Mjumbe Ukawa Atinga Bungeni, Posho Ya Laki Tatu Kwa Siku si Mchezo

Dodoma. Wakati wajumbe wa Bunge la Katiba wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakiendelea na msimamo wa kususia vikao vinavyotarajiwa kuanza leo mjini Dodoma, mmoja wa wajumbe wake jana aliripoti bungeni na kujiandikisha.

Mjumbe huyo, Clara Mwatuka ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu (CUF), alionekana katika Viwanja vya Bunge saa 6:30 mchana akiwa ameongozana na wabunge kadhaa wa CCM wakiwamo Livingstone Lusinde (Mtera) na Jerome Bwanausi (Lulindi).

CUF ni moja ya vyama vinavyounda Ukawa, pamoja na Chadema na NCCR Mageuzi na tayari viongozi wakuu wa vyama hivyo, Profesa Ibrahim Lipumba, Freeman Mbowe na James Mbatia wametangaza kwamba wajumbe wote wanaotokana na umoja wao hawatashiriki vikao vya Bunge hilo.

Mwatuka baada ya kujaza fomu maalumu za kujiandikisha, alielekea lango la Magharibi na kuingia kwenye gari la Bwanausi.

Awali, alipoulizwa kwenye Viwanja vya Bunge kuhusu kuwapo kwake Dodoma, alikataa kuzungumza lakini alikiri kujiandikisha bungeni

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ccm hilo wala siyo cuf, wewe hujui kunamamamluki kwenye hivi vyama vya upenzani yaliyopandikizwa na ccm ili kuharibu mambo! hayo yote yanajulikana, huyu hana tofauti na akina zito kabwe! Mungu atasaidia tu hii nchi itapata katiba safi na vilevile kiongozi toka upenzani hata yafanyaje.

    ReplyDelete
  2. Mwenye akili anajua kuchambua pumba na mchele......

    ReplyDelete
  3. kwahiyo yeye kachagua ufisadi........... ndiyo mchele!! duh kweli haya mafisadi yako mengi, na matumbo yao!!! yanakulllaaaa tu!! mtavimbiwa ngoja siku moja!!

    ReplyDelete
  4. kuma nyie ukawa hao kina lipumba wenyewe ni walewale tu............... uyo mbowe na lissu mikundu tu. this time hakuna style ya give n take hapa pumbaffffffffffffffffffff! wache wakatunge na wake zao hss hatuna mda wa kuendekeza upuuzi wao .

    ReplyDelete
  5. Hata ningekua mimi lazima ningerudi bungeni niwafatishe hao akina mbowe wakati hawanipi chochote wenzangu matajiri wanapesa halafu mie niache laki 3 kwa siku basi nitakua fara wa mafara hapa duniani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umenena nduguyangu,kila mt anashidazake wangap walipenda hzo nafas na hawakubahatika?nawapa big up lundi la 201nafas hairud hyooo

      Delete
  6. kweli nchi imekwisha! mengi yaliyocomment hapa ndiyo tunayoyategemea kuwa viongozi ya kesho!!! hooovyoooo!! kizaziii cha shule za kata! bora kipoteee tu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kila mtu ana tumbo lake wewe,Pumba tu.

      Delete
  7. Bora yako umeamua kwenda,maana hata watoto wako wangekucheka.

    ReplyDelete
  8. kwa staili hii TZ tutabaki maskini milele sijui ninani atatufungua macho kwani watu hawanasubira wanachojali ni pesa ya ubinafsi na shule za kata ndio zinapamba moto kutoa wabunge safi

    ReplyDelete
  9. Kwani shule za kata si shule hata zikitoa wabunge au una maana gani

    ReplyDelete
  10. Liacheni tu pumbavu hilo mijitu kama hii ndio inachagua wabunge wabovu hambao hawawaletei wananchi maendeleo kama jimboni kwa tundu risu

    ReplyDelete
  11. Hivi vijana wenzangu hao ukawa nyinyi mnawaona wa maana sana??? Mbona mnafatisha mkumbo tu na kuleta chuki za kisenge?? Nani wa kumpa nchi kati ya hao?? Lisu?? Mboe?? Lipumba?? Au mbatia??? Yaani mpaka sasa hivi simuoni mtu wa upinzani wa kucmama hata na diwani wa ccm wa kata yeyote ile akashinda.. cmuoni atakaeleta maendeleo toka upinzani?? Vyama vyao wenyewe wanaviendesha kidicteta ndo tuwape nchi.. tukaneni....l, payukeni mikundu but CCM ndio itashinda kiti cha urais kwa miaka ishirini inayokuja ( chaguzi nne hizo) na hapo labda kue na chama kingine kitachoanzishwa kikawa na mvuto ndo kiitoe uchaguzi wa tano but kwa hivi sasa chadema, cuf, nccr na pumba zingine zilizosalia hawatoitoa CCM kwenye madaraka, iwe kwa ushindi halali au hata kuibiwa kura, mkubali mkatae CCM ndo nambari one na mtakaa kimya kuufyata kenge nyie!!!!

    ReplyDelete
  12. wewe unaongea pumba tu, nani kakwambia Ukawa hamna vijana shupavu, wewe unafikiri ukawa ni mbowe, lipumba na lisu tu, acha upumbavu wewe!! nenda kafie mbali na ccm yako, watu washaichoka kwa maendeleo duni.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani wewe maendeleo huyaoni ? Au kipofu wewe. mkundu wako

      Delete
  13. maendeleo gani wewe MAVI?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad