Picha: Kwa Gari Jipya na Zawadi ya Shilingi Milioni 250, Harusi ya Pastor Myamba ni Funika Bovu!

Kwa ukubwa wa zawadi aliyopewa, huenda harusi ya Pastor Myamba ikawa harusi ya staa wa Tanzania iliyofana na yenye stunts zaidi. 

Muigizaji huyo wa filamu aliukimbia mji wa Dar na kwenda kufungia harusi yake visiwani Zanzibar ambako hakuishia kualika mastaa wenzie tu, bali pia zawadi alizopewa, zinatosha kuanzisha kampuni yake nyingine. 

Kwa mujibu wa JB aliyehudhuria harusi hiyo, Pastor Myamba na mkewe wamezawadiwa pamoja vitu vingine, gari jipya na pesa taslimu shilingi milioni 250!! 

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmh, huyo bi harusi utafikiri mgeni hapa duniani anavyoonekana ni kama vile ametokea sayari ya mars. Anywayz hongera zenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahahahahaaaaaaaaaaa, ila kweli aisee hicho kichwa na sura utafikiri kinda la jolowe

      Delete
    2. bwana harusi anaonekana kapendeza kuliko bibi harusi sijui alifanyiwa make up mwezi wa ramadhani wakati watu wana swaumu manake mmmh kama chiriku

      Delete
    3. ulitaka aolewe baba yako kwasababu nyie wazuri sana kwenu siyo eeeeh! ndio maana manunga embe mfyuu

      Delete
  2. Ila nimempenda mwanamke no carolight hapo black beauty.. Hongereni

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aisee ni kazuri mpaka basi tena. Kako so natural yaani hata mimi nimekapenda. Sasa wale manungayembe wenzangu na mimi ndio walie tu wacheke wana mbavu.

      Delete
    2. siku hizi Wanaume ndio tunawapenda hao,
      ''NO CAROLIGHT''

      Delete
    3. kwenda zenu hapa eti oh manunga yembe na siku hizi ndo tunataka hao no carolight, nyinyi wenye carlight mnapaka, na aliyewaambia wadada wanaojitambua wanaona ndoa deal nani? fanyeni research zenu poa, ndo walikuwa nazo mama zetu na baba zetu wakati heshima ipo, siku hizi kuolewa ni stress kwa kwenda mbele, IN SHORT NYIE WAKAKA WA SIKU HIZI NI SPERM DONORS, HAMJITAMBUI, ASILIMIA KUBWA WENYEWE MNAPENDA KULELEWA, na hao wa carolight mnawataka sana ili mshee nao carolight zao kwenye dressing table.....wa dizaini ya pastor myamba mkiwaweka ndani kutwa michepuko, shwaini nyie.

      Delete
    4. HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!! kama ulikuwepo vile kwenye kipindi cha bi chau leo asubuhi! wanaume karolaiti kaz kushea na wake zao mikorogo

      Delete
  3. Mtakesha mkimnanga mwenzenu ndio kasha olewa mngekua wazuri mngeolewa nyie yeye ni mzuri ndio mana kampenda na kuamua kufunga nae pingu za ya maisha. Kazi kwako wewe dunga embe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Angekuwa ni yule Wema Kicheche au Jokate check hayo maneno ambayo yangeandikwa plus hizo zawadi dah mbona tungekoma. Dunia nzima ingejua dah

      Delete
    2. unawatamani unaishia kula ugali na picha ya samaki na kuponda juu..POYE WEEEEEEEE!

      Delete
  4. the worst wedding dress av ever seen!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Utabakia hivyo hivyo the worst wedding dress I ever see na wenzako maisha yanakwenda. Na wewe katafute hiyo wedding dress yako tuione. Halafu uanze kujinadi kwenye mitandao kama akina Jokate kumamaye. Utakesha sana mpaka basi tena. Mbweha mkubwa weeeee

      Delete
  5. Something is not right. Why all that money????? Ni kweli wamependeza but why all that money hapo mbele??? Wanachotaka kutuambia ni nini???? Yaani mapenzi yao yamekuwa motivated na hela? Duh! Do they really like each other? Mimi nawasiwasi kama kuna mtu ana take advantage ya mwenzake. Na hizo pesa zitakuja kuwatenganisha as far as I know kwa tabia ya Binadamu ya uroho wa pesa na mali.

    ReplyDelete
    Replies
    1. we nawe watu wanaenda mashariki wewe unaenda kusini, hizo hela wamepewa zawadi jaman sio za mmoja wao. no ne is takin advt of other

      Delete
  6. Nilichokipenda ni kuwa huyo msichana sio zile type za akina Lulu Kanumba, Wema Kicheche, Jacqueline Wolper na hao manungayembe wengine. Kwa sababu kwa mtazamo wa watu wengi ungetarajia zawadi kama hizo ziende kwa hayo manungayembe lakini wapi. Kasichana kenyewe kazuri uso wake uko so glowing dah mpaka unakapenda. Hao manungayembe wanaobakia kujinadi kwenye mitandao watakesha sana mwaka huuu kumamaye zao. Watakeshaaaa mpaka basi hahaha

    ReplyDelete
  7. All the best.

    ReplyDelete
  8. acheni ulimbukeni

    ReplyDelete
  9. mbona poa tu amependeza

    ReplyDelete
  10. yale yale ya Stamina watu mabingwa wa kuongeza 0, hicho kitolori kwa haraka kina sh. 1.2 mil

    ReplyDelete
  11. ahsante anony 1;44 maana hata hesabu ndogo hawaiwezi basi hata picha tu wanaonyesha ni shs 570,000 tu na sio zaidi maana ni noti moja moja hizo sio bundle kama wanavyofikiri

    ReplyDelete
  12. Prakiseda hongera sana Sarah &rich

    ReplyDelete
  13. hahahahahahahahaahhaahaah

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad