Mwanzoni mwa wiki hii kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kulisambazaa taarifa za Meninah kuhusishwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake ambae ni Diamond Platnumz ambapo kupitia Leo Tena ya Clouds Fm Meninah amekubali kuongelea hii.
Matano aliyoyasema Menina ni haya hapa chini…
1.Sina uhusiano wowote na Diamond Platnumz.
2.Mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa Dodoma kwenye uzinduzi wa video ya Miaka 50 ya Muungano.
3.Sijawahi kuwasiliana nae hata namba yake ya simu sina kwenye simu yangu.
4.Mimi napenda uhusiano wao kati yake na Wema Sepetu.
5.Nampenda Wema kama dada yangu na namkubali Diamond Platnumz kama msanii mwenzangu.
UDAKU ONENI AIBU SASA,MUWE MNATOA CHANZO AMA SOURCE YA HABARI, sababu wenzenu wanafuatilia habari wanaandika nyie mna copy na kupesti,mkishitakiwa mahakamani kwa wizi wa habari sijui ndo muanze kulialia,AU MNA ELIMU NDOGO SANA?
ReplyDeleteNa wenzako wote walioachwa na daimond huwa wanakataa hivyo hivyo tulickia tetesi kwa joket akaulizwa akakataa akaja penny nae akakataa akaja irene nae akakataa end of the day ilikuwa kweli nakupenda sn menina na uzuri ulionao hebu shituka usiingie kwnye mapenzi na daimond plz hamjifunzi kupitia wenzenu walioachwa na daimond kuwa yy ni play boy?utajichafulia cv yako ukiingia kwnye mahusiano na mtoto wa uswazi mshamba tu
ReplyDeleteUnajua naskiaga watu wakisema kua kuliko uje kujua mapenz ukubwan afu ukawa hukuzaliwa familia ya wanaojiweza tena ukapata ela utasumbua sana mtaani
ReplyDelete