Hii ni post ya Quick Rocka wiki nne zilizopita ambapo aliandika >>> #LatePost…Paula’s graduation. @new_kajala @lamataleah
Kama zitakua ni stori za kweli inaweza ikawa ni uhusiano mwingine unaowahusu Bongo Movie na Bongo Fleva na kujiunga kwenye list ya uhusiano wa kimapenzi kutoka kwenye viwanda hivyo viwili iliyo na watu kama Wema Sepetu na Diamond, Nuh Mziwanda na Shilole na wengine waliowahi kuingia kwenye headlines Msami wa THT na Irene Uwoya.
Hii ni post aliyoiweka Quick aliyoiweka kwenye instagram yake na kuandika >>> Ma gal kay kay….#Beautiful
Gossip Cop Soudy Brown kapiga stori na meneja wa Kajala ambae alikua na wawili hawa hata wiki iliyopita Tanga ambapo kazungumzia kinachoendelea kuhusu kazi mpya ya filamu ambayo inategemewa kutoka siku si nyingi ikimuhusisha Kajala na Quick Rocker, inaitwa Mbwa Mwitu.
Meneja amekanusha stori za uhusiano huo kuwepo na kusema wawili hawa wanafanya kazi tu, kwani haiwezekani watu kufanya kazi bila kuwa wapenzi?
Soudy alimuuliza uchumba wa Quick na Kajala ukojeukoje? akajibu >>> ‘nani alikwambia wana uhusiano? hamna hicho kitu… Quick tumefanya nae movie tu, hakuna biashara nyingine yoyote zaidi ya movie’
nyie udaku mapenzi yawatu wengine yanakuhusuni nn nyie, hata akitoka na kifaranga ni yeye na maisha yake!! hayawahusu, kwani ye asikii nyege? nyie vipi?
ReplyDeleteAndikeni vitu vyenye uhakika kwa maana kwamba umefanyia uchunguzi
ReplyDeletemkabaini ukweli.
Hivi udaku maana yake kuandika hata story za kutunga kutoka vichwani mwenu?
ReplyDeletemmefanya uchunguz? mctufanye tucomment vitu vicvyo na uhakika
ReplyDelete