Naitwa Jack nina miaka 22, ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo kimoja hapa dar. Nina mpenzi wangu ambae nimekuwa nae kwa muda wa miezi 6 sasa, hapo mwanzoni mpenzi wangu alikuwa ananipenda na kuniheshimu sana na alikuwa akinisikiliza.
Kama wiki mbili sasa amekuwa na tabia ya ajabu sana, kila tunapokutana faragha amekuwa akinilazimisha kunipiga picha za uchi, me nimekuwa nikimkataria na kuwa mkali kwa nini anifanyie hivyo...??
Lakini yeye amekuwa akinilazimisha na kung'ang'ania sana mpaka anakasirika na kuondoka kabisa..
Sasa me simuelewi jamani naombeni ushauri wenu, nia yake ni nini huyu mwanaume, ana mapenzi ya kweli na mimi au la....???
USHAURI PLEASE maana hapa nilipo nimechanganyikiw kabisa.
piga c mpenzi wako bwana, na anaonaga live sasa unachoogopa ninini?
ReplyDeleteuyo anataka akawaoneshe rafiki zake jinsi ulivo umbika inaonesha jamaa ndo mara yake ya kwanza kua na demu mkari kama ww xo anataka akapate credit kwa washkaji zake coz ameshatamba kwa wenzie kua ana mtoto mkari,xo apo anataka akawaoneshe afu atakuja kujilaumu kwani marafiki cio watu wazuri akiwaonesha na ndo hao watakao msaliti we mpe mama atakuja kujita c rimbukeni mwache akatombewe
ReplyDeletemwambie akupige akakutangazie soko ununuliwe na wenye pesa huyo jamaa yako mtu poa xana cio mchoyo anataka vitu vitamu tule wote
ReplyDeleteUkikubali one day utalia mpka bhaaaas. Umesahau yule dem wa IFM alichofanyiwa? Ucjiachie kiivo ww,kumbuka uyo ni bnadamu tu na cku mkigombna ndio utsisoma plate no. Acha kabisa tena huo ni ulimbken,picha za uchi ili iweje ss,ujinga plus lol
ReplyDeleteAcha ulimbukeni,huyo nataka akupige ili mkigombana tu mkaachana, basi akazipost kwenye mitandao ya kijamii,usikubali kabisaaaa huo ushenzi mkubwa.
ReplyDeleteHuyo anataka akakutangaze, uckubali hata kidogo anataka aweke kwenye mtandao then utajiona choo. huyo ni msaliti temana nae tena las nae mbali.
ReplyDeletekwel kabisa atakutangaza na co mtu mzur
ReplyDelete