Kuvaa Shanga Miguu au Vikuku Kwa Mwanamke Kuna Maana Yoyote Mbaya?

Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu urembo huu wa kuvaa cheni za miguuni. Wengi wamekuwa wakisema kuwa cheni hizo zinamaanisha kwamba mvaaji anaonyesha kwamba yeye anaweza mapenzi ya kinyume na maumbile, au analika pande zote tetesi hizi zimeleta mchanganyiko kidogo kwenye urembo huu.

Watu wengine wamediriki hata kukataza kabisa wapenzi wao wasivae urembo huo, mimi binafsi siwezi kuongozana na mtu amevaa kitu kama hicho. Haya sasa kazi kwako mdau, wewe unaonaje ni sawa urembo huo kutumika, na je mwenza wako akivaa urembo huo, utaafiki?

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmmm sijui,lakini mbona kwetu umasaini tunavaa tangu tunapozaliwa tu?
    na wahindi je,mbona wao ni kwa sana mpaka dhahabu huvaa?
    sijasikia kwetu umasaini wakihoji juu ya hilo,na kwa mwanamke usipovaa unakuwa hujakamilika bado.

    ReplyDelete
  2. Mimi ndo navaa kama kawa na atakae ongea upuuzi ni yeye na ukoo wake..

    ReplyDelete
  3. unayevaa unaliwa kote haina ubishi

    ReplyDelete
  4. hiyo haina ubishi, anaevaa ni mfirwaji tu, anagawa mkundu na anavaa hivyo kama kujinadi kuwa anagawa,hiyo ndio alama yao wagawaji

    ReplyDelete
  5. NIUREMBO VINAHUSIANA VIP NA MAKALIO. JARIBUNI KUTUMIA AKILI? MBONA HAMSEMI WAMASAI WALIWA KIBOGA?

    ReplyDelete
  6. BIG UP MWANA MAONI YAAN NIUREMBO HAIMANISHI KUVAA MGUUNI NI KUFIRWA COZ MKUNDU NA MIGUU HAVIUSIANI KABISA. JAMII MUELIMIKE HIYO NI KIAFRIKA ZAID. YAANI NA VAA KOTE MPAKA KIUNONI INAMPAGAWISHA MR. SASA WEWE UNAESEMA MTU AKIVAA NI MFIRWAJI SUBIRI SANA.

    ReplyDelete
  7. huo mpango wa kufirwa hata sina na nitaendelea kuvaa kama kawa, mbona tukivaa shingoni, na mikononi mnachukulia kama urumbo why miguuni,pfyuuuuu

    ReplyDelete
  8. mwanamke anaevaa vikuku mguuni hua ananimariza kabisa ni urembo mtamu sana najikuta napenda zaidi nikiona sista duu katupia vikuku basi ndo hua napagawa iyo kutoa mkundu ni hiyari yake....hata kama akitoa mkundu iyo ni hiari yake mwenyewe manake mkundu muhumu sana

    ReplyDelete
  9. Hata mimi napenda,nimemshawishi hata mke wangu avae,na mguu wa mke wangu ni mzuri,
    basi akitupia mie raha mpaka basi,kama kuna wanaofikiria vingine ki mpango wao.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Watamla tigo tu huyo mkeo, si umewatangazia mwenyewe???!!!

      Delete
    2. Ni starehe yake kama wewe unavyofirwa.

      Delete
  10. Yaani iko poa sana,mimi mke wangu akisahau namkumbusha.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad