Mch. Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Anunua Helcopter

Habari ambazo zimethibitishwa na facebook page ya kanisa la Ufufuo na Uzima zinasema kuwa Helcopta hiyo imewasili nchini tayari na sasa inafanyiwa assembling kwaajili ya kuanza kuruka jumatatu hii. Tukio ambalo limelifanya kanisa hilo kuandaa ibada maalumu ya kumshukuru Mungu kwa kupokea helcopta hiyo itakayotumika kusambaza injili Tanzania.

Helcopta hiyo aina ya R44 ni mali ya kanisa la Glory of Christ T Church ambalo liko chini ya mch. Gwajima. Akiongea Jumapili iliyopita kanisani kwake Kawe Mch. Gwajima alisema huku akimsimamisha Mjapani mmoja ambaye kwa mujibu wa Mch huyo ndiye aliyefanikisha ununuzi wa chopper hiyo ya kwanza nchini kutumika katika kusambaza injili.

Aidha, Mchungaji Gwajima alitumia muda huo kutoa Ufafanuzi juu ya kuwepo kwa taarifa za yeye kushirikiana na Nabii maarufu GeorDavie kuzindua helcopta hiyo alisema, "Nabii GeorDavie amepanga kukodi helcopta aina sawa na yetu (R44) na atatua nayo kwenye kanisa lake (ambalo pia lipo maeneo ya Tanganyika Packers) akitokea Arusha. lakini mjue wote kuwa helcopta hiyo si ambayo kanisa la Ufufuo na Uzima imeinunua bali imekodiwa seacliff na wala hatujaandaa mkutano wa pamoja na Nabii huyo" mwisho wa kunukuu.

Hii inakuwa Helcopta ya kwanza kutumika kuhubiri injili ikiwa ni mali ya kanisa. Ibada ya shukrani kanisani Ufufuo na Uzima itahudhuriwa na waimbaji kama Munishi aliyekwisha wasili na Malebo (ameokoka), Rose Muhando, Bony mwaitege, John Lisu, Upendo Nkone, Flora Mbasha, Christina Shusho na wengine wengi..

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ameeeeeeeeeeni

    ReplyDelete
  2. hahahahha wewe mwandishi acha story usizozijua vizuri. huyo MHESHIMIWA NABII DK GEORDAVIE WA NGURUMO YA UPAKO ARUSHA ANAYO CHOPA YAKE TANGU MWAKA JANA SASA SIJUI WEWE HII TAARIFA UMEITOA WAPI MPAKA KUSEMA MHESHIMIWA ANAPANDA CHOPA YA KUKODI

    ReplyDelete
  3. Good waumini ongezeni sadaka baba mchungaji apate mafuta apae juu zaidi ya mawingu. .tena msisomeshe watoto wenu wala ndugu zenu msile wala kuvaa vizuri msisaidie yatima wajane wagonjwa wala wazee mpeni anunue naya 2..na hummer ziongezeke ok

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata mimi nawashangaaa halafu wanakesha wakiilalamikia serikali eti hakuna maji, umeme na barabara ni mbovu na pia hakuna madawa hospitali wakati wanampa mtu helikopta kama hivi sasa tunavyoona dah kweli akili ni nywele kila mtu ana zake aiseee

      Delete
  4. Ni kweli mdau,wawasahau kabisa watoto wao na njaa, ziwakomeshe, na hakuna kuwavika vizuri watoto wao wala kuwasitiri ndugu zao wenye shida, na hao watoto yatima hao ndo mmmh wasahau kabisa , ikiwa mti mbichi utaundea hivyo je mti mkavu je? hao wazee ndi wataendelea kusahaulika huko mashambani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tatizo hamsomi habari kwa kwa makini mnaishi a kuropoka tu na kuongea pumba.Hiyo chopper Gwajima kanunuliwa na hajanunua.Lkn kwa kuwa mnajua sana kuongea na mnamjua sana Gwajima ndo maana mnasema hovyo.Eti waumini waendelee kutoa Sadaka mpk wasahau Watoto na ndugu zao.Mambo za kijiiinga mnaongea.Lkn ni sawa kwa akili Zenu na uelewa wenu mbovu

      Delete
    2. Unayosema kuwa Ngurumo ya Upako ana Chopper unajua hii nchi Ina Chopper ngapi na za watu gani au unaongea tu!Fanya utafiti kabla ya kutoa hoja usitujazie nafasi hapa.Anakodi chopper huyo kama wengine wanavyokodi.Usiongee mambo kama huna uhakika nayo.

      Delete
    3. Mumtetee gwajima msimtete,Gwaji Ni billionea,flora Mbasha kasomeshwa na Gwaji very expensive uni in uk,prado kamnunulia la sh,million 70,atashindwa nunua helicopter?Na hiyo kaamua kumsaidia flora wala amtombi Kama mnavyosema.bureeeeee anampa

      Delete
  5. WEWE MPUMBAVU KWELI HICYO IDADI YA CHOPA ZA HUKU NCHINI MAMA YAKO NDIO AMEKUPA AU/ MAANA HATA MTU MWENYEWE HUMJUI ILA UNAROPOKA TU ETI ANAKODI UMEMKODISHIA WEWE?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usijibu kwa jazba na hasira na matusi,Asiyemjua Ngurumo nani bana?We ndo unamjua sana sio?

      Ngurumo hana CHOPPER anakodisha Nairobi.Sasa wewe sijui unalia lia nn huku.

      Tafuta kujua chopper ziko ngapi na za kina nani alafu uache kuja kuongea kama umerukwa na akili.

      Eti Ngurumo ana Chopper!Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Pole yako.

      Delete
  6. Wananishangaza mimi hawa wakina Gwajima,mnanunua ndege wakati kuna waumini kwenye hilo kanisa hawapati milo 3 kwa siku? wanashindwa hata kupeleka watoto wao shule?,wakiugua majirani ndio wa kutoa michango?sisemi kwamba muwahudumie kila hitaji,bali hebu wapeni mitaji na elimu ya ujasiriamali,vinginevyo mkubali tu kuwa nyie ni wezi.
    Gawa huo utajiri hata kidogo kwa waumini wako,

    ReplyDelete
    Replies
    1. WAKO KIBIASHARA,HAKUNA CHA INJILI WALA NINI,UKITAKA UONE KWAMBA WAKO KIBIASHARA NENDA SIKU MOJA KUSALI UKIWA HOHEHAHE,HAKUNA MTU ATAKUFATILIA,LAKINI UKIENDA KIFAHARI UNA KAMA GARI LA NGUVU,NA MBWEMBWE ZA KUTOA MICHANGO UTAONA UTAKAVYOTETEMEKEWA NA KUOMBWA CONTACT,UTAKARIBISHWA MPAKA UKIMBIE MIALIKO.siku hizi kuna makanisa ya kibiashara tu na ndio maana kila leo yanaibuka makanisa mapya.

      Delete
    2. I know, kwa kweli inasikitisha sana dah. Yaani hizi dhambi ni balaaa.

      Delete
    3. Halafu wanatumia hizi hizi helikopta kusambaza ujumbe wa kuiponda serikali kuwa haiwahudumii vizuri wananchi wakati wao wenyewe ndio kama hivi sasa. Hivi ni kweli mtanzania wa leo anahitaji helikopta ili kulipata neno la Mungu??? Mbona hii ni dhihaka kubwa hata kwa waumini wa hilo kanisa dah.

      Delete
  7. Helikopta ya kutafutia misukule,sio kuhubiri injili.

    ReplyDelete
  8. Na hawara wake nae yumo F mbasha!! Huyo c juu ni aina gani ya mch. Hamkeni wabongo mtaibiwa mpaka lini

    ReplyDelete
  9. Ila nyota yake inaendana na mpenzi wake frolr mbasha!!! Hamuoni mali zinaongezeka kwa kasi.. iwe za kukopa au kununuliwa but ndo zimeongezeka... aisee ana nyota nae, ka dimond na wema???

    ReplyDelete
  10. Out of topic: huyu muimbaji christina shusho ananivutia sana... hivi gwajima hakumuona kweli mpaka anakimbilia mke wa mtu??? Tena shusho anafunika mpaka maactree na maartist wote wa kike bongo hii.. kisu saaaaaanaaaa... anaemtomba anajua kupata raha ya dunia.. me nilipiga ucngizin tu ka mara mbili hiv.. navizia ya tatu haiji!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shusho ana Mume,na si kazi alishamjaribu akakataliwa kwa jinsi Gwajima alivyo kiwembe,
      maana shusho ni mzuri sana kwa kweli

      Delete
    2. KANISA LITAKUWA LINAJUA UKWELI WA JAMBO HILO LA MBASHA NA FRORA MBASHA ASIMTUMIYE GWAJIMA KUPATA UMAARUFU ZAIDI DNA IPO MTOTO AKAPIMWE TUTAKUA TUMEKATA MZIZI WA FITINA TUTAJUA UONGO WOTE WA MBASHA KWANINI ASIKIMBILIE D N A NA MAJIBU YAWEKWE KWENYE VYOMBO VYA HABARI AJIULIZE ATAMCHAFUA GWAJIMA MPAKA LINI WAKATI DNA IPO TUNATAKA MBASHA AKAMPIME MTOTO WAKE ATUTAKI POROJO. ZA KUCHAFUANA,ILI UKWELI UJULIKANE.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad