Meneja wa Diamond, Babu Tale amekanusha taarifa zilizoandikwa na gazeti la Amani la leo (August 21) zilizomtuhumu msanii huyo kuwa anajihusisha na dawa za kulevya.
Babu Tale ameongea na mtandao wa Bongo5 na kuonesha kuchukizwa na taarifa hizo na kueleza jinsi ambavyo msani huyo huingiza pesa nyingi kwa kutumia muziki wake.
Haya ni majibu ya Babu Tale:
“Tunalipwa milioni 20 show moja, tunalipwa dola elfu 25,000 show moja, hii ni zaidi ya madawa ya kulevya.
“We get more money from music, sio kwenye madawa ya kulevya, hatufanyi hizo biashara na kama wanahisi sisi tunafanya tunawaruhusu watufanyie investigation hata kwa muda wa miaka kumi ina maana tunavyopita pale airport hawana vifaa vya kutuchunguza? Ipo wazi hata Global walishindwa kufanya kazi na sisi kwa sababu sisi ni wakubwa. Sasa leo hii tunauza madawa ya kulevya kwa sababu tunakomaa kwenye bei zetu.
“September tunafanya show kubwa ya Unplugged na msanii wa kwanza hapa kufanya ile show ni Diamond na ile show hawalipi hela ya kis**e, wataendelea kuona watu wanauza madawa ya kulevya, hakuna msanii wa Tanzania anayefanya show kwa walau dola elfu 10,000 ni Diamond peke yake wengine ni dola 2000, 2500 elfu 3,000 mwisho. Tuna show Marekani show kumi na tano (15), show kumi na tano dola elfu ngapi? Na kwa hapa Tanzania hatufanyi show chini ya dola elfu 15,000.”
ewaaaaa tumepata Michael Jakson TZ!!
ReplyDeletedomo tujeenge hata hospitali domo TZ!!, wenye pesa kama hizi wanafanya mambo ya maana kwao kama hayo!! siunawaona akina yahaya toure au dekembe mutombo walivyojenga hizo kwao!!
ReplyDeletebabu tale kwa uongo duuuuu,kubali yaishe
ReplyDeletekwasababu ni mvivu.
Deletewhat so special hapo?ngololo na mdogo mdogo?my asssss!
ReplyDeletewhat you hide is what can be special to others
DeleteDi nakupenda me naitwa Jackkkieeeee!!! jakiline!! nakaa tandale kwa mtogole!! honneyyyy!!
ReplyDeleteTumegeuka usalama? Let the truth shout. You don't need to discuss this matter, diamond tunavyojadili wewe kazana NA kupiga kazi. Tusipokubali kwa Maneno basically kwa vitendo tutaKubali!
ReplyDeleteFine lakini onesha mikataba basi. Kufanya shoo nyingi sawa afande nzowa anataka kuona contract sio kingine zaidi. Sisi hatuna haja ya kujua shoo ngapi mnafanya.
ReplyDeletenyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo.sembe au!!
ReplyDeletesawaaaa
ReplyDelete