Stori: Gladness Mallya
NENO! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ amewataka wasanii wenzake kuachana na tabia ya kuingiza ustaa kwenye ndoa, jambo ambalo linasababisha kuwa na sifa mbaya ya kutodumu kwenye ndoa.
Akichonga na mwanahari wetu, Natasha alisema kuwa sababu ya ndoa za mastaa wengi kuvunjika ni kutokana na kujiona wao wako juu na kushindwa kuheshimu ndoa huku wakiwaona waume zao ni kitu cha kawaida.
“Mastaa mkishaingia kwenye ndoa wekeni ustaa pembeni, muwe na heshima ili tuweze kufuta dhana iliyojengeka kwa jamii kwamba ndoa za mastaa hazidumu,” alisema Natasha ambaye amedumu kwenye ndoa kwa takriban mwaka mmoja sasa.
Umesema kweli Natasha, mfano hai ni Hadija Shaibu a.k.a. Dida wa Times FM, ustaa na umaarufu kauweka mbele, hivi sasa anabadili wanaume kama chupi, kila mwaka anaolewa yeye tu, hivi sasa tunasubiri ndoa yake ya 4!! Mwenyewe anajiona eti ana bahati.
ReplyDeleteKudumu ndoa ya mwaka ndiyo anajifanya mshauri wa wanandoa! hahaa she is just crazy! Akae miaka 10 halafu arudi na hadithi hii ya fisi na sungura ndo nitamuelewa!
ReplyDeleteNdoa ya mwaka ndiyo anajifanya mshauri wa wanandoa! hahaa she is just crazy! Akae miaka 10 halafu arudi na hadithi hii ya fisi na sungura ndo nitamuelewa!
ReplyDeleteBora Natasha ana ndoa ya Mwaka mmoja, Mbona makungwi wa kitchen party wana wafundisha watu jinsi ya kuishi na kuheshimu ndoa zao, wakati wao wameachika, kipi cha ajabu kwa natasha kutoa ushauri wa ndoa.
ReplyDeleteVery gud advice but ndo mganga hajigangi.. mtoto wako wa kumzaa ndoa ilimshinda kwa marehem tyson kisa ustaa ka huo unaousema. Kwenye ndoa wekeni ustaa pembeni.. nipikie , nifulie, nitengee maji ya kuoga, usilale na chupi acha kuma niitwange nnavyoweza, ni natasha!!lie uone ka ntakuacha.. mungu akujaalie na ndoa yako!!
ReplyDeleteJamani huyo mama muacheni kwani anajiheshimu sana ndo maana akaamua aolewe. Huyo dida c kunguru hafugiki huyo yani kalaaniwa mboo zote anataka ziingie kwake MBWAMBWA Lishakua kubwa sana.
ReplyDelete