Wema Sepetu Afunguka 'Namchukua Halima Kimwana Mpaka Basi'

Na Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani
Wema Sepetu a.k.a Beautiful Onyinye amekula kiapo cha kumchukia dada wa hiyari wa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’, Halima Kimwana ambaye wamekuwa na bifu kwa kipindi kirefu huku sababu zikiwa hazijulikani.

Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Wema alisema ugomvi wake na Halima Kimwana hautaisha na siku zote atamuonyesha chuki za wazi sababu hana upendo naye hata kidogo.

“Kusema kweli yule dada namchukia mpaka basi, simpendi na sitompenda kamwe, haitatokea hata siku moja kwenye maisha yangu nikapatana naye, yaani suala la kupatana mimi na yeye halipo kabisa, hata yeye mwenyewe anajua simpendi maana damu zetu zimekataana, siwezi hata kuonyesha upendo wa maigizo kwake,” alisema Wema.
GPL

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata mimi simjui
    Halima na wala sikujui wewe( wema ) zaidi ya kukusoma na kukuona magazetini,lakini ninakuchukia sana,mno.sijui ndio damu hazipatani au zimekataana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hatari mdau!umemkomeshaje,kwamba hata yeye hapendwi na kila mtu.

      Delete
    2. Hajamkomesha wema wala nan,anajikomesha mwenyewe,unamana yeye Hana wat anaowachukia?hujawah kua na mt unamchukiasn pasipo na sababu?au kwakua wema katangaza hadharan?achen hizo bwana

      Delete
  2. dah umehama kwa kajala sasa umeamia kwa kimwana?haapa lazima utakuwa na matatizo wewe mwenyewe kaa chini jichunguze.utachukia wangapi?maisha ni safari ndefu na sio lazima kila unaemchukia kutangaza hadharani.anekutia kiburi domo?baada ya domo umekwisha sijui nutarudi kwa nani,charles baba?mr blue?ck?jumbe?mzungu mkataba samba kwishnei.

    ReplyDelete
  3. hilo gumegume halima kimwana jibwaa kubwaaaaaa

    ReplyDelete
  4. kuna mtu aliwahi kuulizwa je hapa duniani je una mtu unaemchukia? akajibu hapana; akawashangaza watu kwa kauli hiyo ikabidi waulize kulikoni maana inaelekea anaishi kama malaika sasa. akajibu hana anayemchukia kwa sababu kila mtu anayemkasirisha au kumuudhi huwa anahakikisha anamuua. kwahiyo yeyote aliye hai maana yake sio mbaya wake

    ReplyDelete
  5. ATA MIMI SIMPENDI UYO KIMWANA NI BASI TU

    ReplyDelete
  6. HAKA KA WEMA NAKO HAKASIKII JANA TU KAMECHAMBWA WEE NA WATU WAMEKEKANYA LAKINI BADO KWENYE VYOMBO VYA HABARI KUTWA KUCHWA,KAKA DIAMOND KWELI UNA KAZI POLE SANA KAKA ANGU.

    ReplyDelete
  7. Wema kweli we Ni amnazo, c umchikie domo aliyekudhalilisha kwa kukuita msanii wenu, na ulivyompenda pombe na anasa, ulivyo mvivu, yaani ujitambui wwema ungekuwa Una akili nzuri usingerudi kwenye magazeti, na domo ungeachana nae. Yani wewe cjui ulizaliwa jnne au ijumaa kwani ndo cku mbaya kwa bihashara. Mama wema funga Sana na kuomba juu ya mwanao. Ajitambui Ni shidaaaaah wema tena shidaaaah kubwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hajamtukana Ila huo ndo ukwel,naww huwez kua na mmke anayewaza starehe kila ck pesa anaxekeza kwenye viwanda vya pombe ukahis mtaongea lolote la maendeleo,mmke gani hasikii?labda hajawa tayar kuolewa bado anakula ujana,mkashitaki kwenu mashabikiwake ili mjue tabia zake,mmke Wa aina hyo kumioa ni ngumsana

      Delete
  8. Halima kimwana Ana umbo,sura mbayaaaa,katembea na diamond nasikia.70% ya matusi kwa wema ni kutoka kwa halima kimwana na penny.,

    ReplyDelete
  9. Penny katangaza eti kapata mwanaume tajiriii hakuna mfano eti mu Angola,Duuuu kumbe mapenzi yako ni Mpaka mwanaume awe na hela?????ndo maana ulimgandaga diamond akuoe kisa PESA,duuuu,tusio na hela atutaoa miaka hiii

    ReplyDelete
  10. halima majalala chokoraa..akaroge.

    ReplyDelete
  11. mim mwenyewe na mchukia uyo kuliko hata anyomchukia wema mtu mwenye ukimuna ni bib lakini mambo anayofanya kama.vijana ban ajieshimu hiyo mtu mzima ovyo halima.kimwana

    ReplyDelete
  12. wema nawe mpk hili utuambie hapa wkt tunajua we na halima ni paka na panya

    ReplyDelete
  13. hata Mimi wewe wema sikupendi hata kidogo nahisi damu zetu zimepishana kabisa

    ReplyDelete
  14. wangapi.... kajala nani sijui wote wewe unaboa

    ReplyDelete
  15. Ila bora mara mia wema unatangaza chuki hadharani mtu anajua akukwepe vipi.. wabaya wale wanaocheka na ww tena hadi misaada wanakupa kumbe weeeeeeeee.. hao ndo mpaka kurogawanaroga.. wanakuacha mtu mwehu cmwehu chizi c chiz yani hujielewi kila unalofanya gundu tupu

    ReplyDelete
  16. UJUI SABABU? MUULIZE HAWALA YAKO DIOMOND! KWA NINI ANAMUHESHIMNU NA KUMTHAMINI KULIKO WEYE? KALABAGAO

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad