Inawezekana kabisa Shilole akawa msanii ambaye ungedhani angewekeza zaidi kwenye duka la urembo, nguo ama hata madini kwa jicho la kawaida kama akitaka kufanya biashara mbali na muziki. Lakini kwa jicho la tatu usimchukulie hivyo.
Msanii huyo ambaye ni mzaliwa wa Igunga panapofahamika zaidi kama kwa Rostam Aziz, mbunge aliyekaa muda mrefu madarakani kabla ya nafasi yake kuchukuliwa na Dr. Kafumu ambaye ni mbunge wa sasa, amepanga kuingia kwenye mchakato wa ubunge kwa lengo la kulitwaa jimbo hilo.
Shilole aliiambia Bongo Dot Home kuwa amefanya uamuzi wa kugombea katika jimbo hilo kwa kuwa anaona kuna baadhi ya mambo hayaendi sawa na yeye kama mzawa anaamini anaweza kuwasaidia zaidi wananchi wa Igunga.
“Ni kwa sababu ya matatizo yaliyopo. Nimekuwa nikienda naona matatizo kila siku yapo..ndio maana naona kama naweza kusimama na watu wengi sana wakanisikiliza kwa nini nisijitokeze kuwasaidia matatizo yao. Nimezaliwa pale mimi, nakijua kitongoji kimoja baadaya kingine.” Ameeleza.
“Nikipata ubunge kwanza kabisa nitadeal na akina mama, wafanyabiashara ndogondogo waweze kujikwamua vizuri. Pili vijana waweze kupata ajira kwa sababu sasa hivi naona vijana wa Igunga ajira zimekuwa ngumu kupatikana. Kuweka vitendea kazi ambavyo vitakuwa rahisi sana kuweza kufanya kazi na kutoa vijijini kupeleka mjini.” Alijinadi Shilole.
Akiwa kwenye kipindi cha The Jump Off cha 100.5 Times Fm, mwimbaji huyo alieleza kuwa mbali na muziki yeye ni mkulima wa mpunga na ana mashamba mengi ya mpunga huko Igunga
hata form 4 hajafika huo ubunge itakuaje
ReplyDeleteKuna mdau mmoja aliwahi kuuliza,hivi ubunge sio lazima uwe msomi?
ReplyDeleteMimi nauliza Kwa upande wa nidhamu,je hata wasiokuwa na nidhamu kama shilole
wanaweza kugombea ubunge?
Kwa mtaji huu Tanzania itakuwaje .Mungu wetu tuhurumie.
Naona kwa TZ bora uwe na hela za kuhonga wakati wa uchaguzi,ujue kusoma na kuandika,kusema uongo,sidhani kama kama yayo ya nidhamu na elimu wanazingatia,
DeleteNi kweli sio lazima saaaaaaaaana kuwa na nidhamu, huoni hata 'sugu' naye ni mbunge pamoja na nidhamu yake mbovu. So siajabu shishi kugombea ubunge, tena akipitia chadema, ataupata kiulainiiii!!
DeleteHahahahahaha,ila wanaudhalilisha ubunge/Tanzania.
DeleteSHISHI NI MTAMUU NATAMANI UNIPE TENA MH MBUNGE WA IGUNGA
ReplyDeleteHuyu mtoto wa vigodoro wa darasa la saba toka Igunga ametukana kazi ya ubunge na bunge letu. CV/SIFA za kuwa mbunge sio mapaja meupe tu, kukata viuno sana uchi hadharani kwenye vigodoro; au kupanda ndege na kufika ugaibuni.Wasikudanganye; wanataka ngono hao na ubunge usiupate. Huna sifa ya kupata ubunge Igunga, unakumbuka walivyokufanya siku ulipowakosea adabu ulipokwenda huko na nguo zako za aibu????? Hujakoma.
ReplyDeleteWe kuma uliedharau chadema na sugu kumamako zako..msenge ww mkundu nje..unatombwa na majini ww koma na chadema mkundu mweusi ww
ReplyDeleteKama anaidharau Chadema akigombea kupitia ccm watamgombania kama mpira wa kona mpaka nyapu yake iwake moto na ubunge asipate.Chezea matapeli wa chama chakavu ccm wewe?
Deleteachen ufekelo mbona wabunge weng tu wanajua kusoma an hawajaenda shule. inamana wasio soma hawana haki? mbunge wa makambako iringa. kaingia bungen anajua kusoma tu BT c hyo anasaidia wananchi wake. nw Tanzania kinachomata n pesa tu hata ukiwa na elimu huna pesa n bure tu. xo mjipange. nw pesa ndo mpango mzima chakaliken jaman mkisubir kuajiriwa mtashika adabu. mm nmeishia form four 2009 bt nw namilik mgod. xo akil maarifa ndo mpango mzima. nasaidia vituo vyA watoto yatima baadhi nasomesha familia yang nmeiweka poa xo kama nataka ubunge ctapata. ndugu zang hakuna kitu kizur kama kuish kwa malengo. MM BADO N BINT COZ AM 24 NW. na nilfanya hv kwa kumuonea wivu FLAVIAN MATATA. xo kuwen na wiv wa maendeleo. na c kuponda kila kitu.
ReplyDeletepumbu uvimbe huyo anaetukana chadema anakanyagwa ma mapaka!!!!
ReplyDeleteEeeeeee unamiliki mgodi wa changarawe au?
ReplyDeleteHapana sio wa changarawe ana maana ya buzi!
ReplyDeleteHahahahahahahahahahahahahahaha... daaaah, me alinchanganya huyu 6:23 kusema kamaliza form 4 2009 na anamiliki mgodi... kuuuuumbe mgodi wenyewe buzi??? Hahahahahaha.. akili ya kitoto.. chezea bongo wewe!!
ReplyDelete