Mrisho Mpoto Anusurika Kuibiwa Mamilion ya Fedha na Majambazi alizokuwa anaenda Kununua Nyumba

Msanii wa Mashairi na Mwimbaji Mrisho Mpoto mchana Huu Amenusurika Kuibiwa Mimilion ya Hela alizokuwa akienda kununua nyumba huko kigambani...
Mchezo mzima ulianzia Mbagala alipoenda kutoa hela Kwenye Bank Fulani ili aende kununua Nyumba alipomaliza kuchukua hela alipanda gari yake akiwa Njiani gari moja lilikuwa likimfuata nyumba na jingine lilikuwa mbele yake na lilikuwa likimzuia asipite, kiufupi alikuwa amewekwa 'mtu kati' Wakisubiri wafike sehemu nzuri wamfanyizie. kwa Bahati nzuri mchezo huo wa majambazi ulishtukiwa na Bank na Kumpigia simu Mpoto kumtaarifu kuwa aelekee kituo cha polisi cha karibu , ambapo pia polisi walimpigia simu na kuja kumsaidia ndio jamaa (Majambazi) waliposhtukia na kutokomea kusiko julikana......

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duh una mungu mjomba na hizo hela ni jasho lako mshukuru mungu sanaaaaaa bila kukoma

    ReplyDelete
  2. kama kweli basi mpoto bado mshamba kwanini asiende kumlipia mtu ndani ya bank badala yake anabeba hela kwani yeye kawa gari la kk security la kubebea hela? angemlipa mwenye nyumba ndani ya benk amuachie zigo lake

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyu mtu mbali ya kutumiwa katika matangazo ya matumizi ya Benki na mitandao ya simu katika kusafirisha fedha kiusalama, huwa anaigiza tu kupata fedha tu; haelewi na hafahamu hathalii za kutembea na pesa, yeye huwa anaigiza tu. Usanii wa kipaji bila kuchanganya taaruma ya usanii, matokeo ndio haya, unaigiza kutembea na pesa nyingi ni hatari, kesho unachukua mahela mengi unatembea nayo kama Mpoto. Kesho mbunge; unatarajia nini bungeni, elimu tuieshimu sana, tusiongozwe na uanii. Mfano tumeuona kwa Mpoto,mjanja wa AMI Bandarini Kigoma.

      Delete
  3. Mpoto bado ka ushamba anako..!

    ReplyDelete
  4. Hahahahaha et kaushamba anako
    Ndugu umenichekesha

    ReplyDelete

  5. 1.Mpoto mshamba au ndo unajiamini na kinga zileeeeeeeeeeeeeeeee?
    2.Watu wa bank jaribuni kutoa elimu mnapomuona mtu anachukua hela nyingi,mtu hana askari unampaje hela zote hizo hata kama ni zake?Ni kiasi cha kumuelewesha
    mteja wenu hali ni mbaya siku hizi,wajambazi ni wengi mno.Mungu wetu tusaidie.

    ReplyDelete
    Replies

    1. Kweli mdau,na pengine hupelekea watu kuamini kuwa wafanyakazi wa bank wanahusika na njama za kuwapa taarifa majambazi.

      Delete
  6. Simakosa yke smiling take haikuva Viatu.Kama ww

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad