Baadhi ya Mashabiki wa Wema Sepetu Wamekuja Juu Baada ya Kuona Wema Sepetu Anazidi Kupata Umaarufu tu Kwa Kupitia Skendo Badala ya Kutumia Umaarufu alio nao kufanya Vitu vya Maana, Shutuma nyingi zinapelekwa kwa Manager Wake Ambae Wengi Walizani Atafanya Mambo Makubwa Kupitia Jina la Wema Sepetu Lakini Mpaka sasazaidi ya Mwaka hakuna cha maana alichofanya zaidi ya Mapicha picha tu Instagram...
Baadhi ya Waliomnanga Martini Kadinda ni huyu Hapa jisomee mwenyewe:
Marafiki wajinga ndio wanammaliza Wema,wanajidai kumpenda wakiwa usoni kwa wema,
ReplyDeletewakimpa kisogo wanamnanga.Martin ni bonge la manager ila wema habebeki,tuwe wakweli.
na kum-manage wema sio kazi ndogo,maana linalomjia yeye kichwani ndio hilohilo hata kama ni baya na ukijaribu kumuonya ndio kabisa na matusi utapata,kadinda kamvumilia sana wema.
Mzazi na ndugu walimshindwa wema,kadinda ni nani mpaka amnyoshe wema?Mbaya na huyo Diamond hana hata namna ya kumwongoza wema,maana wote akili ni kama zinafanana,japo yeye ni mjanja kwa kumtumia wema kutafuta pesa.Wema tafakari na uchukue hatua.
Yaaah,nakumbuka siku moja katika hali ya kumrekebisha wema,kadinda alimuuliza rafiki wa wema,hivi wewe umeacha nyumba yako, na ni mke wa mtu ukaja kulala kwa wema,ndio kusema wewe unampenda Wema sana?Heeeeeeeeee yaliwatoka maneno hawa mashoga mpaka nilimuonea huruma Kadinda,kweli
Deletekadinda ni mvumilivu mno.
ReplyDeleteKama sikosei Wema ndio alikuwa wa kwanza kuleta actress kutoka nje,sasa badala ya kusonga mbele amekuwa kama karidhika na kwamba kitu kinachompa raha maishani mwake ni Diamond ni kama karogwa vile.Diamond msaidie wema,si bure nahisi umemloga.
we dont need now to see wema na hao marafiki wapuuzi jobless ndo wanamganda nae anakua jobless plzzz martine bring back our wema
ReplyDeletediamond to 50m ili mwenzako aanze biashara yyt na hata km sio biashara office irud mara moja awe anakaa ofisin
ReplyDeleteMarafik ndio wanaommaliza na c chochote anawanyanyua wengi wakipata wasepa akae yeye na meneja waketuone atafika wap mana hatuelewi kazi yake ni hasa sawa hatumzuii kuwa na diamond ila hata huyo diamond msimamo wake haujulukan nn hasa wake up mamy unapendwa sana ila hujielewi kbs cjui ufanyweje wewe hicho kichwa chako kingereza bila hela ni makele tu
ReplyDeletehiyo ni akili yake wema sio marafiki,umri wake ni wa kujua baya na zuri,wema hana akili za maisha ila siku azigandi akizeeka anafikiri atabaki hivyo hivyo kumbe umri unakwenda.mbona nyie mnaosema marafiki wanamdanganya nyie hadanganyi?kizazi cha wema.uwoya ,aunt,wolper,kajala........kalaibu kinafika mwisho.wataanza kuvuta shuka kumbe kumekucha.
ReplyDeletehapa aliyeganda ni wema peke yake,hao wengine angalau wanajikongoja.sio kila kitu chao lazima watangaze,account zao ziko juu kiasi.
Deletebaba na mama wameshindwa martin ataweza?MENEJA BONGO?hahahahahahha ya kwake yanamshinda ndio amsimamie wema,wa bongo acheni kuiga ulaya bana hahahahaha...
ReplyDeleteWema hayuko vizuri na Mwanamke (mama) aliyemzaa,
ReplyDeletekwa hali hiyo kamwe hawezi kuwa na mambo mazuri maishani mwake,atajikuta anapanda na kushuka,na hakuna mchawi hapo.amini msiamini.
Na wazazi ni Mungu wa pili,
DeleteMwenyezi Mungu katupa amri ya kuwaheshimu wazazi wetu,Wema halioni hilo na alivyo mjinga angeweza kujiuliza na kuona kwa nini Dai anamnyenyekea mamake hivyo?Ni mpenda sifa tu,kupenda kumridhisha Dai kwa kila alitakalo,kweli Wema kajishushia sana na kwa muda mfupi ameweza kupoteza mashabiki wake wengi.Tunampenda sana wema lakini kwa mtindo aliokuwa nao kipindi hiki mmmh,HAPANA.
Halafu huyu aliyemnanga Kadinda kwa kushindwa kum manage Wema ni rafiki mzuri sana wa wema,na pengine alisham-face Wema ila kwa kuwa Wema kawa zuzu siku hizi kamshindwa, pengine kajibiwa mbovu,simjui ni nani,lakini kiukweli anauchungu kumuona Wema anaharibikiwa,ana mapenzi nae.Mungu amjalie awe na ujasiri wa kumkosoa wema moja kwa moja.Huu ndio unaitwa ubinadamu.
ReplyDeleteANAWEZA KUWA TEAM WEMA KWELI?
Deletebadilika wema..mwambie chibu arudishe endless fame uwe bz na kazi zako shost
ReplyDeletempaka anacheza kigodoro mweee ni sheeeda lol
DeleteDoma hawezi thubutu kumsaidia wema anaogopa atamfunika sasa anachofanya ni kusafiria nyota ya wema ili yeye ndo ang'ae ndo maana wema anazidi kufifia na nyota ya wema ikizima na kibaki giza that means hata huyo diamond hatang'aa tena so hapo ndo itabidi ambwage wema ka zigo
ReplyDeleteKama ulikuwepo vile.mwenye masikio na asikie
DeleteMdau kwa Obama
KADINDA ANAONA PESA ZA WEMA ALIZOKUWA AKIIBA ZIMEPUNGUA, HANA UMAARUFU TENA. KILICHOBAKI ANAMTAMANI KIMAPENZI
Delete