Tundu Lissu: Sitaki Kuulizwa Tena Kuhusu Kumtukana Mwalimu Nyerere

Tundu Lissu ameyasema hayo katika maojiano na kituo kimoja cha radio jijini Dar - es - salaam. 

Alipo ulizwa swali kama yeye anadai makada wa CCM wanaitukana tume ya Warioba je na yeye anaweza kulitolea ufafanuzi suala la kumtusi Baba wa Taifa? Anasema "sitaki kuulizwa hili swali kuanzia leo nitatolea ufafanuzi kwa mara ya mwisho mimi sijawahi kumtukana mwalimu nilisema ukweli na wala CHADEMA haikuwahi kuomba radhi kama walivyosema watu. 

Sijawahi kukutana na Mama Maria Nyerere japo ningependa kumpa hata shikamoo" 

Pia alisema taarifa kuwa UKAWA yapasuka ni uongo mtupu na kuyatuumu magazeti ya Habari Leo Uhuru na Mzalendo kuandika propoganda.

Ameongeza na kusema Mbuge yeyote atakayerudi bungeni kukipata, na "hatarudi bungeni".

Mwisho alisema kuna mbunge mmoja wa mahakama ana elements za UKAWA maana anasema mpaka UKAWA warudi nami ndo nitarudi.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dhambi unayo hiyo itakutafuna tu

    ReplyDelete
  2. hapo mpaka kieleweke sisi tunataka katiba iliyo safi sibora katiba

    ReplyDelete
  3. Nyinyi mkisusa wenzenu twala!

    ReplyDelete
  4. dhambi gani hiyo hebu tufafanulie

    ReplyDelete
  5. msiwe kama wasenge yaan wenzenu wanstetea haki yenu ya katiba bora we unasema huku unabana pua wakisusa wenzio twala we mchokozi nn

    ReplyDelete
  6. we MKUNDU unadhani mawazo ayko ndo mawazo ya kila mtu DEMOKRASIA maana yake ni kuheshimu mawazo ya kila mtu .Kila jambo mnalotaka likienda tofauti mnasusa huo uchoko

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad