Wema Leo Ameamua Kuwafungukia Wala wanaopenda kumforce azae, Wema aliweka Picha ya Kim Kardashian akiwa amembeba Mtoto wake na Kuandika Mbona Huyo Kazaa akiwa Miaka ya 30 sasa kwanini watu wanamforce wakati yeye bado yupo 20's
Jisomee Mwenyewe hapo chini:
Nifuate Instagram Kujua Mengi :Bonyeza hapa: Instagram
Kulatu ujana alafuuuuuuu ............
ReplyDeleteWabongo bhana yaani hata kuzaa wanakupangia!
ReplyDeleteNani kampangia huyo chizi wenu anajisingizia mimba anakanushaga mwenyewe hana lolote zaidi yakutafuta umaarufu bila kazi..miss magazeti sijui kma unaakili timamu maana maamuzi yako yananipa wasi wasi
DeleteNani kakulazimisha mama mbona unajishtukia, kwani wao si wanaongea tu achana nao, attention seeker.
ReplyDeleteDem anapenda sana attention!! Instragram tayari ni social media umeaumua kuanika picha zako watu wacomment kwanini uwape sheria. Hana lolote anataka watu wamzungumzie. Anahitaji kukua kiakili as a celebrity!!!
Deletekuzaa ni majaliwa babu eeeeeh wasimdubue wema wa watu
ReplyDeleteAcha ujinga usiishi kwa kuangalia maisha ya watu, kwa kuwa wamezaa na miaka 30 na wewe unataka hiwe hivyo? Utaiga na visivyoigwa mjinga wewe! Mtoto Ni kwa faida yko na c kuangalia flani kazaa Ana umri gani, kama wasipozaa hao unaojifananisha nao na wewe uzai? Mburura Sana wewe.
ReplyDeleteAcha kujishtukia nani kakuambia uzae sasa uzae kizazi chenyewe bado kipo..pili wakuzaa nae unae sasa..wewe jibebe taratibu ujirudishe kwa clement huko tandale unazidi kufulia uwe kma k lin anajichia kwa mzee machache umasikini bye bye hivyo vitoto utachakazwa tu uzee ule yeye mmbichii.
ReplyDeleteWatu wengine bwana. Hivi huyo Kicheche ni wa kujinganisha na Kim Kardashian kweli? Mbona haufikiii hata unyayo wake duh mijitu mingine bwana. Shika jembe ukalime malaya mbovu wewe....m
ReplyDeleteWatu gani wanakulazimisha kuza weye mwenyewe unatamani leo kabla ya kesho uzae na diamond sema mwenyezi mungu hajapenda siyo kum kaza ana 30 na weye bado uko 20 .weye na myaka nasikiya kama uko 20 kwahiyo ymeshiriki miss tz unamyaka 10 na myaka 20 umelala na wanaume wangapi na mpaka 30 watakuwa wangapi utachukuwa taj lingibela miss ngono
ReplyDeleteWabongo Kingereza kigumuuuu,kasema 20s,na sio 20.
Deletehahahaha!!!mwambie safi sana mdau, lazima achukue taji la miss ngono. na kizazi kitakuwa kimesokomezwa kabisa..
DeleteDiamond Ni tasa sio Wema ,kalala bila kondom na wasichana Mia moja hata mmoja kushika mimba holla,penny alizuga Ana mimba ili aendelee kumchuna vizuri.
ReplyDeleteYeye sialisema anamimba ya diamond sasa vp tena au kwa vile kasikia diamond hataki kuoa haaa haaa haa hana jipya ushazeeka mistari mwili mzima ovyoooo
ReplyDeletetena nyie mnaocoment kuta hata watoto wenyewe hamna ..ssa cha kumforce azae nini kila mtu na mipango yake ya maisha .kwa nini mfatilie maisha ya wenzenu kuzaa au kutozaa kwake kunawahusu nini c mzae wa kwenu tuuu.ala!!!!!!
ReplyDeleteFyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Attention sicker jipange wema una Sera your drama qeen
ReplyDeleteEti miaka 20 miaka 28 unaupenda sana utoto.
ReplyDeleteNani ana force yeye mwenyewe ana creat issue ili watu wawe attantion naye
ReplyDelete