Mr. Blue: Wema Sepetu na Naj Walinifilisi Sana Nilipokuwa Nao Kimapenzi


NYOTA wa Bongo Fleva, Herry Samir maarufu kama Mr. Blue amesema wasichana warembo, Wema Sepetu na Najma ambao aliwahi kutoka nao kimapenzi kwa nyakati tofauti miaka ya nyuma, walimfilisi kutokana na matumizi makubwa ya fedha alipotoka nao viwanja.

Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Mr. Blue, msanii aliyeanza kupata umaarufu akiwa bado kijana mdogo, alisema alilazimika kutumia fedha nyingi akiwa nao, kwani vinginevyo wangemuona hana pesa, kitu ambacho hakuwa tayari kuona kinatokea.
“Mademu wengi walikuwa wanapenda sana starehe, kila day (siku) wanataka twende kiwanja, ndiyo maana kama unakumbuka niliyumba kimuziki.
“Wanawake wengi niliotoka nao hawajulikani, ila kuna Wema na Najma, ilikuwa ukizama nao dukani lazima ufanye shopping (manunuzi) ya nguvu, kuanzia laki saba, nane na kuendelea ili wakuone unazo na mademu wengi wakisikia tu umepiga shoo, sms hazikauki kuomba uwatumie mawe (pesa),” alisema.

Kuhusu maisha yake ya sasa, Mr. Blue alisema yamebadilika sana, kwani hivi sasa ameoa mwanamke mwenye asili ya Kiarabu na amejaliwa kupata mtoto mmoja, hivyo ni baba wa familia ambaye pia anakaribia kumaliza mjengo wake siku si nyingi.
Hata hivyo alisema mkewe siyo maarufu, ana malengo na upendo kwani amekuwa akimuaga kila safari anayofanya na kwamba hata yeye anaporejea nyumbani, hupokelewa vizuri.
Mr. Blue ni mmoja kati ya wasanii wa muda mrefu ambao bado wanafanya muziki na wenye mashabiki wengi ndani na nje ya Bongo

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ukitulia na mkeo utabarikiwa

    ReplyDelete
  2. kuma la maaako mr blue unanuka boxer.....usijilinganishe na wema nenda kafie mbelee

    ReplyDelete
  3. Mshenzi wewe,unazidi kumuharibia Wema wetu maana
    alipoulizwa na media mbalimbali alikana uhusiano wa kimapenzi na wewe
    na kwamba nyi ni kama kaka na dada,mmh sijui nani mkweli pengine blue
    unatafuta kik kupitia jina la Wema.Ni sheeedah

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kik kwa lipi?
      Kicheche ana msululu wa wanaume waliompitia.

      Delete
  4. Kazi a nayo diamond wakijitokeza wote foleni hapa na kibaha
    U celebrity wa wema ni umalaya na kugombea wanaume tena, kwa kutumia media ni kicheche na mzururaji hapa mjini
    Domo atajuta wema sio wife material kwa hali yeyote 1.ni mtu mzima anayeng'ang'ania utoto na usichana Kila mwaka hadi kina lulu wamemkuta. 2.ana elimu ya ngumbaro la Kila siku anajifanya hajui kiswahili wakati shule yake ya ngumbaro tu kama Sisi. 3.kisha olewa na jumbe na kuachika hivyo ni ngumu kwa mtoto kama diamond kuoa mke wa mtu na mwenye list ndefu ya wanaume tena hadharani kama kanumba, blue, tid ( akamtungia wimbo wa demu kicheche ), chaz baba to mention few.Ni aibu kwa maadili yetu kwa mtoto wa kike bora wa kiume lakini wema ni sifa 3.sio life fighter ni goal keeper mzuri bila kulazimishwa na kanumba movie asingecheza kwani ni tegemezi kwa asili 4. Diamond angekuwa rafiki au ndugu nisingekubali aoe jamvi la wageni hadi kocha Loga wa simba ndani Nani anaweza kubali mtu wake aoe msichana kama wema aliyeamua kuweka maisha yake ya chumbani mbele ya dunia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kazi unayo angalia tusije kuzika kwa presha juu maisha ya wengine.

      Delete
  5. kama kweli blue kasema kweli bac jibu ni anatafuta kik ila maana.sometime awa watu wa udaku uwa awalali wakifikiria tuandike nin

    ReplyDelete
    Replies
    1. wana haki ya kuwashtaki,
      kwa mabaya na kupakaziwa kwa nini mtu usichukue hatua?

      Delete
  6. msanii yoyote wakiume atakae kuwa juu lazima amwagie wema shahawa alafu awapishe wengine waje wakojolee, yani wema ni kama kituo cha kuchimba dawa ktk safari za mikoani, kila gari linasimama watu wanakojoa safar inaendelea

    ReplyDelete
  7. Mmetuchosha habar ya zaman hiyo inaaana hamna vya kutuambia tofaut ya wema wasenge nyie mnagongwa na wachawi

    ReplyDelete
  8. wema ni kikojoleo chetu tehe tehe tehe

    ReplyDelete
  9. 1)mo racka
    2)blue
    3chaz baba
    4)kanumba
    5)jumbe
    6)CK

    wote wametomba wema yani domo anajipakaza mishawaha ya vidume wenzake

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umemsahau TID,NA MAJANI

      Delete
    2. Na mbunge fulani pia kapita.

      Delete
  10. hicho kiuchafu blue mkundu..anatafta kiki kashafulia mpaka hajitambuiiii yupo wp mnazani ndo mnamharibia wema wetu amaa??????????????makuma na hao mashabiki mandazi eti wema malaya ulimtomba wewe ama??????????????????mbona unawania lkn ww ni house boy huwezi..kaeni pemben mambwa ninyiii

    ReplyDelete
  11. Wema unapasua watu vichwaaaaaaa,achana na Domo ,wakina penny wana hasiraaaaaaaaa

    ReplyDelete
  12. Diamond sukari ya warembo,yaaani warembo wamejazana umu kurusha madongo kwa wema,hiyo habari ni ya miaka miwili iliyopita,warembo wameenda kuhonga UDAKU ili habari irudiwe wamdhalilishe Wema,Domo alijiimbia,"wana wivu hao hao hao wachonganishi hao ha hao"penny na wenzio relaxxxxxx,hapo cha kugombania ninini? Mbona sikioni??????

    ReplyDelete
  13. Wolper,rehema Fabian,menina,penny,hamissa,Victoria kimani,uwoya,halima,joketi,wema,na msululu kibaooo,ndege wafananao huruka pamoja.

    ReplyDelete
  14. Najma Wa mr blue ujamueka kwenye orodha

    ReplyDelete
  15. Kuna mkaka mmoja huku marekani kila mwanamke anaelala nae anamuandika jina lake matakoni mwake,kwahiyo tattoos zimejaa matakoni mwake za majina ya alio Wa DO.

    ReplyDelete
  16. Udaku bila wema hampati comment za kutosha, endeleeeni kuandika ukuma hamjui kama mnampaisha

    ReplyDelete
  17. Wema ni wema kila topic wemaaaaa,amna topic zingine?za kujadiliwa?kuna mdada mmoja akifungua udaku,asipokuta stori za wema anafunga computer

    ReplyDelete
  18. Wema na domo wataishia kuchezeana na kumwagana tu! Maana kila mmoja ni kicheche kwa upande wake, wema katembea na wengi na domo nae katembea na wengi. Na blue sio kama anajipakazia ni kweli alishawahi kutembea na wema kipindi q chillah tid na blue wakifanya kazi zao pamoja, then blue na tid walipishana kwa wema hadi kuna kipindi wakatofautiana.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad