Ukawa Waanza Vita Upya, Wampiga Mkwara Jakaya Kikwete

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umemtaka Rais Jakaya Kikwete kusitisha Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma na iwapo hatafanya hivyo utaongoza maandamano nchi nzima.

Umoja huo pia umeeleza kuwa kuendelea kwa Bunge hilo ni sawa na kuvuruga mchakato wa kupata Katiba Mpya, kuiweka nchi rehani, kufuja fedha za walipakodi, kuwahadaa Watanzania kwa kupitisha Katiba isiyotokana na maoni yao, huku kanuni zikibadilishwa na kuingizwa mambo ya Tanganyika katika Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano.

Kadhalika, umemtaka Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalumu wa matumizi ya fedha za Bunge hilo kwa maelezo kuwa zinatumika bila maelezo sahihi.

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi ninyi Ukawa mna Ajenda gani ya siri? mnataka kutuharibia amani yetu kwa tamaa yenu ya kutaka umaarufu na ukubwa, si mmeishajitoa kwenye bunge maalumu? waacheni hao wanaoendelea hadi hapo taratibu na sheria zitakapowakwamisha. Kumbukeni Katiba hii muamuzi wa mwisho ni wananchi wenyewe zaidi ya millioni 20 na siyo hao 17,000 mnaowasema ninyi.

    ReplyDelete
  2. Ni kweli,lkn chonde chonde;Amani yetu ni bora kuliko hiyo mijadala yenu.

    ReplyDelete
  3. wewe mdau wa 10:31AM utakuwa ni kati ya hao wajumbe mafisadi wanaokula mabilioni ya wananchi hapo bungeni sasa hvi bure kabisa, au unandugu lako huko au hata basha wako, sasa kuna maana gani kwa wao kuendelea na bunge hilo huku wakijua wazi hawatatimiza hiyo theluthi mbili? watanzania acheni upumbavu.

    ReplyDelete
  4. Lama kweli ukawa mnatusamini sisi wananchi rudinibungeni,lakinipia nyinyi sindiomiakayote mnalalamikia katiba? Vipileo mnasema hainahaja ya haraka? Vipi? Mtikila alitakakatiba, lipumba alitaka,mbowe mpaka katakakususia uchaguzi kwasbbu ya katiba,mrema silaa wote vp leo? Mbonamnatufanya mabogas rudini uwanjani tupambane

    ReplyDelete
  5. Kuna vitu na sisi baadhi ya Watanzania vya UKAWA hatuvimind lakini tuna vummilia ndio demokrasi maandamano ya nini? ivi na hao wengine wakifanya maandamano itakuwaje? sio kila mwananchi ni mwanasiasa achene zenu, wanaolipa kodi hawapendi vurugu, wengi wanasiasa wa Tanzania hawalipi kodi ndio maana hawafahamu utulivu wa nchi, hivi juzi tu kuna MwanaUKAWA mmoja katika mkutano wake wa hadhara amesema Watanganyika wasipige kura Zanzibar!!! Wakati tunajua wapo wliozaliwa hapa na wanaoishi zaidi ya miaka 4, wote wanahaki ya kufanya hivyo kisheria, sasa hatuwaelewi,!!!. Sio kweli kama kila mtu awe kongozi ndio tutaendelea, Kiongozi ni kuenyesha njia sio kubagua wananchi.

    ReplyDelete
  6. jueni ni kwanini UKAWA wamesusia bunge siyo kusikia habari juujuu tu nakutoa hoja zakukurupuka, wanachopigania UKAWA ni rasimu ya wananchi iliyopelekwa bungeni ili ijadiliwe, lakini hao wengine kwa wingi wao wanataka waipindishe kwakejeli zao na matusi, sasa warudi au wakae huko bungeni wapambane kwa lipi? washapambana vyakutosha wakaona kinachoendela ni ujinga tu, watu wazima na heshima zao wanakaa na kuwatukana wenzao badala yakubishana kwa hoja.

    ReplyDelete
  7. UKAWA,UKAWA,HEBU KWENDENI HUKO!

    ReplyDelete
  8. wakatombwe uko! na waandamane kwani nani kawashughulikia. wanatafuta pa kutokea mashoga haooooooooooooooooooooo.

    ReplyDelete
  9. Wavurugaji tu nyie,hivi kila jambo kwenu baya kwa nini lakini?kaeni kando kabisa muone kama Tanzania haitajengwa.Ndege wenye sumu nyie,tumewachoka.

    ReplyDelete
  10. Jaman tunapenda sana wapigania haki na maendeleo kama wafanyavyo wapinzani lakini ONYO ONYO amani msi ipoteze nyie ukawa

    ReplyDelete
  11. Machafuko yakitokea viongozi wote wanapanda ndege kwenda kujificha, wakina sie tunakufa vibudu wakat walosababisha kwa maandamano ni UKAWA nyie ukawa tumieni njia zote kuhakikisha maridhiano yanafikiwa ila c kwa kuvunja amani yetu chonde chonde, nyie mtakimbia cc tutakufa.

    ReplyDelete
  12. Tz hakuna amani bali n uoga! haya mafisad ya ccm yamezid sn.. kuna shule nyng tz haina vyumba vya walimu na miundombn mbovu,richmond,epa,pembe xa ndovu na BOT. BUT hakuna hata 1 aliyewajibishwa. kuna viongoz wanamilik migod mikubwa kupitia migongo ya watu.

    ReplyDelete
  13. yaambie mabwege hayo, amani gani wakati nyie wengi hamna kitu mfukoni!! kila siku mnalia njaa wenzenu wanapeta, hospitali mbovu, shule mbovu, miundo mbinu mibovu, hivi nyie mnaoshabikia huu ujinga ni mambumbu nini? au ndiyo hizo shule za kata mlizosoma ambazo walimu duni ndizo zimewajenga hivyo, nawaoneeni huruma sana sababu mtabaki hivyo hivyo mabwege, ndiyo nyie mnakuwa na almasi anakuja tapeli nakichupa anakwambia yakwako siyo almasi, hii ndiyo almasi anakuachia kichupa chake mnabadilishana wewe unaondoka ukishangilia kama zuzu tuuu!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad