Tundu Lissu: Nitawania Urais Kupitia CHADEMA 2015

MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), kwa mara ya kwanza amefunguka na kusema ana nia ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 iwapo chama chake kitaridhia.

Ametoa kauli hiyo ikiwa ni miaka miwili tangu Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), alipojitokeza hadharani akisema kwamba hatawania tena ubunge katika jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu ujao na badala yake atajitosa kwenye urais.

Hata hivyo, kauli hiyo ya Zitto ilisababisha mvutano mkubwa kati yake na viongozi wenzake ndani ya chama hicho, huku mmoja wa waasisi wake, Edwin Mtei, akipinga uamuzi wa mwanasiasa huyo na akidai hakuutoa wakati mwafaka.

Mtei alisema hatua ya Zitto kutangaza kutaka kuwania urais wa mwaka 2015 haikuwa na shida kwa sababu alionyesha hisia zake lakini alikuwa ikitengeneza mzozo ndani ya chama.

Mwanasiasa huyo alimshauri Zitto kuhakikisha anakiunganisha chama na si kukigawa na kukivuruga.

Akizungumza katika mahojiano maalumu na MTANZANIA mwishoni mwa wiki iliyopita, Lissu alisema ana uzoefu wa uongozi hivyo yuko tayari kuwania urais iwapo vikao vya chama chake vitaridhia.

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ntakupa kura unafaa na unastahili ww utakua rais wa Tanzania na si wa ccm

    ReplyDelete
  2. Utakuwa rais wa chadema sio Tanzania.

    ReplyDelete
  3. Hahahahahaaaaaa......atakuwa wa singida mashariki

    ReplyDelete
  4. Hafai kuwa rais, mropokaji tu wa hovyohovyo, jimbo lake maskini balaa then anataka urais, kwanza hatoki kaskazini chama kitampitishaje?. Yeye aendelee kupiga mikele yake tu majukwaani wanafunzi wamshangilie.

    ReplyDelete
  5. kamandaaa unafaaaa saaaaannnnna kuwa raisi wetu, na tunaomba Mungu iwe hivyo, kulikoo haya mafisadi ya ccm, Mungu ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  6. HATUTAKI KIONGOZI MWENYE MAJUNGU NA ROHO MBAYA. NILIKUA NAJIULIZA KWANINI HUYU JAMAA Ã…NAKUA NA FITINA NA ROHO MBAYA KWA ZITTO KABWE KUMBE ANATAKA POST YA URAIS. Nakuahidi haitatokea ukawa rais wa TANZANIA hali halisi inajionyesha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. NAKUUNGA MKONO HUYU MTU HANA SIFA YA UNGOZI, HANA HOJA NI MBISHI, NI MPINZANI WA KILA KITU HATA KAMA NI CHA MAENDELEO; HAJUI HISTORIA ATACHOMA PICHA ZA MWALIMU NYERERE; KWAKUJIPIMA KAMA ANAKUBARIKA AGOMBEE WENYEKITI CHADEMA TAIFA NA UBUNGE TENA.

      Delete
  7. Huyu yuko kama ana matatizo ya akili jamani,
    kweli simuelewielewi.

    ReplyDelete
  8. nyie wote mafisadi hamtapenda kuona upenzani ukichukua sababu chamoto mtakiona, na haswa Lissu akichukua ndiyo mtakimbia nchi kabisaaa, wewe ninani wakusema haitawezekana kwa yeye kuchukua, unadhani wewe ndiye mtanzania pekeee utakayepiga kura? au wewe ndiye utakayetufanyia uamuzi sisi watanzania? pumbuf!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndoto za mwendawazimu!
      Ni shiiiiiiiida!

      Delete
    2. kamuulize shibuda,pumbuf mwenyewe.!

      Delete
    3. Vyama pinzani hamtusumbui akili Watanzania tulio wengi tena,tumeshajua
      wote hamuitakii mema nchi yetu,bali ni uroho wa madaraka tu nyie.
      2015 CCM tena bhana! nyie muishi kwa matumaini tuuuuuuuuuuuuuuu.

      Delete
    4. Bora kukimbia nchi kuliko kuongozwa na Lissu

      Delete
  9. matako tu uyo!

    ReplyDelete
  10. Hata kama nile mlo mmoja kwa siku,napenda amani

    ReplyDelete
  11. Kichaa naye anataka Nchi kweeeeelii ni sheedar

    ReplyDelete
  12. nyie wote mnaomtukana lissu ni wasenge! hakun kiongoz km lissu ccm

    ReplyDelete
  13. tena siyo wasenge kidogo!

    ReplyDelete
  14. ........wazanzibari si'mnajua nini maana ya tundu lisu, hivyo basi mkisikia karopoka neno lolote lile kama hili la kutaka uraisi nyie kama kawaida semeni "AHAA, kumbe 'tundu lissu'!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad