie maisha kwanza maisha yenyewe mafupi.Shwaini mkubwa weee!

      Delete
    2. wewe ni rafiki mnafiki wa wema,akiharibikiwa utakuwa wa kwanza kumcheka.

      Delete
  11. Tamaa ya pesa ilimuua yuda

    ReplyDelete
  12. akili ni nywele kila mmoja ana zake..ht kadinda kajitahid kwa alipofikia panatosha

    ReplyDelete
  13. kwa pesa alizonazo diamond now lzm angeweka mambo sawa ya wema wema amka mama

    ReplyDelete
  14. Msimsakame diamond kujituma ni kwa mtu yeye mwenyewe kujitambua na kuamua kushika fursa sasa kama yeye alifunguliwa kampun na ck na hatukuona zao zaidi ya stupid show haijengi wala kufundisha sababu akamwacha awe chombo chake cha starehe

    ReplyDelete
  15. Niliona Diamond alimshilia Dina kihuni... tena Dina alikuwa very unconfortable.. halafu kawa kama anampromote.. blaa blaa fulani pale mwishoni kama vile Dina anahitaji msaada wake. The girl can sing kukuzidi Diamond huna haja ya kufagilia. Baki na huyo WEma asiyejitambua. I was so happy niliona kama Dinah anajitambua kidogo na anapiga mzigo wa kuimba na kucheza mwenyewe. Sadly Wema nae akaja kukata mauno kufagilia Domo. She wa shy though kiuongo uongo. Wacha movie iendelee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  16. Kadinda akiacha kuwa manager ataamka usingizini. Tena katika barua ya kujiuzulu atoe point kama hizo za juu - kwamba wewe wema hushauriki kaa la vilaza wako mie nasepa.

    ReplyDelete
  17. NYIE MNAOJIDAI NI WASHAURI WA WEMA WOTE NI WANAFIKI,PIA HUYO MARTINI KADINDA HANA LOLOTE COZ TUKUMBUKE KUNA BAADHI YA WATU KAMA KADINDA UMAARUFU ALIOKUWA ANAANZA KUUPATA NI KWA KUPITIA KWA WEMA,SASA BAADA YA KUONA WEMA KAWA NA UHUSIANO DIAMOND YALE MAMBO ALIKUWA ANAFANIKISHA KUPITIA WEMA YAMEKATA SASA ROHO INAMUUMA, PIA TUKUMBUKE MAISHA ALIYOKUWA ANAISHI WEMA ALIVYOKUWA BILA DIAMOND HAYAWEZI KUWA SAWA KWANI WEMA ALIHARIBIKA NA KUWA MTU WA KUPATIKANA KUMBI ZA STAREHE LAKINI SASA KATULIA LAKINI HAMRIDHIKI SASA MNATAKA AFANYE NINI? ALIPOKUWA NA KIPINDI EATV MLIKUWA HAMUISHI KUPONDA NA KILA ANACHOFANYA MNAJIDAI MNA UCHUNGU SANA, KWANI ILE EPISODI YA 20 YA KIPINDI CHA WEMA IN MY SHOES AKIWA NA MARTINI KADINDA NA HILI LA FIEST NI KITENDO KIPI KILIKUWA KIBAYA?MBONA HUYO KADINDA ALIONA SAWA TU? IWEJE LEO WEMA AMEANZA KUJIKITA KWA BOYFRIEND WAKE NDO MUANZE KUJIDAI MNAJUA SANA ETI MNATOA USHAURI HEBU TOENI UMBEYA WENU HAPA,DADA WEMASHIKIRIA HAPOHAPO ULIPOSHIKA KWA MCHUMBA WAKO ANAYEPASUKA APASUKE KWANI KILA MTU ANA MAISHA YAKE NA WALA HAYATAKAA YAFANANE HATA CKU MOJA.NA HUYO KADINDA AACHE USHOGA WAKE KWASABABU KAANO DOMO SIKU HIZI KAPATA DISIGNER WA UKWELI SHELINGOWI SASA ANAONA WIVU,HALAFU KOMENI KABISA MNAOJIITA MASHABIKI WAKE KUMBE NI MAHASIMU WAKE MNAOJIDAI KUJUA KUSHAURI SANA, BAC KASHAURINI NDUGU ZENU WEMA MUACHENI, JITU LINGINE LINADIRIKI KUSEMA KUWA NI BORA ALIVYOKUWA NA CK,ACHENI UJINGA MNATAKA AWE NA MTU MWENYE FAMILIA YAKE HADI LINI ACHENI AKAE NA KIJANA MWENZAKE KAMA YATAMSHINDA NI YEYE MWENYEWE
    . KAMA KUNA MTU ANAONA HAWEZI KUWA SHABIKI WA WEMA AKAE MBALI NA WEWE MARTINI KADINDA KAMA UNAONA WEMA KAKUSHINDA BASI TAMBAA ZAKO MUACHE AKAE ANAVYOJUA SABABU UNGEKUA MENEJA WA UKWELI USINGELETA UNAFIKI WAKO KUANDIKA MITANDAONI ILA YANGEISHIA OFISINI.

    ReplyDelete
  18. Wewe mdau wa 3:39pm sithani kama unaguswa na mambo ya wema,wewe ni mchawi namba moja.Ulaaniwe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni anti ezekiel huyo mdau 3.39,sasa pata picha.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad