Shilole Afunguka Sababu za Kurudiana na Mziwanda Baada ya Kuachana kwa Siku Moja

Shilole alisema mpenzi wake huyo aligundua kwamba aliteswa na wivu na kusababisha wagombane hivyo alipotambua kosa lake, aliomba msamaha wakarudiana na mambo yakawa swari.

“Kikubwa ni kwamba ameomba msamaha ndiyo maana na mimi sikuwa na hiyana, nikapatana naye siku chache tu baada ya kugombana,” alisema Shilole.Hivi karibuni wawili hao waliripotiwa kuwa wamegombana na kila mtu kuchukua hamsini zake.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Shilole tatizo lako hukuenda shule na umeingia mjini kwa pupa na nyie ndiyo mnafanya wanawake wadhalilishwe, hakuna sababu yeyote inampa mpenzi wako akupige na ukiona ana tabia ya kupiga mwanamke achana nae kabla hajakutia kilema hafai na usikubali sababu yeyote atakayo toa anaona ina halalisha kukupiga.

    ReplyDelete
  2. Acha ushamba sio kila kitu ni chakuleta huku kwenye social media. Mke alielelewa akafundwa anajielewa na kujidhamini hawezi kuwa kma shilole wala kuzungumza hayo hadharani msamaha wenu mlikoseana sie hatuhitaji kuyajua..ipo siku mtatoa ratiba yenu ya kulalana huku kma sio kujirekod mkatutumia..umri umeenda acha kujidai mtoto kua sasa wewe ni mama kumbuka

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad