Simba Wamtimua Kocha Loga Sababu Matokeo Mabovu Pia Demu wa Bongo Movies Ahusishwa

Simba Imeamua Kumtimua Kocha wake  kutokana na Matokeo Mabaya Toka alivyoanza kuifundisha Simba , Pia stori za chini ya Kapeti zinasema Mmoja wa wasanii wa kike maarufu wa Tasnia filamu ambaye jina lake lina fanana na moja ya sofa maharufu Duniani ametajwa akuwa ni chanzo cha kufukuzwa kwa kocha wa simba Zdravko Logarusic mara baada ya kumfungia mpaka saa saba za usiku mara baada ya kumalizika kwa mechi ya simba day.

Msanii huyo ambaye alishatajwa amara kwa mara katika baadhi ay mitandao ya kijamii kuwa namhusiano na loga na ni mmoja kati ya wasanii wajane ambao wapo katika tasnia ya filamu hapa nchini ameweza kumduwaza kocha huyo kiasi cha kusahau majukumu yake.

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mama Ubaya aka wema sepetu aka mama huruma kamponza kocha Loga kwa huruma zake za ukicheche

    ReplyDelete
  2. Jina la sofa? Mjane who is that?

    ReplyDelete
  3. Monalisa mjane wa Tyson na jina halifanani na sofa Bali paint maarufu ya monalisa mchoraji akiwa da Vinci so usituzingue ukidhani sisi mbululaz next time do your research

    ReplyDelete
  4. Monalisa ndio chanzo mars kibao tume muona naye,na yeye ndie aliemwambia waende kwenye Tamasha la matumaini.

    ReplyDelete
  5. jina la wauzaji wa sofaaa ndioo mon***** hakuna sofaaa inayoitwaaa ivyooo ww

    ReplyDelete
  6. wadau mko vizuri.duuu

    ReplyDelete
  7. Kuna sofa linaloitwa wema???? Jamani acheni kumuandama huyu mtoto wa watu.. kweli tunajua kama kafanya sana umalaya katombwa na wanaume zaidi ya kumi tunaowajua tu, hapo bado tusiowajua but kitu ka hafanyi sio vizuri kumzushia..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad