Stori: Imelda Mtema
MALOVEE! Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans, amewashukia watu wanaoiponda ‘kapo’ yake na mwigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ na kusema hata iweje, mambo yao yatakwenda kama walivyopanga.
Chuchu alisema katika maisha ya mwanadamu kama Mungu amepanga kitu siku zote kitatimia hivyo anaamini wanaopinga uhusiano wao kwa maneno ya chinichini na kwenye mitandao ya kijamii ni maadui lakini hawatashinda.
“Najua kabisa nina maadui wengi sana lakini naamini Mungu atasimama wanaiponda sana ‘kapo’ yetu lakini Mungu akipanga kitu siku zote lazima kitatimia hakuna ubishi,” alisema Chuchu.
Kabla ya kuwa na uhusiano na Ray, Chuchu aliwahi kuolewa na mtangazaji Frank Mtao ambaye inasemekana wameshamwagana.
GPL
Tupishe sie kimalaya ww....
ReplyDeleteIla chuchu huo weupe unakusitiri sana mana u m'baya sura finyuuu ptuuuu
ReplyDeleteOna miguu ilivyomkomaa sasa kwa mikorogo nyayo nyeusiii kama kiwi pyuuuu kwendraaaaa. Kwanza huyo Ray nae hajitambui mwanamke km ww wa kubembeleza ndoa magazetini na mitandaoni hufai ht kidogo,Ray km unapitaga humu huyu malaya hakufai tupa kule saaaana unashusha hadhi yako tu
ReplyDeletewatakavyoanza kukohoa mfululizo ndio watatamani tuingilie uhusiano wao, hivi kwanini hichi kisichana hakijiheshimu? mtu ana watoto wawili anashindwa hata kujisitiri hivyo vipaja vyake! ni kweli ujana maji ya moto lakini ya chuchu yamepitiliza umoto yanarudi vuguvugu, kwanini usitulie tu kimya unajitangazia mwenyewe baadae unarudi kusema unafuatiliwa mfyuuuuu!!! TUKO WANGAPI TULIZANA
ReplyDelete