Rais Kikwete akiwa Marekani ameongea na watanzania na kukanusha madai kuwa alimuokoa mwanae Ridhiwani nchimi China baada ya kukutwa na dawa za kulevya.
Rais Jk amesema huo ni upuuzi na hawezi kuongelea upuuzi wa aina hiyo ambao ni uzushi usio na maana.
JK pia amewaambia wqtanzania waishio marekani kuwa sio kweli kwamba kusainiwa mikataba 12 kati ya Tanzania na China ilikuwa ni sehemu ya masharti yaliyoyolewa na China wakati wa kumuachia Ridhiwani.
Ebu tutoleeNi uoZo umu
ReplyDeleteSASA ULITAKA AKUBALI KWI KWI KWI UANDISHI MAANDAZI
ReplyDeleteUpuuzi huo Anna jipya
ReplyDeleteKikwete cheza na majungu ya wa Tanzania overseas/majuuu. Hawana jingine zaidi ya kupigana majungu. Ni wa Tanzania wa kuwahurumia sana. Kwanza ni lazima ujue wengi wao hawana makaratasi and therefore hawako legally binded with the countries they are living. Kwa maana hiyo ni illegal immigrants. Kwa hiyo hawana jipya. Wengi wao wako so limited na kuji engage na shughuli mbali mbali za Maendeleo huko majuu kwa hiyo wanaishia majungu na kusengenyana. Wengi wao wamejifungia kwenye hivyo vi Nursing Home wanawaosha na kuwapangusa matako wazee wa kizungu. Hawawezi kwenda shule wala kupata kazi za maana kwa sababu hawana makaratasi. Ndugu Rais hao wa Tanzania wa majuuu ni watu wa kuwahurumia tu. Sijui ni kwa nini Serikali yako tukufu isiwashauri warudi nyumbani Tanzania wakalime na pia iwasaidie hiyo nauli kwa sababu wengi wao hawana hata hiyo nauli ya kurudia makwao.
ReplyDeleteAcha unafiki na roho ya wivu. Ni watu wangapi huko Tz wanamaisha mazuri. Maisha ni sehemu yeyote. Huko Tz watu wanaisha magumu sana. Sirudi hata kwa fimbo. Maisha yenyewe hayo ya bongo. Hospital mbaya. Shida ya maji. Umeme hakuna. Malaria juu. Ukimwi kila kona.
DeleteWewe kama mtanzania umeifanyia nini cha maana nchi yako ili maisha ya pale ya mazuri. Ni kitu gani ulichoichangia Nchi yako ili iweze kuwa na maji umeme na barabara nzuri na pia hospitali zilizo bora. Umeifanyia nini cha maana nchi yako? Usizione nchi za huko Ulaya zilivyoendelea ni kwa sababu tu wananchi wao ambao ni wazungu wamejitolea kwa kufanya kazi kwa bidiii na kuzichangia nchi zao. Hawakuishia kuzikimbia nchi zao kama vile wewe ulivyoikimbia Tanzania. Jiulize ni kitu gani nilichoifanyia nchi yangu na sio nchi yangu imenifanyia nini. Tumia akili kabla hujaropoka. Na hilo ndilo tatizo la watanzania mliopo huko majuuu akili zenu ni dhaifu sana.
DeleteAnakatwa kodi. Hiyo tosha kuleta mabadiliko ya nchi. Kama huduma muhimu. Nchi ina raslimali nyingi. Ila mikataba mibovu. Haina faida ndani ya Taifa. Maendeleo ya nchi yanachangiwa na uongozi bora. Wenye ukweli na uwazi. Kila mwananchi anajua Nini? kinachoendelea ndani ya Taifa lake.Viongozi lazima waweke ushiriliano na ukweli na uwazi. Na wananchi wao. Waliowachagua kuwa viongozi. Sio bra bra tu.
DeleteWatu wengi hawajui khaki zao katika Taifa lako. Asa huku kwetu Africa. Kiongozi ni madaraka tu aliyopewa na nchi au wananchi. Kodi tunazokatwa ni jukumu kabisa la Taifa. au kiongozi Kuhakikisha kwamba kila kitu kinaenda sawa. Pamoja na raslimali tulizo nazo. Ndio kazi ya Taifa kuangalia maslai ya Taifa lake. Sio bra bra tu.
DeleteNa kitu kingine wa Tanzania wa majuu hawana ushirikiano kabisaaaaaa. Na kama ni ushirikiano unaouona ni ule ushirikiano feki feki tu. Kwanza kitu cha ajabu na ambacho utakishangaaa wa Tanzania wa majuuu wanabaguana wao kwa wao.Wana vijikundi kundi vyao. Kuna wale wenye makaratasi na wale ambao hawana. Kuna wa tanganyika na wa zanzibar. Kuna waisilamu na wakristo. Kuna wahaya na wachagga. Hayo ndio makundi ya wa Tanzania huko majuuu. Shughuli ikitokea wanaalikana wao kwa wao. Wewe mwenzangu na mimi utaishia kuisikia wakati shughuli imekwisha. Watanzania wa majuuu ni watu wa ajabu sana. Kuna wale waliosoma na wale watanzania michepuko basi ilimuradi ni makundi makundi ya hapa na pale. Kwa mpango huo Ndugu Rais unategemea watanzania watazungumza kitu gani cha maana zaidi ya majungu??????? Wengi wao wamekata tamaaa na maisha usijidanganye na picha wanazozirusha huko INSTAGRAM, WHATSAPP na kwenye FACEBOOK. Ni uongo tu wanajaribu kujenga impression kwamba mambo yao ni sawa wakati hakuna lolote. Watanzania wengi majuuu wamekosa ule muelekeo wa maisha. Ni wale watu wanaojaribu kubahatisha bahatisha. Wanaishi maisha ya kubahatisha asikudanganye mtu.
ReplyDeleteword
DeleteWatanzania wa majuuu kwa kujua maisha you ni ya kubahatisha bahatisha matokeo yake wanaishia kukimbiana. Watanzania majuuu ni watu wanaokimbiana mno sijapata ona. Kila unayekutana naye ni lazima atakupa sababu hizi na zile ilimuradi akukwepe. Kwa sababu wanajua hawana jambo lolote la maana watakaliweza kukuambia au kukusaidia. Wengi wao wako so much depressed mpaka unabakia kushangaaa ni kitu gani kilichowatoa pale nyumbani na kuwapeleka pale majuuuu. Kazi zenyewe ndio hizo za kwenye ma Nursing Home. Sasa jaribu kuwatembelea humo kwenye ma Nursing Home utashangaaa wanavyonyanyasika. Kisa ni kwamba kwanza hawana makaratasi halafu kitu cha pili lugha haipandi kabisaaaa. Ni watanzania wachache sana huko majuuuu ambao wana uwezo wa kuielezea kwa ufasaha kwa kutumia lugha ya wenzetu. Wengi wao ni wale Ze Ze Ze Ze. Kwa hiyo ni full kunyanyaswa dah hahaha. Rais wetu Mtukufu hili ni janga ni bora ufanye kile kinachowezekana ndani ya uwezo wako uhakikishe wanarudi nyumbani Tanzania haraka sana iwezekanavyo na wapatiwe Mashamba ili waanze kulima kuliko hii adha wanayoipata huko.
ReplyDeleteHebu acha wivu. Hiyo kazi ya Nursing Home je unaujua mshahara wake. Ni mshahara Wako wewe wa miezi sita. Ni wivu tu kwa sababu ujapata nafasi ya kwenda ulaya.
DeleteSasa linapokuja soko la ajira ukiachilia mbali hizo kazi chafu chafu za kwenye ma Nursing Home ni majanga. Na kisa ni nini ni hiyo hiyo lugha. Jamani wabongo waliosoma majuuu hawauziki kwenye ajira mbali mbali za maana. Unamkuta mtu anakwambia eti ana masters degree lakini check anavyojieleza mpaka machozi mtu yanakutoka. Hawako fast katika kujielezea na kama wako fast basi hawako accurate. Hawana uwezo wa ku comprehend mambo kiviiileee kulinganisha na namna mtu anavyokwambia eti anayo Masters Degree. Mpaka unabakia kushangaaa kama ni kweli aliisomea ile Degree na akaipata kiuhalali au ilibidi aivulie chupi. Jamani wasomi wa ki tanzania majuuu ni majanga hawauziki kabisaaa kwenye soko la ajira. Matokeo yake ndio unawaona wanaanza kujishughulisha na mambo mengi ya kipuuzi yaliyokuwa nje ya career zao. Sijui utasikia eti Mwenyekiti wa CCM huko DMV mara oohh sijui ni Mwenyekiti wa CHADEMA pale London basi ilimuradi tu ni full vichekesho na kujichanganya. Ni wachache mno waliopata zile ajira walizozisomea. Wengi wao ni full majungu, kusengenyana na mauongo. Hao ndio watanzania wasomi wa majuuu. Na wengine wanaanza kujifanya eti ni viongozi wa hizo Jumuiya za Watanzania ambazo nyingi zake ni feki feki hazina kichwa wala miguuu wala msaada wowote kwa watanzania walio wengi huko na ambao wameathirika kwa sababu ya mfumo mzima wa maisha huko majuuu. Rais wetu mtukufu wasaidie hawa watanzania warudi pale nyumbani Tanzania wakalime duh
ReplyDeleteNahisi wewe mi le mutuz.
DeleteKeep hating brother
Wale ambao wanaoonekana na unafuuu fulani wa maisha pale majuu ndio utachoka kabisa. Wako kwenye madeni balaaa. Yaani mpaka mabenki yamewazimikia kuwakopesha ama kuwapatia zile credit cards. Hawakopesheki tena. Yaani ni full madeni hata Serikali ya Tanzania ina afadhali. Sasa wa check wale wanaofanya kazi kwenye hizo Nursing Homes hawalali ni back to back shifts mtindo mmoja ili waweze kuyalipa yale madeni. Wale wanaopanga shifts ma schedulers wameishawazoea. Yaani vitanda vyao wenyewe ni ndoto na kwao Jumamosi na Jumapili ni kama vile jehanamu. Wale wanaopanga shifts kwa kuwajua wako desperate na hivyo vijisenti wanaishia kuwapiga zile shifts za Jumamosi na Jumapili muda ambao unatakiwa uwe unajichanganya kwenye viwanja vingine au japo kwenda Kanisani. Cheza na majuuu wewe. Sasa ni kwa nini watu kama hao wasiishie kupiga majungu na kusengenyana????????
ReplyDeleteKwa kweli watanzania wa majuuu wamechoka. Ninaposema wamechoka kwa kweli wamechoka. Yaani wamechoka kiakili na kimwili mpaka basi tena. Wale ambao ni wasomi pale majuuu wanapoteza opportunites hivi za kurudi na kwenda kujenga nchi yao. Halafu kwa wale ambao ni michepuko kama mnashindwa kuelewa kuwa kila mnapoendelea kukaa huko bila malengo ya maana kama kwenda Shule. Basi itakuwa ni majanga katika maisha yako hujapata ona. Jamani kwa wale msio na makaratasi rudini huku nyumbani tuendeleze lile gurudumu la Maendeleo. Hizo nchi zina wenyewe. Ni bora mrudi Tanzania kuliko kuumia na majungu na kusengenyana kusikokuwa na mpango huko majuuu. Na pia hizo kazi zisizokuwa na tija.
ReplyDeleteHilo gurudumu wewe lisukume pekee yako na hao ways wengine. Tz Kuna wananchi zaidi ya million 45. Nadhani wanatosha kulisukuma hill gurudumu. Kama watu wote hao wameshindwa kuiendeleza Tanzania unadhani watu wachache wa nje ya nchi ndio wataweza. Ndugu ya amemaliza Chuo kikuu mwaka wa nne sasa hana ajira. Acha kudanganya watu eti warudi tz . Rudi my ass .
DeleteBora kuosha matako ya wazee ulaya kuliko kusukuma kwama Buguruni na manzese! unawaambia warudi nyumbani kuna nini? Uchafu, njaa, magonjwa, umasikini wa kutisha, vumbi, jua kali na ukame, hospital zimekufa hakuna huduma, elimu iko ICU! Nchi imepigwa na laana! Msithubutu kurudi! Huku babu ni miaka 40! Kaeni huko kwa watu wenye akili sio huku tunaishi kama mbuzi kwenye zizi!
ReplyDeleteBora kuosha Matako nursing home kuliko kuishi Tanzania, Bora kuwa mtumwa ugenini kuliko kuwa mtumwa kwenye nchi yako,Tanzania hospital ni shida, umeme, maji elimu ndio kabisa usipime, Mama mjamzito anakufa wakati wa kujifungua, vifoo vya mama na wototo vinaongoza, Mtu ana lemaa kwa Stroke hawezi kumtibia, Wakubwa wakiumwa wanakimbilia kutibiwa nje ya nchi maskini ndio wanateseka,huku tuliko ukienda hosoital hawaangalia elimu, kipato wala mtoto wa nani unatibiwa sawa na wengine kulingana na ugonjwa Wako, leo umpindee mtu aliyeko nje ya Nchi, kuna faida zake hatakama tuna beba mabox ukipata dollars iko juu kuliko Shilingi.
ReplyDeleteKweli kabisa ndugu zetu mlioko juu, kaeni hukohuko! Huku nyumbani ni kuzimu ndogo! Mafisadi na wakwepa kodi ndiyo wanaishi vizuri! Wengine ni sheeeder! Magonjwa, ukame, air pollutions, na dhiki kuu! Ajira hata ya nursing home hakuna! Vijana wa kiume ni mateja na vibaka! Wanawake ni kuuza nyuchi kwa kwenda mbele! Msirudiiiiii mkiweza tusaidieni wenzenu tuko Jehanam! Kula mlo.mmoja ni shida! Usafiri ni balaa!
ReplyDeleteUmeme na Maji ni shida, huduma za afya ni hakuna! sana sana serikali inapromote witch doctors! Elimu imekufa! hata vi English mediums vingi ni fake ingawaje viko expensive! Makazi bora hakuna, tumebanana kama panya kwenye shimo! Mazingira machafu mno! sura na ngozi zetu zimechoooka wengi tuna utapiamlo! Msirudi huku 19th world countries!
ReplyDeleteMtukufu Rais my ass! Stupid pathetic Tanzanian! Ninyi ndiyo wezi wakubwa wa rasilimali za nchi! Ndiyo sababu unajipendekeza kusifia Rais Kilaza ever!
ReplyDeleteHuyo konda wa fast jet anaondoka lini??? Tumemchoka!
ReplyDeleteUkiwaona wanavyokwenda kwenye hiyo mikutano utafikiria ni watu wa maana kumbe hawana lolote. Ni ma loser fulani hivi ambao wanahofu ya kurudi kwenye Nchi yao kutekeleza zile ilani za Maendeleo. Sasa matokeo yake wanaishia kumuuliza Mtukufu Rais wa Nchi ya Tanzania maswali yasiyokuwa na kichwa wala miguu na yale maswali ya kijinga. Hawa majamaaa ni useless kabisa. Ni kwa nini msirudi hapa nyumbani ili mpate zile reliable informations??? Badala ya kumpotezea Mtukufu Rais muda na nguvu zake???????
ReplyDeleteHahaahaa eti mtukufuu...
DeleteWewe kweli boya.
Endelea kuTetea ufisadi wa familia yenu fala wewe
Siku zenu zinahesabiwa
nomaa
ReplyDeleteNdugu zetu msilisikilize hilo bwabwa! Chakula ya wazee! Someni hao anonies hapo juu wameeleza UKWELI kuhusu nchi yenu Tanzania! Wamesahau kuwaeleza na vita ya udini inavoinyemelea nchi! Huku msirudi hakufai labda kama Baba yako ni fisadi au wewe mwenyewe una hela za sembe! Watu wamepauka kwa kukosa lishe bora, makazi bora na afya bora! Wakimwi wanapewa Arvs fake! Kuleni butter za wazungu, huku njaa!
ReplyDeletebongo kweshne!! nyie mlioko marekani jiangalieni sana, huku jalala tu, fanyeni mambo ya maana halafu kama mkifikiria kurudi ndiyo mrudi, kama baba lako FISADI basi rudi tu uje kula bata lakini ujue hamta dumu muda mrefu!
ReplyDeleteLe Mutuz aka kibamia! aka bwabwa! lione linavohorojeka!
ReplyDeleteAliyesema bora kuwa paka au mbwa majuu kuliko kuwa teja la Tandale HAKUKOSEA!
ReplyDeleteMuogope na MUNGU ndugu
DeleteMaraisi wengi wa africa kupenda misifa tu wakati nchi kwao kuko hoi, kiuchumi, kumefeli nyanja zote,ni corruption, kwanza maraisi wengi wako kimasirahi yaani wizi, uliokithili wanangusha mataifa yao wala hawafai, kumujaa dhiki tu na shida nyingi na umasikini uliobobea, kila raisi akingia madarakani anawaza jinsi ya kulibia Taifa lake sasa tutaendeleaje hivi mpaka watoto wao nao wanajiunga katika huo wizi wa kutuibia wananchi Tabu sana sisi watu weusi
ReplyDeleteHo viraza wanaotetea ujinga, ukiona hivyo wako kwenye ufisadi mambo yao poa basi ndi wanaona kila kitu sawa, Tanzania imejaa corrupition kibao ni nci mmoja wapo inayongoza nayo kuwa na corrupt kabisa, Elimu duni, mahospitali madawa hakuna, hizo shule hovyo hovyo watoto awaeleweki hata wanachokisoma, shule nyingi za kina kayumba, huduma muhimu zote corrupt, nchi inanuka rushwa na ufisadi corrupt kila sehemu, ziro
ReplyDeleteSijui ni kitu gani mnachokilalamikia nyie watu. Hiyo ni nchi ya wanachi. Ni jukumu la wananchi wenyewe kusimamia na kuiendeleza nchi yao. Ndio viongozi wapo lakini ni lazima pia tukubaliane ya kuwa sio kila kitu kinaweza kusimamiwa na kutekelezwa na viongozi waliopo madarakani. Ni lazima mkumbuke hao viongozi sio Mungu wala Malaika ni binadamu kama binadamu wengine. Ni watu wenye mapungufu na udhaifu kama binadamu wengine. Hiyo ya kubakia kuwalalamikia viongozi waliopo madarakani bila ya kuchukua hatua za kimsingi za kuendeleza Nchi kama wenye Nchi itakuwa ni upotevu wa muda na pia ni hoja dhaifu. Hamuwezi kila kukicha kuwalaumu viongozi bila ya nyie wananchi kuonyesha ni kitu gani mnachoifanyia nchi yenu. Hata siku moja msitegemee hawa viongozi kuwa majawabu ya matatizo yenu ni jukumu lenu wananchi kukaza mikanda na kufanya kazi kwa bidiii. Na kama mtaendelea kuwategemea viongozi waje wawatatulie matatizo yenu basi imekula kwenu kwa sababu hata wao wanayo matatizo yao ambayo hawana watu wa kuwasaidia kuyatatua.
ReplyDeleteHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAA MDAU UMENIFURAHISHA SANA UMETAMKA MADEMU KAZI NI KUUZA NYUCHI NIKAMKUMBUKA DEM MMOJA HIVI ANAJIITA MATAWI ANALIPENDA SANA HILO NENO NYUCHI
ReplyDeleteUsipindishe ukweli wa mambo ungelea mambo ya maana yenye tija kwa wanachi. Sio kila mtu anafikiria upuuzi kama huo wa kwako wewe anonymous 2:46 PM
DeleteHalafu mnailalamikia miundo mbinu. Miundo mbinu ni miundo mbinu. Hiyo pia ni jukumu la kila mwananchi kuijenga na kuitunza vizuri hiyo miundo mbinu iliyopo. Mimi binafsi bado nakwazika na hiyo falsafa ya kutegemea viongozi ama kuitegemea serikali ifanye kila kitu. Kwa kweli ni jambo la kusikitisha. Why don't you guys focus on what can you do for your country, rather than what the country can do for you. Ni jukumu la kila mwananchi kuisimamia hiyo miundo mbinu na kuhakikisha inatekelezeka na sio kutegemea hao viongozi. Hata kwenye elimu ipo haja ya wananchi kuichukulia elimu pamoja na mitaala yake katika hali ya umakini na pale inapoonekana haifai basi ni jukumu la wananchi hao hao kuishauri serikali kubadilisha hiyo mitaala ya elimu kuliko kubakia kulalamika lalamika.
ReplyDeleteUmesema ukweli mdau.Huku kwetu tumetengenezewa barabara na mitaro safi,lakini watu na akili zao chafu wanatupa taka kwenye mitaro nyakati za usiku, sasa na hapo kikwete au mbunge wetu ndio aje atoe huo uchafu?Sijui elimu gani itolewe kwa Watanzania mpaka tuelewe.
DeleteSuala la ufisadi ni tatizo la Nchi nzima. Haliwahusu baadhi tu ya watu kama mnavyotaka kila mtu aamini. Ikiwa kila mwanachi ataonyesha kukataa suala la ufisadi basi ufisadi hautakuwepo. Kama wananchi watatoa ushirikiano wa kiwango cha juu kuhusu ufisadi kuna uwezekano mkubwa huo ufisadi ukapungua ama kukomeshwa kabisa. Lakini kwa kadri hilo jambo linavyoota mizizi kuna kila dalili zinazoonyesha kuwa hata wanachi wenyewe kuanzia yule mwananchi wa chini wa kawaida mpaka yule wa juu wanaliendekeza hilo suala la ufisadi. Ni mpaka pale tu watanzania watakapoamka na kusema tumechoka na kujaribu kutoa ushirikiano wa nguvu kwa vyombo vya dola kama TAKURURU hilo tatizo litakwisha mara moja.
ReplyDeleteTatizo lingine la watanzania ni kuwa hawana ile Self-awareness. Having self-awareness means you can look at yourself critically, and know what you're good at and where you could improve. Sasa kwa sababu ya hiyo lack ya self-awareness matokeo yake kwa wale wachache wenye uelewa wa mambo hata kama ni madogo madogo wamekuwa waki take advantage of the situation kuwadhulumu na kuwanyanyasa watu wengine walalahoi.
ReplyDeleteKumbe ni kazi yetu kutwngeneza miundo mbinu! Sasa wewe kilaza na serikali yako mnakusanya kodi ya nini? Rudisheni fedha zetu tuzitumie wenyewe tunavyotaka! Pumbafffff!
ReplyDeleteKumbe ni kazi yetu kutwngeneza miundo mbinu! Sasa wewe kilaza na serikali yako mnakusanya kodi ya nini? Rudisheni fedha zetu tuzitumie wenyewe tunavyotaka! Pumbafffff!
ReplyDelete