Leo ndio leo Mashabiki wa Wema wamecharukajeeee.....
Ona huyu anaejiita Douguemasta14 alivyomshukia:
Lawama zang mm zinaenda kwa @diamondplatnumz ni mtu ambae ntamlaumu milele kubadilika kwa wema hiv dai unajiskiaje mwanamke wako akipanda juu ya stage nakuanza kukata viuona chini yake kuna maelf ya watu wanamshangilia hiv unajua kuna wangapi wanao mtamani? Kuna wengine wakimuona tu wema huko chin hatr...dai srry for saying dis but in another point ww ndie unae mrudisha wema nyuma kuna muda huwa najiulize do u real love her ss hapa hamjaona ukishamua sindo tunampoteza kabisa...kwa ninavyo jua mpnz wako ndio mshaur wako wakwanz lakin ss mpnz ww uko busy kumshaur akacheze show for real...ok iko wap ile movie yenu ya china kila siku coming soon yan mnafanya watu wawaoneni waongo na hamna akili me vipo vingi navijua sema kwa heshima ya wema naonaga nijikaliege kimya..mm najua dai huskindwi kumkatia wema ticket uende nae out de country since merudiana tunaona post za wema kukununulia vitu but I had nvr seen ww kumfanyia wema something is dis wat u call love? O kunyonyana kimya kimya we kama mwanaume huwez mruhus mwanamke wako anaenda kweny vigodoro kufanya nn ss...wema if giving u makavu will help u to realise that we want dat am ready to start giving u makavu ...dont make ppo loss interest with u kutupenda sio kusema na kutuchezea show but kuonesha but listen to wat we want...ss tutaanza kukuchapa fimbo na leo hii me natangaza @martinkadinda nakuingilia kazii yakooo ss tutaanza kwenda kitemi maana kimya kimya hatuelewani...baadae ntarud kwa nyie washabikiii
La kuvunda halina ubani.
ReplyDeletehivi kweli eeh,lishavunda na kunuka hata ukaweka perfume gani inakuwa kazi bure.
Deletemsukule hahahahahahaha
ReplyDeleteKwan yeye hana akili mpk aambiwe ajitambue anategemea bwana ndo amwamshe kilaza haamshwi hata ukimwamsha haelew
ReplyDeleteMaana alikuwa na kampun kumbuken akasema atatoa film lakin zikaishia midomoni tu
Huyo karojeka mamaz gal
Muende kitemi nyie wakina nani?
ReplyDeletekashindwa mama aliyemuweka kwa tumbo miezi tisa,kwa uchungu
akamzaa,kwa shida nyingi akamlea,sembuse nyie?you just wasting your time.
huyo mmbwa kaishiwa usipojipanga kamtoa ushuzi anawasilisha hoja zake bila kuji contradict huyu kijibwa14 elimu yake vigodoro tu
ReplyDeleteWacheni movie inaendeleya bado hawajamaliza shooting
ReplyDeleteHivi nyie kuma mnataka waachane wema na diamond ndo mfurahi?,kwani ni lini wema kamtaka mtu amfundishe namna ya kuishi?,muacheni madam bana kama anaharibikiwa inawauma nini?
ReplyDeleteAcha usenge na wewe au kuna kitu unafaidika mpaka umtete kiasi hicho huyo wema
DeleteSiyo siri Wema kishavurugwa!!
ReplyDeleteHuo Ni mwisho WA wema, akamuangukie mama yake. Wwema kwisha kabisa umeanza kuwa mkata mauno, kweli shetani akizeeka uwa malaika.
ReplyDeleteWema usema ametimiza 21, meneja wake kadinda leo kasema ana 25.Lakini 2006 akigombea u miss wakati ule alisema ana miaka 19 na ni miaka 9 imepita hivyo very minium ana miaka 28 ndio maana mwili wake unaonyesha kuwa yeye ni mmama mtu mzima
ReplyDeleteWema sio wife material kwa hali yeyote 1.ni mtu mzima anayeng'ang'ania utoto na usichana Kila mwaka hadi kina lulu wamemkuta. 2.ana elimu ya ngumbaro la Kila siku anajifanya hajui kiswahili wakati shule yake ya ngumbaro tu kama Sisi. 3.kisha olewa na jumbe na kuachika hivyo ni ngumu kwa mtoto kama diamond kuoa mke wa mtu na mwenye list ndefu ya wanaume tena hadharani kama kanumba, blue, tid ( akamtungia wimbo wa demu kicheche ), chaz baba to mention few. Ni aibu kwa maadili yetu kwa mtoto wa kike bora wa kiume lakini wema ni sifa 3.sio life fighter ni goal keeper mzuri bila kulazimishwa na kanumba movie asingecheza kwani ni tegemezi kwa asili 4. Diamond angekuwa rafiki au ndugu nisingekubali aoe jamvi la wageni hadi kocha Loga wa simba ndani Nani anaweza kubali mtu wake aoe msichana kama wema aliyeamua kuweka maisha yake ya chumbani mbele ya dunia
Nyie tena wema sasa ni wakati kuvuna mlichopanda kwa kumsifia ujinga badala ya kumshauri so called kikongwe kila aliyemshauri mlisema anamwone wivu eti ni Kim na beyonce wa bongo wakati jua lishazama sasa na ni ngumu kwake kurudi shule au kupata ..... hapa mjini kwa Kila jambo lake na rekodi zinamchafua mbele ya umma
Mbona husemi yako?au kwakua wema ni maarufu?acha usenge,kila bdam anadhambi zake na mapungufu yake,ucjifanye unamjuasn kuliko mamayake mzazi,sio tabia nzuri,naww unahustoria yako na wawezakuta ni mbaya kuliko hâta ya wema.
DeleteUSITETEE UJINGA, TUNAMSHAURI UKWELI UNAKASIRIKA, MWENZIO UMRI UNAKWENDA, MTOTO WA KIKE HUYO, UMRI UKISHA MPIGA MKONO, HAWEZI KUWA KIVUTIO TENA ATAKUWA AJUZA, TOFAUTI NA MWANAUME, ANAWEZA KUOA KWA UMRI WA MIAKA 40 NA ZAIDI. WA KIKE! KALABAGAO.
DeleteMdau hapo juu umemaliza kila kitu..... Ila tu hii comment yako tumeichoka coz iz just copying and pasting kweny kila udaku juu ya Wema unaitupia tupumzishe bac wasomaji na mshauri kwa maneno tofauti na haya. But all in all ni ushauri mzuri sana kwa Wema km anapita humu au hao wanaojifanya washauri ushuzi wake wamwambie tunataka kuona ana behave km mtu mzima. Ni hayo tu wadau
ReplyDeleteWema unatakiwa ukue sasa acha kujifanya mtoto kwani wewe ni mshamba wa mapenzi?umekuwa na wanaume wangapi leo hii Diamond akuburuze ukakatike kiuno adharani kwani chumbani akioni ukimkatikia,wewe unafaa kuwa mke sasa utapoteza umaarufu dada
ReplyDeleteWema unatakiwa ukue sasa acha kujifanya mtoto kwani wewe ni mshamba wa mapenzi?umekuwa na wanaume wangapi leo hii Diamond akuburuze ukakatike kiuno adharani kwani chumbani akioni ukimkatikia,wewe unafaa kuwa mke sasa utapoteza umaarufu dada
ReplyDeletewema acha umalaya tulia nanyinyi mnamsema domo kuwa anamchezesha wema shoo wema ameanza kucheza shoo kabula ajaludiyana na domo alafu wema ampendi dumo kwamasilahi sio kwa mapenzi ndio mana ata domo akilala namwana mke au akimubusu mwanamke wema asituki kwasababu anajuwa anachomupendea nimasilahi sio pesa alafu wema angalia otakuja kuumia wewe
Deletegubegube toka lini lina shaurika linadharau mpaka mama yake liwasikilize nyie na michirizi yake amwachie nani? huyu ajuza amechujwa na kutumika sana na wanaume, oili hajui kuuntunza mwili wake utafikiri baa medi wa miaka 50! mwachie akajifie mbele tu ushauri ni too late.
ReplyDeletewe
ReplyDeletewema acha umalaya na masgoga wote hawa wanaume watakupa ushaulu gani ongekuwa una akili ongekuwa ona nyumba au duka kubwa okatulia okafanya byashala ayo manene yote yasingetokeya kwasababu wantu wanajuwa hela zako mpaka upewe nawaume alafu wakikupa hera uwezi kuzifanyia kintu kya mana,kwasababu unajuwa kesho utapewa namwana ume mwengine acha kutegemea kupewa na wanaume wakulale wakupe hela acha hizo hela hazina balaka
ReplyDeleteNA MALAYA MWENZAKE MAWEMA AUNT AZEKIA MUME WAKE UKO WAPI NDIO MANA NAYE ANASHEZA SHOO . KWELI WAMESHINDIKANA KWASABABU AUNT NAYE HANA KYAKE KAZI NI UMALAYA TUU LAKINI WAMESAHAU KUWA UMALAYA SIO DILI
ReplyDelete