Tundaman ameweka wazi mpango wa kuingia rasmi katika siasa na kukitafuta kiti cha ubunge katika uchaguzi mkuu baada ya 2015.
Akiongea na tovuti ya Times Fm, Tundaman ameeleza kuwa alipata moyo na wazo la kugombea kiti cha ubunge kutoka kwa mbunge wa Kinondoni, mheshimiwa Iddi Azan.
“Rafiki yangu sana Iddi Azan, sometimes nikikaa nae sehemu wananchi wananishangilia mimi anasema ‘Tunda unapendwa hivi, basi na wewe uje kugombania mambo haya’. Nikasema basi sawa na hilo suala nalifanyia kazi, kwa hiyo mimi ntachukua details nyingi kutoka kwake na yeye ndiye anaeniandaa mimi kuwa mbunge baadae (sio 2015).” Amesema Tunda Man.
Ameeleza pia kuhusu jinsi anavyopata ushauri wa siasa kutoka kwa wanasiasa wakubwa akiwemo waziri mkuu wa zamani Mheshimiwa Edward Lowasa.
“Kwa sababu niko karibu sana na waheshimiwa wananishauri, kwa hiyo najua nini cha kufanya na nini nisifanye. Sometimes nakaa na Lowasa ananiambia vitu vingi mheshimiwa kwamba siasa iko hivi… kwa hiyo kuna vitu fulani mimi ninapata bila wao kujua napata kutoka kwao. Lengo baadae nitakapovifanya nisiwe nakosea, niwe straight katika kuvifanya ili nifanikiwe.”
jiandae kuwa muongo mana siasa ni uongo.
ReplyDeleteHahaha
ReplyDeleteHuyo kanjwele kakosa cha kufanya ee.mziki kashindwa,aje tumfire mkundu halafu tutampa ubunge
ReplyDeleteMh mkishindwa fani moja mnaingilia siasa,nenda shule kwanza ndo ishu itokusaidia or ndo unajiandaa kutaka kuibia wananchi waso na hatia...Dunia tunapita tu...mzigo wa hela zetu mnazoitibia wanasiasa tutagawana kwa Sir God maana mnajiona hii nchi mna g=hatimiliki yake.
ReplyDeleteujinga utupu,pia wanaokushauri nao wajinga.ila jipime kwanza mwenyewe.naona kama unamsingizia Lowassa
ReplyDelete