Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 23.niliwahi kuwa na mpenzi wangu wa kwanza tangu mwaka 2010 ambae ndie aliyekuwa wa kwanza kimapendi kwa upande wangu tulikuwa tunapendana sana,mimi binafsi nilikuwa nampenda sana sababu sijawahi mapenzi kabla yake.nikawa nawafahamu baadhi ya ndugu zake na pia tuliahidiana kuoana na mambo mengi tu mazuri sasa ilipofika mwezi wa kwanza mwaka huu 2014 kutakorofishana,nikajaribu kumbembeleza bila mafanikio basi ikawa kila mtu na ishu zake.sasa baada miezi kadhaa kupita mimi binafsi nikapata mpenzi mwingine sijajua kwa upande wake ilikuwaje,nikawa na mahusiano mapya na mpenzi wangu huyo mpya,akanitambulisha marafiki zake wadogo zake na tumeahidana kuoana ananipenda sana kiukweli.sasa juzi yule mpenzi wangu wa kwanza aliniambia anaomba tuonane nikamkubalia baada ya kuonana akaniambia tuachane na yote yaliyopita kwani kwa mda wote huo alikuwa anahangaika tu kila msichana aliyempata alikuwa anamzingua amenikumbuka sana hivyo anaomba turudiane kwani kila akikaa moyo wake unahisi amenikosea na anahitaji msamaha wangu ili mambo yake yakae vizuri na msamaha wangu ni kumkubalia apeleke barua kwetu anioe kabisa.sasa tatizo ni huyu mpenzi wangu wa sasa ameniahidi kunioa ila kiupande wake maisha bado kabisa hayajakaa sawa na sijui ni lini yakataa vizuri ila mwenyewe ameniambia nimvumilie tu ipo siku sasa najiuliza nilini?.yani nina wakati mgumu sababu yule mvulana wangu wa kwanza ana historia kwenye maisha yangu ya mapenzi sababu ndie alienianza kimapenzi.sasa naombeni ushauri wenu nifanye nini?
ushauri wangu mpanulie tu huyo exboy wako huyo anayekuambia sidhani kama itatokea maana hata wewe inaonesha unapenda mali zaidi siomapenzi nyambafuuuuuuu
ReplyDeleteInaonyesha Uko Kimasihi Zaidi Huna Mapenzi Ya Kweli ! Kuma Ww
ReplyDeleteSkiliza.. ile kukuomba muonane na ukaenda me hapo naona wewe bado una mapenz na jamaa yako wa kwanza.. na kuna hatari ukaja kumuumiza vibaya mno jamaa yako wa sasa coz jamaa yako wa kwanza ndo yupo kichwani.. kama kweli jamaa wako wa kwanza kakwambia ataleta barua bas achana na jamaa wa sasa tena kwa wema kabisa kaa nae ongea nae thn pokea barua ya jaamaa wa kwanza.. ila usimpe kuma mpaka mnaingia kwenye ndoa hata nyege zikushike vipi coz ukimchanulia itakua maisha yale yale ya uBF na uGF mtagombana tena ukirudi kwa wa mwanzo hatokutaka tena utadondokea kwa mwnn na mwngn na mwngn mwisho utazoea mbolo nyingi na ndo hapo utapodondokea kwenye sifa ya umalaya mwisho utakua hufai tena kwenye jamii.. bila kusahau ukimwi!!
ReplyDeleteWewe binti tuliza akili! Unataka kuolewa, wewe binafsi una kazi gani, au biashara gani? Una fani gani? Usiingie kwenye ndoa wakati hujajiandaa kiuchumi wewe binafsi! Huku ni kuchungu kama mwanamke huna kazi au kipato chako! Kama x wako anaonekana kuwa na bright future inayoeleweka sio mbangaizaji olewa naye! Ila masharti asikuguse mpaka ufunge ndoa! Huyo mwingine mwache ajijenge kwa ajili ya msichana mwingine! Anajimbilia kuoa wakati hajui atakuweka wapi, atakulisha nini, ukiugua gharama za matibabu atakopa ukweni, mkizaa watoto mtawasomeshaje! Ndoa siyo sex pekee, kuna vitu vingi mkikosea hata hamu ya kusex inapotea haswa shida zikizidi! Kaa chini fikiri mara 2!
ReplyDeleteww bint watushangaza sana awali uliwahi kuposti issue ya vibamia ukimchora sana mmeo uliedai kuolewa nae,kwamba romance tu jamaa anakojoa na kulala zake wkt ww bado una hamu.Na ulidai umeolewa nae na unafanya kazi bank.Kwel mwongo husahau hata alichodanganya karibuni.unafikiri ushauri wetu utakusaidia?Tangu uanze kutafuta wenye kubwa hujawapata tu?tafadhali usitu-enjoy binti.Uamzi uliochagua toka moyoni mwako ni sahihi.
ReplyDelete