Watangazaji Kibonde na Gadner Habash Wapandishwa Kizimbani leo

MTANGAZAJI wa Clouds FM, Ephraim Kibonde na mwenzake, Gardner Habash wa Times FM leo wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa kusababisha ajali na kudharau amri ya polisi na kutoa lugha ya matusi.

Watangazaji hao wamesomewa mashitaka hayo na Wakili wa Serikali, Salim Mohammed mbele ya Hakimu Aniseta Wambura.

Kibonde na Gadna wanadaiwa kutenda makosa hayo Jumamosi ya Agosti 9, mwaka huu saa 12 asubuhi, katika eneo la Makumbusho, ambapo Kibonde akiwa anaendesha gari walilokuwa wamepanda aliligonga gari la raia mmoja wa kigeni (Mzungu) na kukimbia.

Kesi yao imeahirishwa mpaka Septemba 10 mwaka huu itakaposikilizwa tena.

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kibonde ushamba

    ReplyDelete
  2. Bakii njia kuu michepuko sio dili ukaitangaze hiyoo kwenye asalam alekum au habar ya mjin umezoea kusema wenzio sasa utajiju hahaha haha

    ReplyDelete
  3. JAMANI WABONGO YAANI HÚYO HABASH KWELI NDIO MME WA LADY JAY DEE? WALA HAFANANI NA KUWA MME WA MTU STAR NAMNA HIYO BADO ANAONEKANA MSHAMBA WALA HANA MVUTO WOWOTE ULE, ANA ONEKANA MSHAMBA KAMA MWALIMU WA PRIMARY KASULU KIGOMA ,MIILI YAO IMEKAA KIZZEMBE NA MATUMBO YASIOKUWA NA MVUTO WOWOTE EMBU NJOONI MTEMBEE HUKU MAJUU MUONE WENZENU WALIVYOKUWA NA MVUTO MMENENEPEANA MATUMBO KAMA WALEVI WA KANGALA AU MBEGE LA ARUSHA ,,,... SHAME ON YOU GUYS.

    JAY DEE TUPILIA MBALI HILO BWEGE SENGE LA KISHAMBA TUTAFUTE MABROTHER MAN WA MAJUU

    ReplyDelete
    Replies
    1. Toka kule Marioo mpiga bwimbwi wewe. Piga kazi sio kujigongesha kwa sister yetu. mbona msela yupo fresh tu sema wewe ndo unataka zali likuangukie, hujui jamaa katoka wapi na sister wetu wa ukweli. Unaweza kuwa na six packs lakini ukawa Vegetable tu.

      Delete
    2. Watu wengine kama wasenge! We umeona walimu wa Kasulu Kigoma ndio washamba! Umekosa vya ku commment unakalia ushoga kanga moko mkubwa wewe.

      Delete
  4. Jaydee kashavurusha Gadner na plastic bag yake tangu wiki iliyopita! Ndiyo sababu kabakia kulewa na mawazo kibao kukimbizwa nyumbani na mwanamke ni noma! Evoque atabakia kuiita shemeji pumbavvvv

    ReplyDelete
  5. Mtafutwe ninyi mabrothermen mna hela??? Au mnataka kumfilisi mkuria wa watu!
    Mwanaume hasifiwi six packs ni hela na namna ya kumtomba mwanamke vizuri!

    ReplyDelete
  6. wajinga walikua wanakimbia nn sasa!

    ReplyDelete
  7. fuaten sheria..ucfikir ukiwa staa ndo utakua juu ya sheria hio haipo..ht kwa mungu tutaenda sawa haijalish tajir. maskin au star wote sawa kaka zangu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad