Vijana wa CHADEMA Wadaiwa Kumpiga Mjumbe Bunge la Katiba

Mjumbe wa bunge maalum la katiba kutoka kundi la 201,Thomas Magnus Mgoli amelazwa katika hospital ya mkoa Dodoma baada ya kupigwa na wanaodaiwa kuwa 'vijana ambao mashabiki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)'.

Akizungumza na Udaku Specially akiwa kitandani kwake, Mgoli amesema alishambuliwa na vijana hao jana usiku majira ya saa moja eneo la area D anakoishi.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hao siyo vijana wachadema, ni wananchi wenye hasira zakuona fedha zao za kodi zinatafunwa bure wakati muafaka hautapatikana, hii katiba haitapatikana mwaka huu, tunadanganyana tu nakutafuna mabilioni ya walipa kodi bureeee!

    ReplyDelete
  2. kodi, kodi, kodi jamani zinatuuma sana!!..
    NDO MAANA WANANCHI WANAHASIRA KALI

    ReplyDelete
  3. Kapigwa na walevi wenzie huyo

    ReplyDelete
  4. hahahahaaaa mdau hapo juu umetishaaaaaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad