Mtangazaji wa 93.7 E-FM kupitia kipindi cha Genge, DVJ Penny ambaye wiki kadhaa zilizopita picha zake zilisambaa mtandaoni zikimuonyesha akiwa amevishwa pete ya uchumba huku mwanaume aliyefanya tukio hilo akiwa ni kitendawili, hatimaye mwanadada huyo ameibuka na kumuweka wazi mpenzi wake…..
Akiongea na mwandishi wetu, rafiki wa karibu wa Penny amesema kuwa jamaa aliyemvalisha pete ni kigogo mwenye pesa chafu anayemiliki migodi kadhaa ya madini anayefahamika kwa Jina la Johnson raia wa Angola….
Rafiki huyo amesema kuwa kutokana na jeuri ya pesa ya kigogo huyo, Penny anatarajia kufanyiwa bonge la harusi na watafanya kila namna ili Diamond awe mtumbuizaji katika sherehe hiyo…
Itapendeza mmoja atakuwa akitafuta pesa mwingne akitafuta sifa ukijumlisha unapata udaku specially
ReplyDeleteHahaha.nimependa hiyo coment yakoo@ pesa/sifa..mwishowe udaku specially
DeleteNimeipenda xn comment yako!
DeleteHahaahaaha
ReplyDeleteahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mmoja atakua anataka sifa na mwingne pesa atapataaa hahaaa.akumbuke pia atakwenda na wema huko kwenye hiyo harus asifikirie kua ataenda mwenyewe hahaaa poole andujee penny kasaganee hukoo utoe nyegee
ReplyDeleteHahahahaha hahahaha udaku specially mdau unanivunja mbavu
ReplyDeleteKwi kwii kwiiiiii! Teh!
ReplyDeletesass uandunje kwan aliutaka..? achen kumkufuru mungu. alituumba sote kwa mfano wke
ReplyDeleteakasagane huy mboo ya dai si yake tena mana yy msagaji
ReplyDeleteAliewaambia bado anamuhitaji Dai nani.anaemtaka Dai nakumganda nihuyo madam wenu asiejitambua.ilawanawake wanaojitambua hawawez kuwa namtu kama Dai.huoni huyo madam wenu alivyokuwa na akili km za Dai huko.from utashani alikozaliwa to mtogole mtaji carry penny uhongere we namungu akutangulie yatimie ukatulie kimyaaa
DeleteAtaolewa hata kama ni andunje,jamaaa kapenda huo uandunje.
ReplyDeleteKakwepa kuchezeshwa vigodoro.mwee.
ReplyDeletehahaaaa! tunasubir
ReplyDeletehahaaaaaaaaa! kakwepa vigodoro mdau maana.
ReplyDeleteHuyo mrefu wema mbona haolewi? ndiyo kwanza anaongezewa michepuko kila siku Ba Dai! mashavu yashaanza kumshuka kwa kuchakazwa na mboo! Atabaki kucheza kwaito kwenye harusi za wenzake
ReplyDeleteKila la heri Penny!
ReplyDelete