Walikuwa wakibatizwa na mchungaji Nehemia Upendo wa kanisa la POOL of SILOAM
Huu utaratibu wakubatiza ziwani bila kujali hali ya hewa usifumbiwe macho.
Its time sasa serikali ichukue nafasi kuyafungia haya makanisa ya ajabu ajabu...
Wakati watu wanabatizwa wakapigwa na wimbi.
Watu wawili wameripotiwa kufa.
Ee Mungu zipokee roho zamarehemu wote waliotangulia mbele ya ufalme wako na uzilaze mahala pema peponi. Amina
ReplyDeleteduh! hii kali
ReplyDeleteHUU UBATIZO KWENYE ZIWA VICTORIA SI NDIKO KUIBUA NA MAGONJWA YA SARATANI HUKO AU HAWAJUI WANAKIMBILIA TU POOL OF SILOAM
ReplyDeleteMambo yakisasa hayo haya vipi mikoa isiyo na maziwa mnachimba visima au.?ubatizo ni ishara ya msalaba na maji yaguse kichwani kidogo tu utosini hizi habari zakubatizana miguu mikono kiuno mgongo matokeo yake ndio hayo..poleni sana ndugu wa marehemu..Mungu atusaidie sana
ReplyDelete