Rose Mhando Afunguka Asema Anamtamani Sana Mchungaji Gwajima

Stori: Shani Ramadhan na Gabriel Ngosha

NYOTA wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando amesema anatamani sana kuhamia kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima kutokana na mahubiri yake mazuri.
“Natamani nihamie katika kanisa la Mchungaji Gwajima lakini mimi huwa napenda kumuita Askofu kwa sababu ya upako alionao, naomba ikiwezekana na mimi nihamie hapa,” alisema Rose.
Katika siku ambayo kulikuwa na sala ya shukurani kanisani kwa Gwajima Jumapili iliyopita Kawe jijini Dar es Salaam,  mchungaji huyo alimwambia Rose aliyealikwa kuimba, kwamba yupo tayari kumjengea kanisa Dodoma anakoishi na yeye mwenyewe alisimamie.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hilo siswala lakuomba kwani imani iko moyoni kwako wala si lakutangaza kinachotakiwa ni kumuishia mungu si kumtazama mtu

    ReplyDelete
  2. We hamia tu ukawe mke wa 3!

    ReplyDelete
  3. Makubwaaa,kaona flora Mbasha kawezeshwa na yeye anataka.Kwi Kwi Kwi ,helaaaaaaa hiiiiiiiiiiiiii Mungu tyhurumie

    ReplyDelete
  4. Hizi dini za shetani zilizozuka duuu Kwenda kusali kanisa Fulani mpaka uombe ruksa,?asalaleeee

    ReplyDelete
  5. Kuna ile ya kuua watu kwa mabomu ndiyo ya shetani! Ile imetia fora kuua ili upate bikra 70 peponi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad