Rayuu Aomba RADHI Familia Yake Kwa Picha zake za Uchi Zilizo Sambaa Mitandaoni

Mwigizaji Maarufu Anayejulikana kwa jina la Rayuu Amejitokeza Baada ya kimya cha muda mrefu na kuiomba familia yake Radhi kwa Picha Chafu zilizosambaa mtandaoni.

Rayuu Kipindi cha nyuma amekuwa akivujisha picha zake mbali mbali za sehemu za mwili za kutatanisha ambazo sio nzuri kimaadili, Picha nyingi zake amekua akionyesha sehemu alizojichora Tattoo ambazo mpenzi wake pekee ndio angepaswa kuona

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. she is beautyfully lady but why should her do this?

    ReplyDelete
  2. Huo ni utamaduni wa Magharibu kuchora mgongoni chini kwenye kiuno na ina maana mbaya sana laity wangejua maana yake wallah wasingechora.

    ReplyDelete
  3. Umalaya na kutafuta kiki kibongobongo!
    Hivi watoto wa siku hizi hawana wazazi?

    ReplyDelete
  4. kipind unazipiga izo picha ukujua km unao ndugu?..nenda na mckitin ukamwombe radhi na allah

    ReplyDelete
  5. kizuri chajiuza kabaya chajitangaza.hivi bongo msanii gani mwenye heshima mie naona wote walewale ila vituko tofauti.

    ReplyDelete
  6. Kutokana na picha hizo nilimtafuta kwa simu yake 0..........na kufanikiwa kumtega,kwakweli nimfaidi sana na hizo tatoo kiunoni nikawa narambaramba.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad