Picha: AY akiwa ikulu ya Marekani na wasanii wengine wa Afrika


AY amepata nafasi ya kuingia ikulu ya Marekani kupitia mualiko maalum wa rais Obama kwa wasanii wa Afrika ambao walikuwa katika One Campaign yenye lengo la kuhamasisha kilimo Afrika.

AY ameungana na wasanii wengine wa Afrika akiwemo Femi Kuti, D’Banj, Fally Ipupa, Victoria Kimani na Owamuni.

Waimbaji hao wanaungana na mchezaji wa Manchester City, Yaya Toure jijini Washington D.C, mkutano ambao umeanza August 4 na utakamilika August 7.

Kikao hicho kitahudhuriwa na viongozi wa ngazi ya juu wa serikali ya Marekani pamoja na wajumbe wa Young African Leaders Initiative (YALI).

Angalia picha zaidi:

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Congrats xn kiongoz.
    Hatua kubwa xn io.
    Big up xxxxxxn.

    ReplyDelete
  2. Ongera Sana bro!

    ReplyDelete
  3. Ingekua Diomond ndio kapata mualiko huo, Tunge funga mtaa Tandale via Sinza, lakini watu kana AY wana piga kimya hongera AY.

    ReplyDelete
  4. Ay ndio msanii wa ukweli achana na hao kina daimond msanii ana skendo mpk kichefuchefu sifa za kuitwa msanii wa kweli ziko kwa ay lady j dee barnaba alikiba bela nine ben pol na wengine kibao tu sio huyo mpuuzi anaebebwa na magezi na media mbalimbali ujinga mtupu tu kwa mie binafsi huwa sijuu ni nini anaimba diamond mpk hapo alipo kiukweli

    ReplyDelete
  5. Wewe acha chuki wewe,eti sijui anachoimba,umekazana cucoment na kujijibu mwenyewe,ilimuradi ujilizishe,yaani wewe umeshindika,siyo bure utakuwa uligogongwa na diamond,alafu ukamwagwa,sasa hasira zako ndio unamalizia huku,acha wivu utakufa umesimama bure.

    ReplyDelete
  6. mambwa ya kibingo nayo wivu diamond anapesa sasa kuliko huyo AY mnaemsifia kwanza AY hana mashabiki kama diamond dogo ndo kashaula hivyoo hata mkinunaaa mtakomaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Embu fafanua kijana huyo diamond anapesa kuzidi AY kivip?? au mnaaongalia take one yenu ya zamaradi ndo mnakuja kudanganya umati huku??? m2 mwenyewe hata nyumba zake anashindwa malizia unakuja kutuambia ana hela kushinda AY??
      Ngoja nikupe chache kijana kuhusu AY!! Kwanza ni balozi wa Samsung, Pili ni Balozi wa UNICEF akiwa yeye na Happiness Magese, so sikunyingine usiongee utahira wako wa tandale ukadhani kila mtu hana details kama ww kijana!!

      Delete
    2. Maweeeeeeeeee,eti Diamond ana hela kumshinda AY, usilolijua ni sawa na kiza totoroooooooooooooo.

      Delete
  7. ay ana mashabiki wassomi wewe ata kama wachache.ny si mwapendaga mapenzi ndo mana mwatoa sifa kwa huyo diamond wenu hyo.kama pesa ay anazo sio lazma akatangaze ktk mitandao*

    ReplyDelete
  8. nyie makuma diamond kahusu nini hapa mnafirwa nini!

    ReplyDelete
  9. Wewe wa tandale nini?kwa kuwa mnanunuliwa bia,chips,soda basi Almas ana mahela.
    Hamfikii AY hata robo Kwa taarifa yako,Watu wenye hekima wanapiga kimyakimya,malimbukeni kama Diamond ndio wanajianika kuanzia tarehe 1 mpaka 31.
    kwendraaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  10. Ila kweli.. ukiona mtu anajitangaza sana bas ujue limbukeni huyo.. mtu mwenye akili yake na mjanja wa ukweli mapigo yake kimya kimya.. big up Ambwene.. hatujajua umeenda lini tena upo na company ya wanamuziki wenye heshma kubwa africa kama ww, hope utarudi kimya kimya na kuendelea na zako tena uckute huwa unakanyaga sana viwanja ka hivyo sema hupigi kelele ka makuma flani flani!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad