Kwako Kajala Masanja. Bila shaka ni mzima wa afya. Binafsi mimi niko poa na ninaendelea na majukumu yangu kama kawaida.
Leo nimekukumbuka kupitia safu hii, nataka kuzungumza na wewe, na hasa katika suala zima la ‘ku-maintain’ ustaa wako.Ninaposema ustaa wako, namaanisha heshima, kipaji (kazi) pamoja na mapato yako.
Juzi kupitia gazeti la Ijumaa Wikienda tumeona jinsi gani umepiga hatua kimaisha. Umetoka katika maisha ya kuonekana wa kawaida, sasa unapewa heshima ambayo sidhani kama uliwahi kuitegemea kama unaweza kuipata.
Ulikuwa mtu wa karibu na aliyekuwa shosti wako, Wema Sepetu ‘Madam’ ambaye wakati huo alikuwa ana mkwanja mrefu kuliko wewe, jinsi fedha ilivyo mwana haramu kwa wakati huo ilikuwa ikiwezekana kabisa Wema akakutuma kitu, ukatii.
Jeuri ya fedha aliyoionesha Wema wakati wa matatizo yako alipokutolea shilingi milioni 13, inaonesha ni jinsi gani mwenzako alikuwa vizuri kifedha. Akakuokoa kwenye kifungo na wewe ukarudi uraiani.Unakumbuka vizuri hata baada ya yeye kukutolea fedha hizo nini kiliendelea katika maisha yenu, starehe mwanzo mwisho.
Mlikuwa mkiongozana na timu ya watu katika kumbi mbalimbali za starehe mkionesha jeuri ya fedha. Najua unakumbuka Wema alivyofanya mbwembwe na fedha nyingi kumleta msanii wa Nigeria, Omotola Jalade Ekeinde kuja kuzindua filamu yake ya Super Star ambayo haijaingia sokoni hadi leo.
Kwa jeuri hiyo na nyingine nyingi alizokuwa akizifanya Madam, hakuna ambaye aliwaza kwamba siku moja ufujaji wa fedha unaweza kubadilika na kuwa fedha za mawazo.Hakuna aliyewaza kwamba wewe ambaye ulikuwa chini yake ungeweza kuja kuwa juu yake.
Hakuna linaloshindikana chini ya jua na sasa kibao kimegeuka, sasa fedha imekutembelea.Heshima ile ambayo alikuwa akiipata aliyekuwa shosti wako, unaipata wewe.Hapo ndipo unapotakiwa kupatazama kwa makini.
Kama umefanikiwa kufungua kampuni yako ya kuzalisha filamu, iwekee misingi thabiti isije kuyeyuka kama ilivyoyeyuka ya huyo aliyekuwa shosti wako (Wema).Tengeneza mazingira ya kuzalisha kazi na kuziuza kweli Watanzania waone kwamba kuna filamu bora zinazalishwa kutoka katika kampuni yako.
Kuwa na fedha nyingi na kutokokuwa na mipango mipya ya kuzizalisha, ni rahisi kupotea na kurudi kule ulikotoka.Njia aliyopitia aliyekuwa shosti wako iwe funzo kwako. Chagua njia sahihi ili uendelee kuwa makini katika maisha yako.
Asikwambie mtu, starehe za kupindukia huku ukiamini ‘bado zipo benki’ ndiyo chanzo cha wengi kuporomoka.Natumai sijachelewa kuzungumza na wewe maneno haya machache, yafanyie kazi ili usije kujifunika shuka wakati kumekucha. Mungu akubariki!
Kajala Masanja Angalia Yasikukute ya Wema Sepetu, Kuonyesha Jeuri ya Pesa Bila Kuangalia Mbele
11
September 03, 2014
Tags
Namuaminia maana mambo ya Kajala ni kimyakimya,
ReplyDeletesitaki kumsemea,ila nashangaa hata nyie udaku kuna mengi hamuyajui,ila amejifunza sana.
Kajala wewe kama ni mwanamke kamili mrudishea WEMA million Kumi na tatu halafu ujisifu.
ReplyDeleteMUWE MNAWAZA VYA KUSEMA SIO UNALALA SIJUI UNALALWA AF UNAKURUPUKA KUSEMA YA WEMA AKIISHIWA WE YANAKUHUSU NINI? YENU HAMYASEMI YAWENZENU MIDOMO JUU PUNGUZENI
ReplyDeletePolen timu wema, ama kweli maskin hana mpambe, coz ht waliokuwa kampan yk wanasema hana hela ya kuwalipa
ReplyDeleteBora umemwambia hela uitawale isikutawale.nastarehe zipo tu ukumbuke kwenu nihali yachini niwakati wakuinua familia yenu,uzuri unababa namama na mtot,na mdgo Wako hao ndiowawe shogazako upambe magroup uachane navyo.sijui vibaokata vgodoro achana navyo unamengi yakukimbizana nayo katika maisha.usijisahau kuvaa kupo starehe zipo wekeza naukimbie magazeti tukiona ukizindua vitu tu km biashara nyumba na kadhalika kila lakheri
ReplyDeletekuma maaayo mwandishi wema kaingiaje hapa mkundu wewe
ReplyDeletembwa wakubwa wema mnajua anaishi wapi na anakula nini mnamulisha ninyi au eti hana pesa mataka ashinde bar ndo mjue kua anapesa.............................
ReplyDeletepaka mkubwa huyo kama ana jeuri ya pesa amrudishie wema 13milion mkundu huyo
ReplyDeleteafu uyo kajala acjitape tape na hizo hela tunaomjua uyo.demu hela zote zinatoka kwa clement baada ya kumnyanganya shoga yake bwana tunajua A to Z kama hizo hela ni za jasho lako why usiende kumtoa mumeo jela wew kama c clement ndo anakuweka mjini na wew ipo cku hela za kuongwa uwa zina mwisho wake
ReplyDeleteafu wew mwandishi ni mchonganishi sana yani wew ningekuwa na kujua ningekuja kukumwangia tindi kali ushindwe kuandika porojo zako hapo hizo kama umeamua kumpa uyo kajala ushauri ni lazima ungizie habri za wema yani nyie ndio waandishi ambao kaxi yenu ni kuchochra watu tu na dawa yenu ipo jikoni one day
ReplyDeletemdau 7:22 mwambie huyo mwandishi ni kuma sana mana naona bila wema hata kajala hawezi kusikika mana anabebwa na jina la wema daima hana lolote wema wema mbona mtakufa na vijiba vya roho..kama ana jina mwenyewe kajala si aongelewe yy kama yy hapa wema aliiingiaje hapa chezeiya wema sepetungaa mtakufaaa vifo vibaya huyo mtoto ni kichwa kingne
ReplyDelete