Wamponda na Kumkejeli First Lady Wetu Alivyo Vaa Us Africa Summit

Kuna kipindi nakiangalia kwenye television ya Kenya the citizen kipindi kinaitwa fashion watch hiki kipindi kilikuwa maalum kwa jinsi maraisi wa Africa na wake zao walivyovaa na jinsi walivyo pozi kwenye picha , moja ya ma judge alikuwa yule Ian ambaye huwa ana judge kwenye shindano la uimbaji la project fame nilijisikia vibaya pale waliposema kuwa first lady wetu amevaa kama anakwenda msibani huku wanacheka dah noumah kweli

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. waende huko, kwahiyo walitaka avae nusu utupu? alipendeza Sana Tu, tena hata Mimi naenda kuchoma Moto zile sketi zangu fupi kwanza kuvaa kama huyu first lady

    ReplyDelete
  2. Sijaona kosa walivyomkosoa, maana walikuwa wanawakosoa karibia ma first lady wote. Ila Hilo liwe fundisho kwa sisi watz. Madesigner wanafanya kazi gani badala ya kumchagulia mama kitenge kizuri wanamvalisha nguo ya black kwenye shereh ya muhimu kama hiyo

    ReplyDelete
  3. Na wewe uliyecomment hapo juu acha kuchanganya mambo, hawajaongelea kuvaa kimini, wameongelea kuvaa nguo nyeusi kwenye sherehe hiyo. Mbona anakuwaga na vitenge vyake vizuri sana vya rangi. Kwanini alivaa black. Ndio maana anatakiwa kupata designer anayejua nguo za kuvaa kuendana na mazingira. Au alivaa kumechisha na husband.

    ReplyDelete
  4. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  5. Mwalimu w shule y msingi wapi n wapi n kujua kuvaa nguo kuendana n mahali alipo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuwa na heshima na walimu mtu wangu!! Rais mwenyewe hajui kuvaa ndo sembuse huyo first lady?? Alaf mtindo wakuponda kazi za wenzako wakati we mwenyewe store keeper tu huna jipya!!

      Delete
  6. jaman kweli iyo nguo km yupo kwenye msiba wa mandela

    ReplyDelete
  7. Msitake kuleta maneno ya uongo na pia sisi waafrika tuna mila na desturi zetu sasa mnataka avae kama wanavyovaa wasanii wetu wenye tabia ya kuiga na kuona kama wameendelea, mbona amependeza saana.

    ReplyDelete
  8. Ww unaye dharau primary teacher bila msaada wao ungefka hapo au ndo unatupa mbachao kwa msaala upitao.

    ReplyDelete
  9. Naskia obama alipowaona bibi na bwana wameongozana awanaingia white house alishtuka halafu machozi yanamlengalenga akauliza"kikwete nani tena katutoka????" bahati akajibiwa "sio msiba bro, tuliooa machinga tunatabu, nimebishana nae sana avue lakini m'bishi"!!

    ReplyDelete
  10. Nyinyi kizazi cha wi-fi bin bluetooth mnamatatizo sana,ndio maana hata rangi ya ngozi zenu mlizozaliwa nazo hamzitaki pale hakwenda kwenye fashion show

    ReplyDelete
  11. we uliyeponda mwalimu.na wewe uliyeponda machinga kuma LA mama zenu wote.mama alipendeza

    ReplyDelete
  12. Mh hiyo color black sio bhana

    ReplyDelete
  13. Black is really the only color worth wearing,
    it works for every season,and never goes out of style.

    ReplyDelete
  14. Nampenda sana mama Salma Kikwete, hata avae gunia anapendeza tu...., ndio maana hapati tabu ya kuchagua nguo. Hivi hao wakenya kwani wameshamalizana na Al-shabab mapaka wanapata muda wakumjadili first lady wetu?? WAMUWACHEEEEEEE.......!!

    ReplyDelete
  15. Wapi Vicky Kamatta?????

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad