Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Kwa Matumizi Mabaya ya Cheo chake na Kusababishia Serekali Hasara ya Mamilioni.
My Take: Naona kama Kifungo Kidogo Sana Hicho , Nahuhakika Huko Jela Kuna watu wamefungwa Miaka Kadhaa kwa Kesi za Kuku Tu ila Huyo Mamilioni ya Hela Anafungwa Mwaka....Je wewe Unalionaje Hilo?
ndiyo mfano mzuri unaanza, nakwambia watafungwa wengi baada ya kipindi cha Kikwete kuisha, haya!!!! mafisadi mfano ndiyoooo huooo umeanza, kaane chonjo saaaana baada ya 2015!!
ReplyDeleteHawa vigogo ndio waribu wa hili Taifa, lakini hiyo mwaka mmja angalau ni kidogo, bila shaka yaweza leta matumaini, kwa hapo baadae kwani itakuwa zaidi sio mwaka mmja tu, kwa atayeharibu au kufanya ufisadi, kwa hili Taifa, kwa hiyo wote itakuwa sawa, awe mwizi wa kuku au, ana madaraka furani kayatumia vibaya kwa masrahi yake wote kifungo, kitaenda sawa sawa,
ReplyDeleteEnzi ya mwalimu pia angepigwa viboko 24 kumi na 12 wakati anaingia jela 12 wakati anatoka akamuoneshe mkewe
ReplyDeleteHuyu mzee mimi namjua kapitisha mizigo mingi sana pale bandarini. Ndio maana nchi hii kuna watu wachache ndio wanaoifanya nchi hii iwe masikini
ReplyDeleteyani majitu kama haya ndiyo yanairudisha hii nchi nyuma sana, mwaka mmoja jela ni mdogo sana, alitakiwa apigwe mvua nyingi tu ili iwefundisho kwa mafisadi.
ReplyDeletemalipo hapahapa duniani
ReplyDelete