Nchi za Afrika na vyama vyao vya siasa, zinachukua mfano wa uongozi bora,demokrasia ya kweli na utawala bora kutoka kwa ccm ya Tanzania.
CCM inajali utu, usawa na haki kwa raia wake.Falsafa na misingi yake hii haijapata wa kuenenda vizuri zaidi yake.
Haina mpinzani,wengi waliojaribu wameshindwa kwasababu ni walaghai, walafi wa madaraka na wababaishaji.
Mtanzania kwa mfano hapendi kudharauliwa wala kupuuzwa. CCM ni dira,wengine wanafuata.
KINA MAPUNGUFU YAKE, UKWELI NDIO HUO CCM NI NAMBARI ONE AFRIKA NZIMA, UBORA WAKE HAMNA MFANOWAKE . NDIO CHAMA CHA SIASA CHA ZAMANI KINACHOISHI MPAKA SASA AFRICA NA KUHESHIMIKA. HUMU TZ CCM NDIO CHAMA KINAONEKANA CHA SIASA VINGINE VIMEGEUKA VIKUNDI VYA WANA HARAKATI KUONGOZA MIGOMO, MAANDAMANO NA KUKEJERI SERIKALI INAYONGOZWA NA CCM.
ReplyDeleteasantee mdau
DeleteHakina ubora wowote, chama bora kinapimwa kutokana na maendeleo ya nchi, tanzania kuna maendeleo kweli? Watanzania ni mazezeta ndo maana ccm kinaonekana chama bora, na hakuna maendeleo ya nchi bila upinzani.
ReplyDeleteWe toka povu tu,lakini ukweli ndio huo.
Deletevyama vingine vyote hapa TZ ni vya kichochezi.
we unataka maendeleo gan sasa bwege we hangaika na maisha yko
ReplyDeleteAcha tu tuitwe mazezeta,mimi hata kama kula yangu ya shida kivipi
ReplyDeletelakini kama nalala usingizi wa bila karaha mara sijui alshababu,mara sijui Boko haramu na nini
ni poa kwangu.Naiombe CCM isafishe hayo majambazi hasa wenye kupora silaha,matatizo mengine tutakomaa nayo hivyohivyo kikubwa AMANI,maana ikitoweka haitakuwa rahisi kuipata tena.Mungu ibariki Tanzania.
NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.
ReplyDeleteWeziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ReplyDelete