Wengi wanamaliza haja ndogo tu na kuvaa bila hata kunawa, upesi upesi kama wanakimbizwa; matokeo yake nguo za ndani zinabaki na mikojo then kuleta harufu za ajabu ajabu.
Mtu ni afya, mnawe mara baada ya haja ndogo osheni maeneo yenu kama kina dada wanavyofanya wanawake wengi wanavumilia harufu wakati wa BJ na hata wakati wa faragha wanatamani hata wakimbie.
In short inawakata stimu balaa, na hii huchangia wengi kuibiwa kwa kuwalaghai kuwa mmewafikisha kileleni, maana hakuna hisia tena harufu inaboa.
Inatosha sasa kuwatesa na harufu kali hizo, bora mtumie vyoo kamili ili muweze kusitiri aibu hii na kuacha upesi mkikimbiwa.
Msilaumu, kuweni wasafi maeneo nyeti.
hiyo labda inatokea kwako, kwanza kimaumbile ya mwanamme akishakojoa ni kulikumuta dude sawasawa na kwenda kunawa mikono, habari za harufu ya ajabu kwa mwanaume labda inatokea kwako.
ReplyDeletemtoa mada ni mkweli wanaojua ukweli ni wanawake zenu na sii nyinyi coz hata chupi zenyewe mnafua baada ya wiki uategemea nini kama si kunuka pumbu
DeleteNi kweli kabisa,chupi za wanaume hunuka vibaya sana, naomba usikatae. Chup inavaliwa sku tatu unategemea nn
Deletekenge we usi generalize mambo kama anakugonga afui chupi ni uyouyo
DeleteXm tu n vema kujsafsha baada y haja ndogo kwajl y afya zetu c ajl y haruf mbaya n uwongo mwandsh
ReplyDeleteUkweli ndio huo mlio wengi huwa hamnawi..
ReplyDeleteMtoa mada labda wewe una govi, lkn km umetahiri ni kukung'uta tu, habari ya chupi ni nyingine kabisa!
ReplyDeleteasiye nawa ndiyo mchafu!! lakini sehemu za siri za mwanamme hazitoagi harufu kama za wenzetu!! duh kama panya aliyeoza!!!
ReplyDeleteNdio kama panya alieoza, lakini pesa yako yote inaishia hapohapo kwenye 'panya alieoza', hata ada ya shule ulikuwa hupeleki kisa ni 'panya alieoza'.......PANYA ALIEOZA WOYEEEEEEE, wanawake wote tuitikie WOYEEEEEEEE!
Deleteusikasirike dada, ni ukweli msipoziosha vizuri inakuwa ni balaaaa!!
ReplyDeletehapa tunazungumzia za wanaume yani pumbu zinanuka ukame km tupo vitani au mbwa mzee asiye na manyoya
ReplyDeletehapa tunazungumzia za wanaume yani pumbu zinanuka ukame km tupo vitani au mbwa mzee asiye na manyoya
ReplyDeletehapa tunazungumzia za wanaume yani pumbu zinanuka ukame km tupo vitani au mbwa mzee asiye na manyoya
ReplyDeletehapa tunazungumzia za wanaume yani pumbu zinanuka ukame km tupo vitani au mbwa mzee asiye na manyoya
ReplyDeleteSuala la kusafisha sehemu za siri baada ya kujisaidia/kukojoa Ni sehemu ya ibada kwa muislam si suala la govi / kutahiriwa hivyo Ni lazima kwa muislam kujisafisha sehemu zake za siri baada ya kujisaidia / kukojoa asalaam aleykum
ReplyDeleteKweli kabisa. Inaonesha usafi kwa wanaume makini. Wanakataa tu kuwa hawanuki lakin ukweli ni kwamba huwa wananuka vibaya sana. Wenyewe haeajajigundua tu.
DeleteMada imekaa poa sana, admin leo umekunywa supu ya mbwa.
ReplyDelete