Mwigizaji JB na Shamsa Ford Kunani, Mbona Kila Movie Zenu Nyie Tuu

Mimi sio mpenzi sana wa kuangalia filamu, ila mara chache tu huwa naangalia hasa kwenye mabasi ninaposafiri.

Kitu kinachonikera kwenye hizi Bongo movie hasa za JB ni kutumia wahusika wale wale na theme ile ile mwisho ana bore sasa.

Mfano ni huyu Shamsa Ford, huwezi kuangalia picha ya JB usimkute, tena kwenye filamu hiyo lazima ataishia kuolewa na JB. 

Ni kweli Shamsa ni mzuri, lakini kwani yuko pee yake kwenye filamu? 

Halafu kwa nini theme iwe mapenzi tu?

Nachoka kabisa

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha kuangalia,kwani kuna mtu kakulazimisha kuangalia?

    ReplyDelete
  2. ahsante mdau hapo juu

    ReplyDelete
  3. Choka wewe,sisi tunawapenda,ebooooooooooooooooooooo!

    ReplyDelete
  4. Umeshasema movie zao,wacha wajiweke wao au unataka amuweke mke wako?

    ReplyDelete
    Replies
    1. safi,amesema movie zao lazima wawepo wao kwa kuwa ni movie zao ukitaka wengine angalia movie za watu wengine.

      Delete
  5. mdau sio mke wake tu labda anataka amuweke yeye maana huenda pia huyu anayelalamika ni mwanamke anayetamani kucheza kama mke wa jb

    ReplyDelete
  6. CHUKI BINAFSI TU,
    MBONA IKO POA SANA TU,HAWACHOSHI,TENA KAMA MIMI KILA WAKITOA MOVIE LAZIMA NINUNUE,NAWAPENDA SANA.

    ReplyDelete
  7. Filamu za mapenzi ndio zinalipa,na hasa akicheza JB(Baba lao) na
    Shamsa ( Mama wa kisauti cha kumtoa nyoka pangoni)

    ReplyDelete
  8. Kitaeleweka tu!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  9. Halafu acha tabia ya kwenda kukopi post za watu JFna kujifanya kutuwekea kwamba ni zako

    ReplyDelete
  10. mimi ninapita tuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  11. hujalazimishwa kuangalia kaka

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad