Kivazi cha Kajala Kilichozua Tabu Mitandaoni, Upaje Nje Nje
14
September 06, 2014
Mwanadada Kajala anaye Make headlines nyingi kwa sasa akiwa katika pozi na Kivazi Kilichozua Tabu Mitandaoni, Upaje Nje Nje, Anazidi Kupendeza tu Shosti Wetu wa Ukweli..
Tags
Mama ya ck mwenyew Wa ukweli....kula maisha mama ukawe kuni vizur kwa sir GOD kwa ajili ya usaliti,mwanamke kauzu we duuh......shikamoo Mrs ck
ReplyDeletemama anaoneka mtamu huyuuu dahhh!!
ReplyDeleteHela ya usaliti mkubwa hivyo kwa mtu aliyekutoa jela hapana mungu niepushe nazo bora kufa masikini.najua hata yeye hana amani rohoni
ReplyDeletekajala anajikaza tu HANA AMANI KABISAAAAAAA,1)WEMA AKUTOE JELA KWA MILIONI 13.BADALA YA KUENDELEA KUMSHUKURU UNAENDA KUTEMBEA NA BWANA YAKE,DUUUUU,USALITI GANI HUUUUU,MMMHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH,KAJALA KIBOKOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO I SALUTE YOU.HAKI YA NANI KWA HILI KAMA MUNGU AKIKUSAMEHE BASI PAULITTE MWANAO LITAMPATA.SI VIZURI KALJALA ULILOFANYA.NI UNYAMAAAAAAA
ReplyDeleteMDAU UMEACHA NA LINGINE BAADA YA KUTEMBEA NA BWANA YAKE ANAMKALIA VIGENGE NA MASHOSTI WENGINE WANAMSENGENYA WEMA.KWELI WE KAJALA WAKUKAA VIGENGENI NA KUMSEMA WEMA?WEMA SI NDUGU YAKO?MAANA ANAYEKUSAIDIA NDO NDUGU YAKO ATAKAMA AMJAZALIWA TUMBO MOJA.NDUGU NI MTU ANAYEKUSAIDIA.HATA KAMA UNA DADA YAKO TUMBO MOJA NA ANAUWEZO WA KUKUSAIDIA LAKINI AKUSAIDII MKANE HUYO SI NDUGU,NDUGU NI AKUSAIDIAEEEEE.UPO?
ReplyDeleteOUT OF TOPIC.MIMI NINA DADA YANGU ANAUWEZOOOOOO KUPITILIZA LAKINI ATUJALI SISI TULIOZALIWA NAE TUMBO MOJA.SASA NIENDELEE KUJIITA NINA DADA AU NIMFUTE AKILINI MWANGU?USHAURI JAMANI.
ReplyDeleteHawajali au kwasababu hawapi pesa tena. Labda amechoka kuwapa pesa
DeleteEndelea kumwita dada maana mali aliyonayo ni yake sio yako huwezi kumlazimisha.Piga buti nawe upate chako. Hii mambo ya economy of affection sio lazima jamani.
ReplyDeleteTENDA WEMA MALIPO KWA MOLA, MLIKUWA MNATAKA KAJALA AMLAMBE MKUNDU WEMA NDO MRIDHIKE? HELA ZENYEWE SIO ZA WEMA KWA HIYO MISHIPA YA MIKUNDU ISIWATOKE BUREEEE.NA WW KAJALA ACHA KUTUCHOSHA SS MASHABIKI WAKO KAMA UNAMIHELA KAMTOE MUMEO JELA KWA MAANA ANATESEKA HALAFU WW UPO URAIANI WAPONDA RAHAA, KUWA NA HURUMA
ReplyDeleteAaah kula bata jombaa kajala,dunian hapa wenye mbavu nene kiakili ndo wanamake,usiangamie kwa kukosa maarifa pinga huo mpunga mpaka kieleweke kwan ck n mtt mdogo? msitutanie ..
ReplyDeleteHivi nyie wadau mnaakili vizuri? Unataka kajala upigwe buti kama wema. Kisa cha wema kuachwa si domo? Sasa amtoe mume wake iweje? Nijibuni? Amtoe mmewe alafu aanze kubanwa?
ReplyDeletekapendeza.
ReplyDeleteYule mumewe jana anaomba kajala amtoe je baba ukitoka utavumilia mamito aendeleee kuuza kuma au utapiga kelele?? Mwenzio kampora wema bwana mwenyewe sasa hivi haskii haoni.. tena mwanamke ka huyu ikipatikana michongo ya kummaliza kabisa jamaa kule jela anafanya.. au hata jamaa anaweza stukia miaka kumi mingine imeongezwa..
ReplyDeleteSo cute!
ReplyDelete