Ukiangalia Picha hizo zinajieleza vizuri hao ni wanafunzi wa shule za sekondari , Je Vitendo hivyo wanavyofanya ni matokeo ya shule za boarding jinsia Moja ?
Nakumbuka mtoto wa jirani yangu alienda shule moja ya Boarding hapa Bongo alivyorudi likizo akaanza kuwatongoza wasichana wenzake wa hapa mtaani kwetu
Mimi hapo sioni tatizo liko wapi. Actually hizo picha hazituambiii chochote zaidi ya Selfie ambao kimsingi ndio mtindo wa kisasa wa kujipiga picha na pia wamejisetiri kiasi cha kutosha kulinganisha na picha za watu wengine. Na kama ni mahusiano ya jinsia moja huo ni uamuzi na uhuru wa mtu binafsi ambao haupaswi kuingiliwa as long hauathiri kitu chochote na kama hisia ni kuwa hayo ni matokeo ya kuwa katika Boarding school ya jinsia moja sio ukweli kwani kuna watu wengi huko mitaani wanafanya hayo mapenzi ya jinsia moja na sio kwamba wako katika shule ya jinsia moja.
ReplyDeleteMmmmh!! We'kama husagwi basi unasaga.........!!
Deleteachabkurudia mada na hao wanafunzi siyo watazania acha umbea
ReplyDeleteAfterall nyingi kama si zote ni za nje(sio za wanafunzi wa Kitanzania),urahisi wa kuzipata mitandaoni basi imekuwa kama ndo zinatokea hapa nchini,badilikeni katika uandishi
ReplyDeletenyingi za shule zetu za kitz huwa wanafunzi hawasuki, wala kuweka dawa labda nje ya nchi msipende kutupa wazazi presha , unajua inauma!
ReplyDeletena inavyo onyesha nivipande vya filamu eitha ni wasanii wakiigiza mambo ya shule
ReplyDeleteKWA NINI WATANZANIA KILA KITU KIBAYA MUNAKATA SASA MUNABISHA NINI KUWA SI WANTANZANIA KWANI WATANZANIA HAWAWEZI KUFANYA KITU KAMAHICHO MBONA WASAGAJI WAPO WAMEJA KIBAWO MBONA WA KINA WEMA WAPO WANAFANYA MAMBO SIO
ReplyDeleteTUKUBALI SIKU MOJA KUWA WATANZANIA NASISI TUNAFANYAGA MAMBO MABAYA NAMU UNGA MKONO UYO
Delete