Utafiti: Wanawake Wanene ni Mafundi Jikoni Kuliko Wembamba

Duniani kuna tafiti nyingi na mara nyingi wataalamu wa masuala mabalimbali huja na tafiti tofauti tofauti...

Moja ya tafiti ambayo imenivutia kiasi cha kuja hapa jamvini ni utofauti wa ufundi wa jikoni baina ya mwanamke kimbaumbau na yule mwenye neema za allah "curvaceous" ...

Inaaminika kwamba manawake wenye nyama za nyongeza 'curvy girls' wana ujuzi mkubwa wa mapishi kuwazidi wale ambao miili yao ni vimbaumbau...

Sababu kubwa haswa inayopelekea kuwepo kwa dhana hii ni kutokana na utofauti wa tabia za ulaji baina ya mwanamke tipwatipwa na kimbaumbau...

Wataalamu wanadai eti kwa kuwa wanawake vimbaumbau ni wavivu sana kula basi hata ujuzi wao wa kuandaa madikodiko, mahanjumati na mazagazaga ni mdogo pia...(hawa nafikiri ndio wale wanaochemsha nazi bila hata kuikuna)...

Hivyo wito wangu kwetu vidume haswa wale mnaotafuta waifu matirio, kama wewe ni mtu wa kuchunuku zagazaga hebu konsida basi hiki kigezo usijekuwa walazwa na njaa au kutwa washinda kwa mama muuza...

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. embu kuwa mkweli, wanaujuzi na mapishi yepi?

    ReplyDelete
  2. NIKWELI AISEE WALE JIKONI MPAKA KITANDANI ILA UKIPATA NENE UZEMBE LINAKUWA LALAMISHI SANA KITANDANI MARA NIMECHOKA MARARA TARATIBU MARA NAUMIA NISHIIIDA

    ReplyDelete
  3. Hovyoooooooooooooooooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  4. cna hakika kama ni kweli ktk mapishi ila kitandani itategemeana na mwanamke mwenyewe japo wembamba wanatiana kwa muda mrefu bila kuchoka ila kiufundi hata wanene wapo juu sana hapana chezea....xema wanawake wanene wajitahidi kuvumilia mpaka bao la 6,7,8 na kuendela cio viwili tu choka mbaya uvivu mpunguze mbona kula mnakula xana wasenge nn

    ReplyDelete
  5. uvivu mnatuletea nyie w.ume baada ya kuanza kua na michepuko...

    ReplyDelete
  6. WANAUME WANACHEPUKA NA NANI KAMA SI WANAWAKE PIA!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad