Mwanaume mmoja huko nchini Uganda Amekamatwa baada ya Kujifanya ni Mwanamke ili apate kazi ya House Girl, Zoezi lake hilo lilifanikiwa na kuweza kupata hiyo kazi lakini siku zilivyozidi kwenda Boss wake ambae ni Mama Mwenye Nyumba alishtukia mchezo na kugundua ni Mwanaume, Baada ya kugundulika jamaa alichukua kipigo kutoka kwa Majirani , alipoulizwa kwanini ameamua kufanya hivyo alijitetea akasema Maisha ni magumu na kupata kazi kama mwanaume ni ngumu...
Kazi kwa kweli!
ReplyDeletewamsamehe na km anafanya kazi vizuri huyo mwajiri wake aendelee kumpa ajira kuliko kuingia mitaani na kuiba
ReplyDeleteSo sad anaonesha kama ana shida msingempiga bora ungempa pesa japo kidogo apete ya kula chakula
ReplyDeletekwakweli wamsamehe bure, kuliko angekua ni shoga au anabaka watoto wa mwenye nyumba, maisha ni ngumu wandugu
ReplyDeleteameshajitetea maisha ni magumu na kupata kazi kama mwanaume ni ngumu,mwacheni 2, atafanya kazi kwa uaminifu mradi mmeshamtambua.
ReplyDeleteSie tuliozoea kunyemelea mahous girl ucku ingekua shiiiiiiida... unanyata unaprleka mkono unakuta huo mguu wa mtoto wa standard one.. unaanza kulia mwenyewe!!!
ReplyDeletesasa mnatuonesha picha ya dudu lake ili iweje pumbafu zako mdakuuzi
ReplyDelete